Marekani: Tyrese Gibson ameangua kilio kikali baada ya mke wake Samantha Lee kushinda kesi ya talaka na kuchukua mali zote

Marekani: Tyrese Gibson ameangua kilio kikali baada ya mke wake Samantha Lee kushinda kesi ya talaka na kuchukua mali zote

Hivi Huwa wanatumia Sheria zipi ambazo zinafanya mwanaume anyang'anywe Kila kitu na kupewa mwanamke?
Na kama hakumpenda huo si ni ulaghai? Imekuwaje apate haki zote za kumiliki mali wakati hakumpenda mwanaume?
Yaani hapo ndio nachoka kabisa na Sheria za wazungu
Huko kwao wametengeneza sheria za kumkandamiza mwanaume. ingekuwa mimi wangeniua kwenye hiyo nyumba ili wafaidi vizuri, aliyeamua kuvunja mahusiano anatakiwa aende kwa amani bila kuangalia vilivyobaki
 
Anasema ex wake ndio mwanaume waliyependana kwa dhati japo hakuwa na pesa wala umaarufu ila hisia zake zote daima zilikuwa kwa njemba huyo.🥺🥺🥺
kwanini akubali kuolewa na mtu hana hisia naye?
 
Hilo hata mimi sijaelewa labda mleta uzi aje afafanue, yaani upokwe kila kitu na hujafa bado??
Kwa misingi ipi? Kwanini wakufilisi? Umefanya kosa gani??
Kibaya zaidi mnufaika wa hiyo sheria anakiri kua alichokifuata ni uporaji na kafanikiwa kupora kutoka kwa mmiliki halali kupitia huu mgongo wa sheria kandamizi ......

Na bado wanamchekea........??
 
ESCORT 1
Katika mfumo wa sheria za Marekani, hakuna sheria moja maalum inayosema kuwa mwanaume ananyang'anywa kila kitu na kupewa mwanamke wakati wanapoachana. Hata hivyo, kuna sababu kadhaa za kisheria na kiutamaduni ambazo zinaweza kusababisha matokeo ambayo yanaonekana kama hayo katika kesi za talaka. Sheria za talaka zinatofautiana kutoka jimbo hadi jimbo, lakini mambo yafuatayo yanaweza kuelezea hali hii:

1. Sheria za "Equitable Distribution" (Ugawaji wa Haki)

Katika majimbo mengi ya Marekani, mali inagawanywa kwa misingi ya "equitable distribution," yaani, mali inapaswa kugawanywa kwa haki, lakini si lazima kwa usawa (50/50). Katika hali hii, mahakama inaangalia mambo kadhaa, kama vile:

Mchango wa kila mmoja katika ndoa (mali na wakati).

Muda wa ndoa.

Hali ya kifedha ya kila mmoja baada ya talaka.

Mahitaji ya kuhudumia watoto kama wapo.

Hii inaweza kumaanisha kuwa, ikiwa mwanamke alikuwa analea watoto au alijitolea zaidi kwa familia bila kufanya kazi ya kipato, anaweza kupewa mgao mkubwa wa mali, ili kuhakikisha kuwa anapata usawa wa maisha baada ya talaka.

2. Sheria za "Community Property" (Mali ya Pamoja)

Katika baadhi ya majimbo (kama California, Texas, na Arizona), mali zote zinazopatikana wakati wa ndoa huchukuliwa kama community property. Hii inamaanisha mali inapaswa kugawanywa sawa (50/50) wakati wa talaka, bila kujali nani aliyeleta zaidi. Hivyo, ingawa inaonekana kwamba mwanamke anapata zaidi, sheria inataka ugawaji wa mali sawa kwa kila upande, ingawa si mara zote kila mtu atakubaliana kuwa ni haki.

3. Alimony (Nafuu ya Matunzo)

Katika baadhi ya kesi za talaka, mmoja wa wanandoa anaweza kupewa alimony (matunzo ya kifedha), ambayo ni fedha zinazolipwa ili kusaidia mwenzi ambaye alikuwa na mapato madogo au hakufanya kazi wakati wa ndoa. Kwa kawaida, hii hutokea ikiwa mwanamke alikuwa mama wa nyumbani au alikuwa na kipato kidogo ikilinganishwa na mwanaume. Hii inaweza kufanya mwanaume aonekane kama ananyang'anywa kila kitu, wakati kisheria ni juhudi za kumsaidia mwenzi wake kuanza upya maisha yake baada ya talaka.

