Hivi unafanya shughuli gani weeeh mzee!?Kuna Mabumunda yaliaminishwa na Wafuga midevu na Majini kuwa Kwenye vita vya 12 Kati ya Israel na Iran eti Magaidi wa Iran walishindwa hiyo vita!!!
Ukweli ni kuwa Iran ilishinda Njaa tu kuna Afisa wa CIA John Kiriakou alipongeza ustadi wa vita wa Israeli katika vita vya siku 12 na utawala wa Kiislamu.
"Waisraeli walikuwa wastadi KABISA. Waliwaua majenerali 12 bora katika jeshi lote la Iran na karibu kila mwanasayansi wa nyuklia wa Iran"
View: https://x.com/vividprowess/status/2019276045581783227?s=61
Nakubali mzee wangu!!!Unataka nikuajiri kazi? Ninafuga NGURUWE nitafute mtu wa kuwatawaza kila wanapojisaidia!!! Kama unakubaliana Bonyeza moja kwenye simu yako!!!!
Kenge endelea kuota Iran kakamata 18 tons za silaha zikitokea Azerbaijan hio game imeisha malizwa, pia safari hi ujumbe ni hu hapaJenerali Mstaafu wa Jeshi la Israeli Amir Avivi, akijibu swali kuhusu kwa nini Marekani inasitasita kuishambulia Iran, alisema:
"Operesheni hii si shambulio dogo kwenye vituo vya kijeshi au nyuklia. Tunakabiliwa na shambulio tata sana linalolenga mabadiliko ya utawala nchini Iran."
Alielezea kwamba operesheni hiyo itakuwa pana na yenye tabaka nyingi, ikilenga moja kwa moja uongozi wa utawala. Kulingana na Avivi, kwa kushambulia vituo vya mawasiliano na utangazaji wa serikali, uhusiano wa amri ya utawala na vikosi vyake kote Iran utakatwa. Aliongeza kuwa vituo vyote vya IRGC vitalengwa na, hatimaye, umma utakuwa na silaha.
Alihitimisha kwa kusisitiza: Kama Rais Trump alivyosema, msaada unakuja.
View: https://x.com/Osint613/status/2018677825813791146?t=jUXIT0XSKbJOHjjHE8TMxQ&s=19
Ujinga mtupu huko Nikutafuta Sympathy tu baada kuona unayetaka kumpiga Kakuzidi kwa kila kitu!!!🇮🇷When a missile is launched from Iran, how many obstacles does it face on its way to Israel?
🚀 Obstacles from Iran to Israel:
1. American military ships in the Persian Gulf
2. Israeli radars in Azerbaijan
3. Israeli radars in Turkmenistan
4. Air defense systems of American bases in Iraq
5. Air defense of the American base in Syria
6. American radars in Saudi Arabia
7. Radars in Qatar
8. Radars in Iraq
9. Radars in Kuwait
10. Radars in the UAE
11. Radars in Bahrain
12. British radar in Oman
13. NATO radar systems in Turkey
14. Jordanian air defense
15. American fighter jets in the skies over Jordan
16. American fighter jets in the skies over Israel
17. British fighter jets in the skies over Jordan
18. British fighter jets in Israel
19. French fighter jets in the skies over Jordan
20. French fighter jets in the skies over Israel
21. Air defense of American ships in the Red Sea
22. American ships in the Mediterranean Sea
23. British air bases in the region
🚀After entering Israeli airspace:
24. Ultra-modern American TPY-2 radar
25. Ultra-modern American THAAD missile defense system
26. Israeli Arrow 1 and 2 missile defense system
27. "David's Sling"
28. "Iron Dome"
🔥 In fact, Iranian missiles overcome the most extensive, expensive, advanced, and dense air and missile defense system in the world and still strike Israel.
🌟Subscribe / Send news / Boost
Sio sympathy hapo naonyesha ubora wa muajemiUjinga mtupu huko Nikutafuta Sympathy tu baada kuona unayetaka kumpiga Kakuzidi kwa kila kitu!!!
Kuorodhesha silaha za mpinzani wako inaonyesha ni noisier gani alivyo Mwoga na hiyo ni namna ya kutafuta Huruma kwa nguvu!!!!!Sio sympathy hapo naonyesha ubora wa muajemi
Tunaendelea tulipoishia mashoga wote watakimbia nchi na kurudi Kwao polandKuorodhesha silaha za mpinzani wako inaonyesha ni noisier gani alivyo Mwoga na hiyo ni namna ya kutafuta Huruma kwa nguvu!!!!!
Leo ni mazungumzo huko Oman nayaombea sana ya shin dew ili tu Ayatollah apigwe maana miaka mingi anatamba kwa tambo za kutafuta Sympathy tu!!!!!
Kama Ukraine na urusi?Waislamu hata wakibaki wenyewe watauana TU
Wao amani sio mambo Yao kabisa
Angalia nchi zenye waislamu watupa
JF inapenda habari za mrengo huo,ikiwemo kutukana uislam na waislamJamaa kilaza kweli habari haijaripotiwa na Chombo chochote kikubwa Duniani bado ipo Jf na sio mara ya kwanza kuleta fake news
Acheni kujilizaliza kama watoto uislamu hapo umetukanwa vipi?JF inapenda habari za mrengo huo,ikiwemo kutukana uislam na waislam
Ukute huyo ni miongoni mwa moderators