Marekani tayari imeshaanza kuishambulia Iran ๐Ÿ‡ฎ๐Ÿ‡ท Ayatollah sasa Matatani!!!

Utajinyea wewe umbea wanini na habari yenyewe ya kuokoteza Facebook
 
Source?..
 
Umedata wew myahud wa Kwimba? Hivi unadhani muajemi anafuatwa kizembe? Ile funzo la mwaka Jana trump Bado anajiuliza mara 2 mbili
 
Umedata wew myahud wa Kwimba? Hivi unadhani muajemi anafuatwa kizembe? Ile funzo la mwaka Jana trump Bado anajiuliza mara 2 mbili
Sisi tunajua funzo la mwaka Jana kwa Iran lilikuwa hili hapa chini!! Makamanda waandamizi wa Jeshi la Iran waliangamizwa bila huruma yoyote ile.
 

Attachments

  • IMG_3499.jpeg
    132.9 KB · Views: 19
  • IMG_3366.jpeg
    347.7 KB · Views: 21
  • IMG_3401.jpeg
    59.9 KB · Views: 29
  • IMG_3403.jpeg
    130 KB · Views: 24
  • IMG_3402.jpeg
    112.9 KB · Views: 24
  • IMG_3404.jpeg
    72.7 KB · Views: 33
  • IMG_3406.jpeg
    68.7 KB · Views: 16
  • IMG_3405.jpeg
    65.3 KB · Views: 16
  • IMG_3419.jpeg
    35.8 KB · Views: 16
  • IMG_3414.jpeg
    197.7 KB · Views: 24
  • IMG_3483.jpeg
    59.3 KB · Views: 24
  • IMG_3466.jpeg
    339.2 KB · Views: 21
  • IMG_3479.jpeg
    351.6 KB · Views: 29
Wakati habari kamili tunazisubiri commander of the IRGC Navy, Alireza Tangsiri Kaangamizwa jioni hii huko Bandar Abbas!!!!
 

Attachments

  • IMG_4825.jpeg
    103.6 KB · Views: 18
  • IMG_4826.jpeg
    16 KB · Views: 29
Binafsi sisapoti huu ujinga wa US. Kuingilia sovereignty za nchi zingine.

Huu ni ubabe usio na maana yoyote. Trump asipodhibitiwa atafanya mambo mengi sana ya hovyo.
Charity begins at home.
Kwa nini msianzie nyumbani kwenu kwanza?
 
Wewe punga naona tayari umeshavaa shanga na kanga moja unakata viuno ngoma ya jirani
Unaleta upupu wa kibutz news kutokea huko mashambani unakochuma nyanya


Haya hawa hapa mabasha walishakuvua chupi zamani

 
Wajinga nyie mlikuwa mnapinga kuwa Iran hawezi kupigwa kapigwa sasa na makamanda wake wameuwawa mwambie na Mwarabu-koko mwenzako Sir John Deere apeleke ujinga wake kwa Ayatollah Ali Khamenei
Naona umeimiss boom boom boom ๐Ÿ’ฅ๐Ÿ’ฅ Tel Aviv. Subiri waanzishe uuone mziki .safari hii ayatollah kasema hakutakua na kusimamisha vita ๐Ÿคฃ kama walivoomba kwenye 12 days war.
 
Sisi tunajua funzo la mwaka Jana kwa Iran lilikuwa hili hapa chini!! Makamanda waandamizi wa Jeshi la Iran waliangamizwa bila huruma yoyote ile.
Kama vita ni kuua makamanda Leo hii mzayuni angekua hatapi tapi kumshawishi trump warudi kushambulia, vita sio kuua makamanda Kama ni hivyo trump alipomuua kamanda Suleiman Leo asingekua anarudi Tena Iran. Na Kwa bahati mbaya mtu mnayetaka kumuua ndio mwema kwenu maana ndio amezuaia mpaka Sasa Iran wasitengeneze bomu hamjui Ayatollah ajae ndio kichaa zaidi ya huyu.
 
sawa na mwenyewe ni mmojawapo naufatilia kwa ukaribu huu uzi, shida nikienda kwenye media nyingine kama BBC, DW,AFP na ALJAZEER sioni hichi ulichopost hapa.
X hizi habari zipo, hata AI pia ukiuliza kuhusu hili tukio wanakupa taarifa ila tu ni kwamba hakuna uthibitisho kwamba haya ni mashambulizi ya kijeshi kama alivyosema mleta mada.
 
Ma islam, Yale yanayofata salafi ideology, ni ya kupiga mpaka yatapike damu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