Marekani: Spika wa Bunge, Nancy Pelosi anaweza kusababisha vita kali kati ya China na Marekani

Marekani: Spika wa Bunge, Nancy Pelosi anaweza kusababisha vita kali kati ya China na Marekani

Bidhaa gani ya mali asili ya Russia ambayo Ulaya hawana mbadala wake au hawawezi kuipata kwingine duniani?
1. Gesi! ulaya wana gesi lakini haiwezi kabisa kutosheleza mahitaji yao. Ndiyo maana hadi sasa wameshindwa kuiwekea gesi vikwazo! Ndiyo maana pia Putin amefanikiwa kuwalazimisha wanunue gesi kwa ruble!
2. Ulaya hawana mafuta ya kuweza kutosheleza mahitaji yao.
 
unaujakika gani kwan mbona munampetesha chuchin wenu
 
Only a few hours after US House of Representatives Speaker Nancy Pelosi left Taiwan after pledging solidarity to the nation, 27 Chinese warplanes entered Taiwan’s air defence zone, news agency AFP reported quoting Taiwan officials.

China had also blocked imports of citrus, fish, and other foods from Taiwan in retaliation for a visit by the top American lawmaker.
 
Anguko la Marekani ni uchumi wake na nguvu alobaki nayo ni ya kijeshi ambayo ndo aionyesha sasa. Hichi kitendo cha bibi Pelosi ni kwa ajili ya wamarekani wenyewe kuficha haki mbaya ya chumi nchini humo.

Ili kufidia tatizo la kiuchumi Marekani imeamua kutumia jeshi lake kutafuta vita duniani ili kuziwahi Russia na China maana yatambua kuwa siku si chache hawa wawili watakuwa juu yake khasa kwenye kuhodhi sehemu kadhaa zenye rasilimali duniani.
Russia huyu huyu ambaye wananchi wake Sasa hv wanataabika kwa kukosa mahitaji muhimu ya binaadamu awe juu ya usa?

Hizo bhange mnazo vuta kabla hamjala zitawaua
 
Russia China and oil producing countries are great threat to US economy.
 
Unadhani ile ni trip ya kushtukiza?
She is third in line of the presidency.

Kila kitu kilipangwa zamani
Inasemekana USA waliitaarifu China kuhusu safari ya Pelosi tangu mwezi July
 
Anguko la Marekani ni uchumi wake na nguvu alobaki nayo ni ya kijeshi ambayo ndo aionyesha sasa. Hichi kitendo cha bibi Pelosi ni kwa ajili ya wamarekani wenyewe kuficha haki mbaya ya chumi nchini humo.

Ili kufidia tatizo la kiuchumi Marekani imeamua kutumia jeshi lake kutafuta vita duniani ili kuziwahi Russia na China maana yatambua kuwa siku si chache hawa wawili watakuwa juu yake khasa kwenye kuhodhi sehemu kadhaa zenye rasilimali duniani.
Marekani ana nguvu kiuchumi,kijeshi,kisiasa,kiushawishi na kiteknolojia sio nchi ya kupuuzwa hata kidogo unaposema nguvu alobakiwa nayo ni ya kijeshi unakosea Sana
 
Russia China and oil producing countries are great threat to US economy.
Marekani ndo nchi inayozalisha mafuta mengi duniani kwa sasa kuliko nchi yoyote ile,tatizo ni kwamba wana mahitaji makubwa Sana ndo maana inabidi kuagiza kidogo Nje kufidia gap
 
Hiki kibibi ambacho kimekaribia kuhitimisha maisha yake hapa duniani kinaweza kusababisha maelfu ya watu wakiwemo watoto na vijana kufariki kama kitaendelea na chokochoko chake cha kulazimisha kuingia Taiwan kinyume na matakwa ya China ambayo ndiyo mmiliki halali wa Taiwan. China ilishaionya Marekani kuwa kama kibibi hicho (Nancy Pelosi) kitaamua kutaka kuingia Taiwan kinguvu basi Marekani itakuwa inataka kuchezea moto na lazima itaungua. Tishio hilo liliifanya Ziara ya Pelosi kutokuwa na kituo cha Taiwan kwenye ziara yake ya mashariki ya mbali.

Cha kushangazwa leo jioni Marekani imetangaza kuwa anatazamiwa kuingia Taiwan kesho jumanne!! China imesema imeziagiza ndege zake kukesha zikikizunguka kisiwa cha Taiwan kuhakikishga kuwa Pelosi hatii mguu wake Taiwan!! Marekani imesema inaelekeza meli zake zilizoko karibu na maeneo hayo zielekee huko ili kumlinda Pelosi!! Sijui hili picha litaishaje, lakini waswahili walisema mzaha mzaha hutumbua usaha1! Wote Pelosi na Biden ni wazee na hawana kiu kubwa sana ya kuendelea kuishi lakini kiburi cha kutaka kuonesha umwamba dhidi ya China inaweza kupelekera vita ya tatu ya dunia!! Mungu aepushe balaa hilo!!

