chonjo Nation
Member
- Apr 25, 2020
- 48
- 43
Utakuwa wa Lumumba wewe
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hivi Us mtu wa kawaida anaweza miliki shamba angalau heka 5? au anaweza fuga n'gombe? bongo mtu anaweza kuwa anaingiza 10,000 kwa siku anaenda sokoni ananunua kila kitu na anabaki na akiba ya 5000, Us mtu analipwa dollar 75 Au 100 kwa siku akienda super market pesa yote anaacha kule nani mwenye maisha magumu?
Why wanaiba vitu?Marekani kipindi cha corona kila raia alipewa dollar 1200 na watoto wakapata $500 kila mmoja
Wale waliacha kazi kwa majanga ya corona wanalipwa kila wiki $ 700 na kuendelea.
Binafsi kazini kwangu naliowa $800 kazini kwangu na $ 700 kutoka serekalin kila wiki
Watu mwenye kipato cha chini walipewa bima na kadi ya chakula istoshe wanapelekea chakula na bank food.
Tanzania...............?
Alafu tuulize nani mwenye njaaa?
Why wanaiba vitu?
Mtanzania anayelipwa USD 150 per month akiwa Tanzania ni Afadhari kuliko mmarekani anayeishi Newyork analipwa USD 1500 inaishia kwenye pango, usafiri na chakula.Hivi unaujua umasikini wa watanzania kweli ?
Narudia tena unawajua wabongo walivyo choka mbaya ?
Hivi unajua mpaka sasa walimu wa shule ya msingi wanalipwa Tsh 340,000 ( USD 150 ) Gross kwa mwezi ?
Kukaa Kimya Mnadhani Wabongo Wanaishi PEPONI ?
Yaani USA 🇺🇸🇺🇸🇺🇸 imeshafilisika? Wewe unafaa kuwa comedian.Watanzania Wengi wasicho kijua ni kuwa USA ameshafilisika siku nyingi kiuchumi
Imebaki hatua chache tu USA kila jimbo lijitenge
Umeachishwa kazi...unahitaji kulipa bills, kodi ya nyumba, chakula n.k...unaishi jiji kubwa!! USD 700 weekly inakupeleka wapi?Hata wewe mkuu Mungu angekupa dunia iwe mali yako ungeona haitoshi ungetaka uchukua sayari nyingine.
Mambo ya kawaida tu mwanadamu hatosheki
Wanaiba hadi masufuria halafu wamarekani wa kitanzania wanasema hakuna masikini MarekaniWhy wanaiba vitu?
Mtanzania anayelipwa USD 150 per month akiwa Tanzania ni Afadhari kuliko mmarekani anayeishi Newyork analipwa USD 1500 inaishia kwenye pango, usafiri na chakula.
Kweli mkuu ujawah kufika marekani.
Marekani watu wanamiliku mashamba makubwa tu mkuu.
Hata ngoombe wanafugwa pia kuna viwanda vya kuchinja nyama ya ngonbe pia.
Chakula cha $ 100 unaweza kutumia hata wiki mbili,alafu wanakuambia hivi kama kipato chako hakitoshi unaruhusiwa kuomba kadi ya chakula watakupa unakuwa unatumia kadi hautolipa hela yako.
Kama huwezi kulipia nyumba kuna nyumba za serekali wanakupa unaweA kuwa unalipa $ 100 au 200 kila mwez
Hata kwenye swala la matibabu ni hivyo ,binafsi nilienda hospitali kufanyiwa upasua wa sikio nilitakiwa nilipe $elfu 17.
Lakin kuna mashirika ya kusaidia kama huna uwezo wa kulipa,pesa hiyo nililipiwa yote na wakaongeza nyingine.natiwaga bure tu.
Sasa hapo unataka nini?
Hayo mambo tanzania lini mkuu?
Umeachishwa kazi...unahitaji kulipa bills, kodi ya nyumba,chakula n.k...unaishi jiji kubwa!! USD 700 weekly inakupeleka wapi?
