Marekani: Tyrese Gibson ameangua kilio kikali baada ya mke wake Samantha Lee kushinda kesi ya talaka na kuchukua mali zote

Marekani: Tyrese Gibson ameangua kilio kikali baada ya mke wake Samantha Lee kushinda kesi ya talaka na kuchukua mali zote

Hivi huko hakunaga uchawi? Si waijie hata sumbawanga radi zinauzwa hadi jero jero , ukichukua nyingi kuna bonasi.

Hakunaga mapanga? Hakunaga magunia ya mkaa? Hakunaga makaro ya vyoo? Wajinga hawa! Mbona huko kumiliki bastola ni kama kumiliki kisu tu huku!

Siwezi kutafuta kwa jasho langu halafu mpumbavu mmoja wa kike aje ajibebee kiulani, mbaya zaidi eti akavinjari na njemba! Hata kama ni hukumu ya kunyongwa nipewe tu
 
Aje nimpeleke katavi akaroge wote waiate moto ex wife wake na huyo njemva

Baada ya tukio na mafanikio mi atanipa hata ki range na kitita Cha usf 4000 tu
 
Muigizaji maarufu wa Marekani Tyrese Gibson ameangua kilio kikali baada ya mke wake Samantha Lee kushinda kesi ya talaka na kuchukua mali zote za jamaa ikiwemo jumba lake na binti yao kisha mwanamke huyo kurudiana na ex wake wa zamani.

Unaambiwa Tyrese amepigwa marufuku kukanyaga kwenye nyumba hiyo mpaka aalikwe tu na amepewa ruhusa ya kumuona mwanae mara 3 tu kwa mwezi

Mke wa Tyrese amesema alikubali kuolewa na Tyrese sababu ya umaarufu tu ila hakuwa na hisia nae kimapenzi hata kidogo na wakati wote akiwa na Tyrese alikuwa akifanya mawasiliano na huyo ex wake

Anasema ex wake ndio mwanaume waliyependana kwa dhati japo hakuwa na pesa wala umaarufu ila hisia zake zote daima zilikuwa kwa njemba huyo

Unaambiwa saiv huyo jamaa anaishi nyumba ya Tyrese na mke wa Tyrese (mtalaka), mwamba anafinyia kwa ndani

Tyrese kapoteza kila kitu, wanawake mna matukio sio poa

Jamaa amelia mno aisee 😭😭😭😭

Pia, Soma: Mke wa Mchezaji Achraf Hakimi aambulia patupu baada ya kudai talaka akidhani atapata mali
Sijaelewa kwamba mwanamke kukubali kuolewa na mtu asiye na hisia nae ni kosa la muoaji na kwamba adhabu yake ni muoaji kunyang'anywa vyote alivyo navyo na kupewa muolewaji😇😇😇😇
 
Back
Top Bottom