Frank Wanjiru
JF-Expert Member
- Apr 12, 2012
- 22,719
- 40,739
Teh teh mnaanza kumeza maneno,alisema atakaemsaidia kwa kupeleka silahaalisema atakayeingilia sio atakayepeleka silaha,......nadhani hukusikia vizuri,
hata hivyo urusi wana nguvu kijeshi pengine hata zaidi ya US (maana US bila NATO sijui kama nguvu za kutisha).......
Russia toka enzi za USSR anapigana vikumbo na west (NATO), na hata NATO iliundwa kwa sababu wanamwogopa! hakuna nchi peke yake inaweza simama na mrusi, haipo!