Ninavyojua Mimi, Huko US Kama wewe ni raia wa nchi ile ufanye kazi usifanye kazi huwezi kukosa chakula Wala kulala nje kwenye mtaro labda uamue mwenyewe kuishi kwenye mtaro otherwise Kodi ya nyumba haiwezi mfanya raia wa US aishi mtaroniTanzania kuna umasikini sikatai ila usilinganishe umasikini na hali ngumu ya maisha Us kama ujatoka ujala, lakini tanzania mtu anaweza kuwa ana gunia zake 10 za mahindi ndani, mashamba makubwa, ng'ombe halafu mnamuita masikini Us kama huna, huna kweli unatafuta pesa ya kula na kulipia pango.
Ndio maana nimekwambia kuna umasikini kama hakuna kwanini watu wapewe misaada? na watu wenye stress ni wale wanaopewa pesa! Yaani watu wasio na maisha magumu wanapora supermarket!Kweli mkuu ujawah kufika marekani.
Marekani watu wanamiliku mashamba makubwa tu mkuu.
Hata ngoombe wanafugwa pia kuna viwanda vya kuchinja nyama ya ngonbe pia.
Chakula cha $ 100 unaweza kutumia hata wiki mbili,alafu wanakuambia hivi kama kipato chako hakitoshi unaruhusiwa kuomba kadi ya chakula watakupa unakuwa unatumia kadi hautolipa hela yako.
Kama huwezi kulipia nyumba kuna nyumba za serekali wanakupa unaweA kuwa unalipa $ 100 au 200 kila mwez
Hata kwenye swala la matibabu ni hivyo ,binafsi nilienda hospitali kufanyiwa upasua wa sikio nilitakiwa nilipe $elfu 17.
Lakin kuna mashirika ya kusaidia kama huna uwezo wa kulipa,pesa hiyo nililipiwa yote na wakaongeza nyingine.natiwaga bure tu.
Sasa hapo unataka nini?
Hayo mambo tanzania lini mkuu?
Acha uongo.. marekani maskini anamiliki vipi shamba au ardhi.. Tanzania mtu hana hata mia lakini ana shamba lake la kulima .
Tanzania kila ukoo una shamba.. kila familia ina shamba kijijini kwao...je usa ardhi inapatikana kiurahisi kama Tanzania
Ndio maana nimekwambia kuna umasikini kama hakuna kwanini watu wapewe misaada? na watu wenye stress ni wale wanaopewa pesa! Yaani watu wasio na maisha magumu wanapora supermarket!
Anae mwita mwenye gunia 10, mashamba na ng'ombe kuwa maskini ni haki. Ana umasikini wa akili, wa kushindwa kupanga kuzitumia raslimali alizonazo kutajirika. Ana mashamba na unasema ana gunia 10, mkulima wa USA hecta 1 ya mahindi anatumia mbolea mifuko 6 na anavuna gunia zaidi ya 40! Tanzania tu maskini wa uongozi, wa kushindwa kusimamia mipango ya maendeleo na kukwamisha mipango binafsi ya wananchi kwa kuweka mizengwe na utitiri wa kodi kwa kila utalojaribu kufanya.Point yako nini mkuu.
Uliishi marekani kwa muda gani?
Bolizozo Mbishi.Mtanzania anayelipwa USD 150 per month akiwa Tanzania ni Afadhari kuliko mmarekani anayeishi Newyork analipwa USD 1500 inaishia kwenye pango, usafiri na chakula.
Mshahara wa serikali upo juu na hasa ukilinganisha na muda unaotumika kufanya kazi. Watumishi wa umma muda wanaotumia kufanya kazi ni mdogo mno. Kutoka kazini kwenda shughulikia maswala nje ya kazi kama vile kunywa chai, chakula, benki nk na anaetaka huduma kuambiwa asubirie, aje baadae au kesho ni jambo la kawaida.Hivi unaujua umasikini wa watanzania kweli ?
Narudia tena unawajua wabongo walivyo choka mbaya ?
Hivi unajua mpaka sasa walimu wa shule ya msingi wanalipwa Tsh 340,000 ( USD 150 ) Gross kwa mwezi ?
Kukaa Kimya Mnadhani Wabongo Wanaishi PEPONI ?