4. Ustawi wa Watoto

Sheria za Marekani pia zinazingatia sana ustawi wa watoto. Katika kesi ambapo mwanamke anapewa ulezi wa watoto, anaweza kupewa nyumba ya familia au mali nyingine ili kuhakikisha kuwa watoto wanaishi katika mazingira thabiti. Aidha, baba anaweza kuhitajika kulipa child support (matunzo ya watoto), ambayo yanaweza kuathiri kifedha kwa kiasi kikubwa.

5. Mchango wa Kiuchumi na Kijamii

Katika ndoa nyingi, hasa zile za muda mrefu, mwanamke anaweza kuwa ameweka juhudi nyingi katika familia kwa kulea watoto na kuendesha nyumba, wakati mwanaume anaweza kuwa ndiye aliyetengeneza kipato kikubwa. Mahakama inatambua mchango huu wa kijamii wa mwanamke, hata kama si wa kifedha moja kwa moja. Hii inaweza kumfanya mwanamke apewe mali zaidi ili kuakisi mchango wake usio wa kifedha.

6. Migawanyo ya Mikataba ya Ndoa (Prenuptial Agreements)

Ikiwa hakuna makubaliano ya awali (prenuptial agreement) ambayo inabainisha jinsi mali itakavyogawanywa ikiwa ndoa itavunjika, basi mali itagawanywa kulingana na sheria za jimbo. Mikataba ya ndoa ni njia mojawapo ambayo inaweza kusaidia kuepuka hali ambapo mmoja wa wanandoa anahisi kama ameonewa.

Hitimisho:

Mali katika kesi za talaka haijagawiwi kwa msingi wa jinsia (mwanaume au mwanamke), bali kwa kuzingatia sheria za jimbo, hali ya kifedha ya kila mmoja, mchango wa kila mmoja katika ndoa, na ustawi wa watoto. Ingawa inajitokeza kwamba wanaume wanaweza kuonekana wanapoteza mali nyingi, sheria inalenga kutoa mgao wa haki kwa kuzingatia hali mbalimbali za kifedha na kijamii.
©Jackson94
 
Ushenzi WA kukimbilia kuoa malaya wa kizungu , kwanini hawa wapumbavu weusi hawajifunzi kwa waarabu ,wahindi , Chinese nk ?
Wale wanaoa wenyewe kwa wenyewe tena waliotoka nchi moja .
Ushamba wa mtu mweusi ni mzigo
 
Muigizaji maarufu wa Marekani Tyrese Gibson ameangua kilio kikali baada ya mke wake Samantha Lee kushinda kesi ya talaka na kuchukua mali zote za jamaa ikiwemo jumba lake na binti yao kisha mwanamke huyo kurudiana na ex wake wa zamani.

Unaambiwa Tyrese amepigwa marufuku kukanyaga kwenye nyumba hiyo mpaka aalikwe tu na amepewa ruhusa ya kumuona mwanae mara 3 tu kwa mwezi

Mke wa Tyrese amesema alikubali kuolewa na Tyrese sababu ya umaarufu tu ila hakuwa na hisia nae kimapenzi hata kidogo na wakati wote akiwa na Tyrese alikuwa akifanya mawasiliano na huyo ex wake

Anasema ex wake ndio mwanaume waliyependana kwa dhati japo hakuwa na pesa wala umaarufu ila hisia zake zote daima zilikuwa kwa njemba huyo

Unaambiwa saiv huyo jamaa anaishi nyumba ya Tyrese na mke wa Tyrese (mtalaka), mwamba anafinyia kwa ndani

Tyrese kapoteza kila kitu, wanawake mna matukio sio poa

Jamaa amelia mno aisee 😭😭😭😭

Pia, Soma: Mke wa Mchezaji Achraf Hakimi aambulia patupu baada ya kudai talaka akidhani atapata mali
Hii haipo hivi ulivyoiweka, hajapoteza kila kitu.
Hukumu imeagiza 50/50 custodian (siyo mali) na ndicho kilichofanyika. 50/50 custodian means both parents typically share equal time and responsibilities for the child. Pia muelewe kuwa hii ni tofauti na Child support

Samantha alitarajia angepata primary custodian ili awe na wajibu na last say ya mtoto lakini haikuwa hivyo, so na yeye kwenye case hii amepoteza.