Pelosi to visit Taiwan – CNN​

The top US official will be staying overnight in Taipei, the news network reports
CNN has confirmed from sources both in the US and in Taiwan that US House Speaker Nancy Pelosi plans to visit the self-governed island this week, despite objections from Beijing, which considers the island part of its territory.

A Taiwanese official said that Pelosi is expected to spend the night in Taiwan, but didn’t offer any details about the time of her expected arrival. A US official said the Pentagon was “working around the clock” to ensure the speaker's safety. Both spoke on condition of anonymity.

Maoni yangu: Marekani anatishia tu wala Pelosi hatothubutu kuingia Taiwan. Ikitokea kweli Pelosi akaingia Taiwan na China ikaingia baridi kutekeleza kitisho chake, China itadharaulika mbele ya dunia na mbele ya Marekani milele!! Japo China kukubali kudharaulika ndio itakuwa wokovu wa dunia kuepushwa na vita kuu ya tatu kwa sasa!!

View attachment 2311328
Kibibi hicho kinataka kuiletea balaa wakati chenyewe kimeshaifaidi dunia kwa miaka 82!!

View attachment 2311333
Kibabu Biden cha miaka 79 chenyewe kimeshaifaidi dunia kwa miaka 79 kinataka kuleta kizazaa duniani kisababishe watoto wadogo na vijana kwa maelfu wapoteze maisha ili mradi tu kionekane kibabe mbele ya China!! Dunia ikipinge hiki kibibi na hiki kibabu kwa nguvu zote!! Wawaache na wenzao wafikishe ile miaka waliyofikia wao!!
Vita ya nioko
 
Marekani ana nguvu kiuchumi,kijeshi,kisiasa,kiushawishi na kiteknolojia sio nchi ya kupuuzwa hata kidogo unaposema nguvu alobakiwa nayo ni ya kijeshi unakosea Sana
Hawa madogo hawa
 
Anguko la Marekani ni uchumi wake na nguvu alobaki nayo ni ya kijeshi ambayo ndo aionyesha sasa. Hichi kitendo cha bibi Pelosi ni kwa ajili ya wamarekani wenyewe kuficha haki mbaya ya chumi nchini humo.

Ili kufidia tatizo la kiuchumi Marekani imeamua kutumia jeshi lake kutafuta vita duniani ili kuziwahi Russia na China maana yatambua kuwa siku si chache hawa wawili watakuwa juu yake khasa kwenye kuhodhi sehemu kadhaa zenye rasilimali duniani.
Urusi yenyewe yazidiwa gdp na California
 
Inasemekana USA waliitaarifu China kuhusu safari ya Pelosi tangu mwezi July
CNN wanadai Ikulu ya Marekani ilipanga safari kwa Usiri, ila kuna mmoja alivujisha kwa waandishi. Hapo ndo China akajua akaanza kupiga mdebe wake
 
NewYork ndy sehem ya biashara yenye mapsto makubwa dunian kwa mwezi mzunguko wake ni $5 trillion alafu utasemaje imeanguka kiuchumumi hakuna sehem yenye soko kubwa duniani kama si marekani
 
Marekani ana nguvu kiuchumi,kijeshi,kisiasa,kiushawishi na kiteknolojia sio nchi ya kupuuzwa hata kidogo unaposema nguvu alobakiwa nayo ni ya kijeshi unakosea Sana
Uchumi wa marekani sasa wayumba na ni juzi tu wametoa taarifa ya kutishiwa kwa mwanguko wa kiuchumi au recession.

Fuatilieni habari hizi.

Hayo yote unosema ya siasa, na teknolojia hayawezi kustawi zaidi kama uchumi wayumba.

Hiyo ni habari ya tarehe 27 Julai.

US economy shrinks again sparking recession fears:​

NewYork ndy sehem ya biashara yenye mapsto makubwa dunian kwa mwezi mzunguko wake ni $5 trillion alafu utasemaje imeanguka kiuchumumi hakuna sehem yenye soko kubwa duniani kama si marekani
Sijasema umeanguka ila wayumba.

Soma hapa:

Hiyo ni habari ya tarehe 27 Julai

BREAKING: Tokyo says five missiles fired by China's military landed in Japan's exclusive economic zone
 
Uchumi wa marekani sasa wayumba na ni juzi tu wametoa taarifa ya kutishiwa kwa mwanguko wa kiuchumi au recession.

Fuatilieni habari hizi.

Hayo yote unosema ya siasa, na teknolojia hayawezi kustawi zaidi kama uchumi wayumba.

Hiyo ni habari ya tarehe 27 Julai.

US economy shrinks again sparking recession fears:​

Mbona hata wa China umeyumba hadi wanazuia watu kutoa pesa benki kwa kutumia jeshi.
 
Marekani akimaliza huko aje atuvuruge na huku Tanganyika na Zanzibar kwa sababu ni mchokozi sana na anapenda kuona wenzake wanapigana. Kifupi Marekani ni kivuruge.
 
Back
Top Bottom