Marekani, unachokifanya juu ya vita ya Russia na Ukraine si kuanzisha vita 3 ya dunia, uko tayari?

ZALEMDA

JF-Expert Member
Joined
Aug 15, 2017
Posts
1,956
Reaction score
2,225
Kama ungekuwa na busara ungewaita Rais Putin na Zelensky meza moja kujadiliana namna ya kumaliza vita hii lakini umeamua kuwa upande wa Ukraine. Huu ni ujinga mkubwa sana, unachochea uanzishwaji wa vita vya tatu ya dunia. Uko tayari?

Acha kiburi Marekani, ndiyo maana afande sele alikuambia ule ndiyo ukweli. Watu wanaokufa kule Ukraine unaweza kusema kuwa ni Putin anasababisha lakini ni wewe Marekani. Kama usingemsupoti zelensky vita hii ingekuwa imeisha. Ulitakiwa kupima madhara makubwa ambayo yatajitokeza kwa kuisupoti Ukraine.

Ndugu wakigombana unakaa katikati na siyo kuegemea upande mmoja, ukishindwa vita hii dunia itakudharau sana. Ukianzisha vita ya tatu ya dunia, utachekwa sana.
 
Uzee unamsumbua,sijui hata kwanini washauri wameshindwa kuliona hili, NATO yenyewe imegawanyika juu ya hili
 
Kwani ujui kwamba Vita ya Tatu ya Dunia ishaanza? Unadhani vita ya tatu ya Dunia itatoa alarm kwamba nimeanza sasa? Ndo hii inapiganwa kisasa siyo Kama Magobole ya zamani?

Vita ya Tatu ya Duniani ndo hii hakuna nyingine

Britanicca
 
Wazungu wa Magharibi wanaongeza uzalishaji wa magari ya umeme, kupunguza matumizi ya mafuta ili wasiitegemee sana Urusi.
 
Joe Biden, jana amelipua visima na maghala ya mafuta huko Urusi karibu kabisa na Moscow, alafu akamwambia Zelesky atangaze kwamba kafanya yeye...😂
Na Putin alivyo jeuri, akaitangazia dunia kwamba hiyo ni ajali ya kawaida kama ajali zingine...😀
 
Wazungu wa Magharibi wanaongeza uzalishaji wa magari ya umeme, kupunguza matumizi ya mafuta ili wasiitegemee sana Urusi.
Yes exactly na ukiona vita ndo hii ya Kiuchumi ki saikolojia na kivifaru

Unajua Muda huu Mzee Putin hana Confidence Kama alikuwa nayo mwanzk ?

Wakati ka Zelensiky kakigain confidence daily kwamba Kumbe naweza kuhimili

Ka Zelensky kanapewa confidance na Wazungu wa Magharibi, Putin ana support ya Kiduku na XI Jinping
 
Back
Top Bottom