Kilichomuumiza Tyrese ni division of marital properties, katika mgawanyo wa mali za ndoa kuna vitu huwa vinazingatiwa, kama mmoja alikuwa na higher earning, huyo ndiye ataumizwa na ndiyo maana hata nyumba amepewa ex-wife wake sababu pia ndiye anakaa na mtoto. Kwa kuwa Samantha ndiye alikuwa akitumia muda mwingi zaidi wa malezi kwa mtoto, basi huyo ndiye anapewa nyumba kwenye mgawanyo huo sababu ya interest ya mtoto (Bado najiuliza amenyang'anywa kila kitu na kufilisiwa vipi hapa, maana kilichofanyika ni mgawanyo siyo kumnyang'anya au kumfilisi)

Hata kwenye 50/50 custodian pia kuna mmoja anakuwa na majukumu zaidi hata kama mtoto atatakiwa mwezi mmoja akae kwa mama na mwingine kwa baba.

Mfano Tyrese akiwa busy kutafuta hela, Samantha ndiye alikuwa analea mtoto, hivyo hapa automatically hata hukumu ikiwa 50/50 tayari mama alikuwa na majukumu zaidi kwa mtoto. Kwenye hiyo 50/50 baba ataambulia 50 yake ya kuwa anakuwa na mtoto pia na kutoa ushauri lakini majukumu tayari mama anakuwa ameshazidi ingawa maamuzi juu ya mtoto hatakuwa final ni lazima wakubaliane na Tyrese. Ndiyo maana alitaka kuwa Primary Custodian lakini Mahakama imekataa.

Kingine, mbali ya Custodian kuna swala la Child Support, hapa pia anayeenda kuumizwa na Tyrese, sababu ana higher earning, na kwenye hukumu atatakiwa kuwa anatoa US$10,000 kwa mwezi.

Bint sasa hivyi ana miaka 17, akishatimiza miaka 18 Child Support itakoma, hatalazimika tena kumhudumia mtoto kwa mujibu wa hukumu bali kama baba kulingana na uwezo.

Hicho ndicho ninachokifahamu kwa sasa
 
Nafikiri uko majuu kuna mpango wa siri wa kuiangusha jinsia Me na kuipandisha jinsia KE, hawa majaji wa hizi kesi uenda wanakuaga blackmailed na secrete societies ili watoe hukumu kama hizi, ni hukumu ambazo haziingii akilini yaani ndoa ya miaka minne eti mwanamke aondoke na 50% ya mali za mwanaume.
 
Hii haipo hivi ulivyoiweka, hajapoteza kila kitu.
Hukumu imeagiza 50/50 custodian (siyo mali) na ndicho kilichofanyika. 50/50 custodian means both parents typically share equal time and responsibilities for the child. Pia muelewe kuwa hii ni tofauti na Child support

Samantha alitarajia angepata primary custodian ili awe na wajibu na last say ya mtoto lakini haikuwa hivyo, so na yeye kwenye case hii amepoteza.

Kilichomuumiza Tyrese ni division of marital properties, katika mgawanyo wa mali za ndoa kuna vitu huwa vinazingatiwa, kama mmoja alikuwa na higher earning, huyo ndiye ataumizwa na ndiyo maana hata nyumba amepewa ex-wife wake sababu pia ndiye anakaa na mtoto. Kwa kuwa Samantha ndiye alikuwa akitumia muda mwingi zaidi wa malezi kwa mtoto, basi huyo ndiye anapewa nyumba kwenye mgawanyo huo sababu ya interest ya mtoto (Bado najiuliza amenyang'anywa kila kitu na kufilisiwa vipi hapa, maana kilichofanyika ni mgawanyo siyo kumnyang'anya au kumfilisi)

Hata kwenye 50/50 custodian pia kuna mmoja anakuwa na majukumu zaidi hata kama mtoto atatakiwa mwezi mmoja akae kwa mama na mwingine kwa baba.

