Marekani: Tyrese Gibson ameangua kilio kikali baada ya mke wake Samantha Lee kushinda kesi ya talaka na kuchukua mali zote

Muigizaji maarufu wa Marekani Tyrese Gibson ameangua kilio kikali baada ya mke wake Samantha Lee kushinda kesi ya talaka na kuchukua mali zote za jamaa ikiwemo jumba lake na binti yao kisha mwanamke huyo kurudiana na ex wake wa zamani.

Unaambiwa Tyrese amepigwa marufuku kukanyaga kwenye nyumba hiyo mpaka aalikwe tu na amepewa ruhusa ya kumuona mwanae mara 3 tu kwa mwezi

Mke wa Tyrese amesema alikubali kuolewa na Tyrese sababu ya umaarufu tu ila hakuwa na hisia nae kimapenzi hata kidogo na wakati wote akiwa na Tyrese alikuwa akifanya mawasiliano na huyo ex wake

Anasema ex wake ndio mwanaume waliyependana kwa dhati japo hakuwa na pesa wala umaarufu ila hisia zake zote daima zilikuwa kwa njemba huyo

Unaambiwa saiv huyo jamaa anaishi nyumba ya Tyrese na mke wa Tyrese (mtalaka), mwamba anafinyia kwa ndani

Tyrese kapoteza kila kitu, wanawake mna matukio sio poa

Jamaa amelia mno aisee 😭😭😭😭

Pia, Soma: Mke wa Mchezaji Achraf Hakimi aambulia patupu baada ya kudai talaka akidhani atapata mali
Kwa US bomba litamuondoa huyo jamaa wa ex wake
 
Anasema ex wake ndio mwanaume waliyependana kwa dhati japo hakuwa na pesa wala umaarufu ila hisia zake zote daima zilikuwa kwa njemba huyo.
 
Muigizaji maarufu wa Marekani Tyrese Gibson ameangua kilio kikali baada ya mke wake Samantha Lee kushinda kesi ya talaka na kuchukua mali zote za jamaa ikiwemo jumba lake na binti yao kisha mwanamke huyo kurudiana na ex wake wa zamani.

Unaambiwa Tyrese amepigwa marufuku kukanyaga kwenye nyumba hiyo mpaka aalikwe tu na amepewa ruhusa ya kumuona mwanae mara 3 tu kwa mwezi

Mke wa Tyrese amesema alikubali kuolewa na Tyrese sababu ya umaarufu tu ila hakuwa na hisia nae kimapenzi hata kidogo na wakati wote akiwa na Tyrese alikuwa akifanya mawasiliano na huyo ex wake

Anasema ex wake ndio mwanaume waliyependana kwa dhati japo hakuwa na pesa wala umaarufu ila hisia zake zote daima zilikuwa kwa njemba huyo

Unaambiwa saiv huyo jamaa anaishi nyumba ya Tyrese na mke wa Tyrese (mtalaka), mwamba anafinyia kwa ndani

Tyrese kapoteza kila kitu, wanawake mna matukio sio poa

Jamaa amelia mno aisee 😭😭😭😭

Pia, Soma: Mke wa Mchezaji Achraf Hakimi aambulia patupu baada ya kudai talaka akidhani atapata mali
Hilo jumba lipo wapi?
 
Dogo Endrick July 21 kafikisha 18 hapo hapo akavuta mama ya kizungu kaoa kabisa, sitabiri mabaya ila dogo kitamlamba tu kama asipofanya ya Hakimi.

Tyrese kwa kuki hajambo atakuwa amelia sana mpaka kamasi, pole yake.
 
hakuna cha kuyaonea huruma hayo majinga meusi. yanaishi nchi inaruhusu prenup kwanini usitumie? pili, wakiwa na pesa wanaona weusi wenzao mavi wanakimbilia weupe. tatu, mengi yakifanikiwa hata weusi wenzao hawawapigi tafu. ni mafala sana ma mtu meusi
Mbona dada aliyezaa naye ni black yule
 
Hivi hii sheria inalenga kutoa haki gani hasa?

Unamnyang'anya vipi aliyetafuta kwa jasho kisha unampa mtu aliyekuja kula tu?
No wonder Pdiddy aliamua kuyafumulia mbali haya majamaa!
 
Mwamba kama huyu akiwa muuaji unamuelewa ✅

Sema hizi ishu mbaya zinazo endelea zinatengeneza perception mbaya sana kwa vijana ambao bado kuingia kwenye ndoa.

Imekuwa kama jela kwa mwanaume ndiyo maana vijana wanaamua Kuwa na watoto tu.

Sad 💔
 
Hivi wazungu mnawapapatikia wana nini hao mbwa ..kwanini asingeenda nchi za mbali huko afrika
 
Back
Top Bottom