Marekani tayari imeshaanza kuishambulia Iran ๐Ÿ‡ฎ๐Ÿ‡ท Ayatollah sasa Matatani!!!

Mungu bariki wanaJf hatukutani uso kwa uso!

Vinginevyo, mikono ingekuwa inaanguka vibaya sana, Mungu tena!๐Ÿ˜๐Ÿ˜†๐Ÿคฃ
 
Mungu bariki wanaJf hatukutani uso kwa uso!

Vinginevyo, mikono ingekuwa inaanguka vibaya sana, Mungu tena!๐Ÿ˜๐Ÿ˜†๐Ÿคฃ
Tatizo kubwa Wafuga Midevu na Majini ni wabishi sana hasa anapopigwa mwenzao huwa wana hasira sana.

Mimi ninachowashangaa kama kupigwa anapigwa Iran sasa wanaumia nini? Na kwa nini waumie Israel inapomtia adabu mfadhilo wa Magaidi?
 
Baada ya Mkwara mzito na kuuwawa Mkuu Kikosi cha wanamaji huko Iran. Rais wa Iran kaagiza yaanze mara moja mazungumzo ya Nuclear na Marekani.

Hii inaonyesha wazi kuwa Iran ameufyata mkia mbele ya majeshi ya Marekani kwa maana hiyo kila analolitaka Marekani Wafuga Midevu na Majini inabidi watekeleze ili kuepusha kipigo cha Mbwa-koko.

Mara ya kwanza Iran iliahidi kuwa Nyonga waandamanaji zaidi 6a 800 Marekani ikawapiga mkwara kuwa ikiwa itawanyonga waandamanaji hao basi Marekani inawashambulia hapo waliua yatoa mkia.

Nilishasema Iran Ana Options mbili tu nazo ni lazima azitimize ili apigwe au alipigwa Hongera sana majeshi ya Marekani kwa kushusha mkwara magaidi wa utawala wa kiislamu wa Iran. Bahati Yao wamekubali kuzungumzia!!!

Kwa mawazo yangu nilikuwa Naomba wawe na kichwa kisumu wakatae mazungumzo ili Wabondwe vizuri!!!!

View: https://x.com/musthafaaa/status/2018300393189724193?s=61
View: https://x.com/mossadil/status/2018284037714985333?s=61
 

Attachments

  • IMG_4840.jpeg
    112.6 KB · Views: 16
Kwa hio kenge mimi ni ki tweet niseme leo muosha vio Tela Aviv atakula ugali chooni watu wamini sio.

Kenge kweli wewe wewe nipe wapi kwenye history kuna nchi inaitwa Israel kwenye vitabu vya dini au vya history kabla ya mwaka 1948.

Tatizo nyie hamjui Israel ni nani mnadhani nchi hahaha huyo ni Nabii Yakobo hakuna nchi inaitwa Israel kwenye vitabu vya dini zaidi ya kumuongelea Nabii Yakobo
 
Nikikuambia wewe huna unalo lijua zaidi ya kuosha vyoo. Hivi we hujui USA alikuja na point nne kuhusu Iran ama sivyo ataishambulia Iran.

Point ni hizi nne.

1 Ayatollah Ali Khomen aondoke madarakani

2 Wasalimishe Uranium na wachane na Nuclear iwe ya peaceful au Nuclear Boom

3 Wasalimishe silaha zote za Hypersonic Missiles na drones

4 Wawache kuwapa support Hezbullah ya Lebanon, Al Houthi na Hezbullan ya Iraq

Sa kitu gani kapata?

Usisahau USA alisha toa deadlines mara ngapi asipo fanya Iran atawapiga alipo ona Iran haogopi USA akanza mbembeleza Oman, Qatar na Turkey wamsemeshe Iran ikuhusu kwamba US hana tatizo Iran kumiliki Nuclear ya Peaceful nuclear energy inayo husika na Nuclear technology, primarily fission, for non-military purposes like generating low-carbon electricity, medicine, agriculture, and industry.

Na vingine vyote kawachana navyo sa nani kashinda hapo
 
๐Ÿ‡ฎ๐Ÿ‡ฑโšก๏ธ Huku Marekani ikijiandaa kwa shambulio linalowezekana dhidi ya Iran, Waziri Mkuu wa Israel Benjamin Netanyahu aliliambia bunge la Israel Knesset kwamba Israel iko macho zaidi Makini zaidi ikifuatilia kwa karibu matukio na imejiandaa kwa dharura zote, akionya kwamba shambulio lolote dhidi ya Israel litaleta "matokeo yasiyovumilika." Kwa Iran na lazima atajutia Watakachokifanya.

View: https://x.com/general_he42676/status/2018341295635194137?s=61
 
Ayatollah kapatikana sasa hivi mjinga wewe utaendelea kumsafisha lakini Ayatollah hasafishiki Options ni mbili tu akae mezani akubali au atandikwe mboko na utawala wake uishie hapo.

Endlelea tu kumsafisha makalio ya Ayatollah hasafishiki Wananchi kwanza hawamtaki na midevu yake hiyo ndiyo maana watu waliochoma misikiti zaidi ya 200 hii inaonyesha utawala wa kiislamu Iran watu hawaupendi kabisa!!!
 
Hana lolote mvaa Pampers mbele ya Iran we endelea kusafisha vyoo vya mabwana zako.
 
Trump alitoa promise katika week moja dunia itaona maajabu kweli tumeona maajabu katisha wee kajikuta hakuna anaye mjali kaomba Oman, Qatar na Turkey wamsemeshe Iran yaishe ๐Ÿ˜†

Israel ndio anaye chochea moto Trump ashambulie Iran anajua yeye hamuwezi Muiran

Waziri wa nje wa Iran anasema Nchi nyingi zimeomba Iran aongee na US ili wamalize matatizo si Iran anaye omba mazungumzo dogo ni US kwa kutumia nchi hizo nilizo zitaja


View: https://youtube.com/shorts/TpbUQ9MoIhU?si=Rjfjj4Y0fs3_vIG8
 
Mtafanya Propaganda za kila aina lakini wenye akili walishajua Iran mkwara umemsababisha akubali Marekani inavyotaka.

Mengine hayo unayoyasema ni kujifariji tu!!
 
Mtafanya Propaganda za kila aina lakini wenye akili walishajua Iran mkwara umemsababisha akubali Marekani inavyotaka.

Mengine hayo unayoyasema ni kujifariji tu!!

View: https://youtube.com/shorts/r6tam-20w70?si=QU6RcNy1APnZ_CtI
Hahaha breaking news hio hakuna maongezi zaidi yanayo husika na Nuclear, na kuondoa sunction bila ya hayo hakuna atakacho fanikiwa US ki ujumla US kisha fail kabla ya vita. Akubali kuondoa sunction na akubali Iran aendelee kuwa na Nuclear sio Nuclear Boom na hicho Iran alikikubali tokea zamani US ndio alikuwa hataki.

Ukweli US kahara dalili hi hapa


View: https://youtu.be/cNeZsRk9Wsc?si=fzJxXintYivyR7yG
 
Maneno kama hayo hata Saddam Hussein na Gaddafi waliyasema lakini mwisho wake walipata kipondo cha kufa mtu na sasa hawapo!!!

Ayatollah ajiandae tu kunyolewa hizo ndevu zake.

Jaribuni kujiuliza Iran ni nchi ya kiislamu toka 1979 kwa nini sasa waandamanaji walikuwa wanachoma Misikiti? Hii inaonyesha wazi utawala w Ayatollah haukubaliki huko Iran!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