Mfano Tyrese akiwa busy kutafuta hela, Samantha ndiye alikuwa analea mtoto, hivyo hapa automatically hata hukumu ikiwa 50/50 tayari mama alikuwa na majukumu zaidi kwa mtoto. Kwenye hiyo 50/50 baba ataambulia 50 yake ya kuwa anakuwa na mtoto pia na kutoa ushauri lakini majukumu tayari mama anakuwa ameshazidi ingawa maamuzi juu ya mtoto hatakuwa final ni lazima wakubaliane na Tyrese. Ndiyo maana alitaka kuwa Primary Custodian lakini Mahakama imekataa.

Kingine, mbali ya Custodian kuna swala la Child Support, hapa pia anayeenda kuumizwa na Tyrese, sababu ana higher earning, na kwenye hukumu atatakiwa kuwa anatoa US$10,000 kwa mwezi.

Bint sasa hivyi ana miaka 17, akishatimiza miaka 18 Child Support itakoma, hatalazimika tena kumhudumia mtoto kwa mujibu wa hukumu bali kama baba kulingana na uwezo.

Hicho ndicho ninachokifahamu kwa sasa
Mkuu hivi hili suala la mgawanyo wa mali lipo applicable kama mwanamke ana mali zaidi ya mwanaume, mfano yule mshkaji mume wa Zari anaweza kupeleka maombi ya talaka mahakamani na akapata mgao wa mali za Zari?
 
Ili talaka itolewe, ni lazima kwanza kuwepo na ndoa. Na ili ndoa iwe halali ni lazima itambulike kwa mujibu wa sheria na utamaduni. Mfano, watu wa jinsia moja waliofunga nchini Ufaransa, kamwe ndoa yao haitatambulika nchini Tanzania.

Turudi kwenye swali lako. Jibu ni hutegemea na nchi, kuna nchi zinam backup mwanamke, kuna nchi zinatoa uwiano sawa.
Nyingi huangalia uwiano wa vipato ila sababu ya nature, wanaume ndiyo wanaishia kuwa victims.
Kuhusu Zari na mume wake, mahakama itaangalia, je kabla ya ndoa yao zari alikuwa na nini na mume wake alikuwa na nini, je ni kipi kimepatikana kwenye ndoa na mchango wa kila mtu ni upi.
Kama dogo analelewa anaweza akajikuta anaambulia yeboyebo, sababu mbali ya utafutaji, Zari pia ndiye anasimamia malezi ya watoto na yupo karibu na familia na anaipatia malezi.

Tofauti na mume wake ambaye sidhani kama anastahili hata kuitwa mume , bali Mpiga P¥mbu.

Hivyo, kiasili tu uanaume wake tayari unamhukumu kwamba akatafute vyake.
 
Ili talaka itolewe, ni lazima kwanza kuwepo na ndoa. Na ili ndoa iwe halali ni lazima itambulike kwa mujibu wa sheria na utamaduni. Mfano, watu wa jinsia moja waliofunga nchini Ufaransa, kamwe ndoa yao haitatambulika nchini Tanzania.

Turudi kwenye swali lako. Jibu ni hutegemea na nchi, kuna nchi zinam backup mwanamke, kuna nchi zinatoa uwiano sawa.
Nyingi huangalia uwiano wa vipato ila sababu ya nature, wanaume ndiyo wanaishia kuwa victims.
Kuhusu Zari na mume wake, mahakama itaangalia, je kabla ya ndoa yao zari alikuwa na nini na mume wake alikuwa na nini, je ni kipi kimepatikana kwenye ndoa na mchango wa kila mtu ni upi.
Kama dogo analelewa anaweza akajikuta anaambulia yebiyebo saba mbali ya utafutaji, zari pia ndiye anasimamia malezi ya watoto navyupo karibu na familia na anaipatia malezi. Togauti na mumevwake ambaye sidhani kama anastahili hata kuitwa mume bali Mpiga P¥mbu
Hivyo, kissili tu uanaume wake tayari unamhukumu kwamba akatafute vyake.
Kwaiyo kwa kifupi ndoa inalinda masilahi ya mwanamke
 
hapo shida ni system yao tu ulaya na amerika. lkini hawa mastar sjui kwanini kwa nchi yao ilivyo hawapendi kusaini "prenuptial agreement" hii ingewalinda
Mkuu hawa ndugu zetu Waafrika wanaujinga sana vichwan mwao acha yawakute tu hawapendi kuwa na utaratibu katika mali zao
 
  • Kicheko
Reactions: Lax
Weka na link ulipoitoa habari yako......kila mtu anaweza kutunga habari Zama hizi za taarifa kiganjani........
 
... ... ... ndio mwanaume waliyependana kwa dhati japo hakuwa na pesa wala umaarufu.. ...
Hapo malaya kafanikiwa sana huku hiyo mijanaume yote miwili ikiwa imetumika kama ngazi kwenye maisha ya mwanamke
Huyo EX ni bonge la simp yaani malaya akuache aende akaliwe kisha arudi kwako eti alikuwa anakupenda ila kule alifuata umaarufu tu? Serious..
Huyu wa pili nae fara sana hakukaa kitaalamu hadi kafilisiwa..
Kama kuna kipindi unatakiwa kukaa na manzi wiki hasa huko ulaya na Marekani ni hiki. F*ck her for a week and move forward..
Me by now sina ile guilty state ndani yangu hasa napo-waplay wanawake.. No mercy.
Maana najua nikifanya mistake ndogo akanipatia ataniadhibu vibaya mno..
Maisha ya sasa ni kukaa kitaalamu tu..
We simamisha sana hiyo D*ck lakini usipende wala kujali, ukienda kizezeta utaumia sana.
Mimi kwasasa nikikukuta unatoka na manzi yangu lodge siumii maana kwanza sina malengo nae wala uwekezaji wowote juu yake..
Nimeamua kuwa mharibifu kama nondo mdudu..

Na wanavyojua kutegeshea mimba wakidhani ndio kamba ya kuninasa,,
Mbona watazaa sana?
Siwanyimi mimba maana hata wakizaa sio kigezo cha mimi kuwaoa kamwe..
Wao wabebe tu mimba na kuzaa tunawaenzi mababu zetu
Hii mifumo ya 50/50 tunakabiliana nayo in a hardway no more cries for men..
But if you choose to cry, its your own foolishness.
Natafuta Ajira Xi Jinping Zemanda Mzee wa kupambania LIKUD min -me Half american dronedrake Liverpool VPN .
 
Black American star waache uzwazwa wakuje kuoa huku Africa ,Kuna Mali safi sana zipo south Africa ,Eswatin ,tanzania na Nk ,

Lasivyo wazungu watawafirisi vyote na Sheria zao za Ajabu ajabu
Umesema na South Africa? Wale wana tofauti gani na wa huko majuu? (Sorry kwa lugha yangu ya kizamani, enzi zetu Ulaya na Marekani tukuaga tunasema majuu au mamtoni)
 
"I LOVE MY WIFE" Wataendelea kububujikwa na vilio mpaka akili ziwakae sawa.

#kataa ndoa itaendelea kuenziwa milele na milele, amen!!!
 
Mke wa Tyrese amesema alikubali kuolewa na Tyrese sababu ya umaarufu tu ila hakuwa na hisia nae kimapenzi hata kidogo na wakati wote akiwa na Tyrese alikuwa akifanya mawasiliano na huyo ex wake

Anasema ex wake ndio mwanaume waliyependana kwa dhati japo hakuwa na pesa wala umaarufu ila hisia zake zote daima zilikuwa kwa njemba huyo
Tunampa muda na yeye asije akabadirisha Gear angani km yule mke wa Billgates maana hawa watu akili zao wanazijua wenyewe
 
Back
Top Bottom