Marekani wanasumbuliwa na Umasikini sio Ubaguzi

Je huko Hong kong wanakoandamana wao umaskini uko kwa kiasi gani?Sababu za kuandamana ziko wazi,Ni kuwa si kwamba wanasikitika saaana nankifo cha Floyd bali wanakataa ukatili wa polisi dhidi ya raia.

Kitu kinachofanya nchi hizo kuwa na maandamano makubwa ni uhuru ambao katiba inawapa.Nchi kama Tanzania kuna watu wameziweka mfukoni hasa Rais anaweza amua anachotaka.

Kwa mfano maandamano ya Waarabu(Arab movement 2011-2014 je nayo tatizo ni umaskini?si kwelim
 
Inawezekana wakzi wa huko ndo wanajua ukweli zaidi,maana sisi tukiitazama katika picha tunaona ni sehemu nzuri zaidi,ila walowahi ishi huko wanafahamu mengi sana kuhusu uhalisia wa maisha yao.
Ni kweli kabisa japo haya maandamano huko yameonesha sehemu katika uhalisia wa maisha yao.
 
KONG hawaandamanii maisha

US inawezekana ikawa kifo kilikua sababu ambacho kimeibua namengine mengi sana

Unahisi kwanini watu wanaiba !?
 
Mkuu unaongea haya kwakuwa huishi Africa kama ulivyosema..Demokrasia ili ya kiafrica inavyofanya kazi?kwanini unakuwa mgumu kujifunza mema ya wazungu ilihali umeng'ang'ania kukaa huko kwao miaka mingi?kama africa ni bora sana kwanini hukuenda kuishi kijijini kwenu na kufanya maendeleo ya kumpita huyo mzungu?.ni vizuri na uungwana kukubali mazuri aliyefanya mwenzako regardless ya rangi yake.
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Ila siwanasemaga maisha popote MKUU ama !?
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Ila siwanasemaga maisha popote MKUU ama !?
Ni kweli mkuu..ila kuwa muungwana ni muhimu sana...unaenda nchi za watu unaneemeka kwasababu ya demokrasia inayojali watu halafu unakuja kusema hiyo demokrasia haitufai waafrica. Je ni demokrasia ipi ya kiafrica inayotufaa?ya kukandamiza wengine?..iga mazuri mabaya yao waachie na kuwa muungwana maana mazuri yao ni mengi pia.
 
Kwenye mfumo wao wanaouita wakidemokrasia bila yakupepesa macho wala kunini AFRIKA mtafte mfumo wenu wakiutawala DEMOKRASIA hamuiwezi naniwazi kwamba matakwa yenu hayaitaki DEMOKRASIA kama ilivyo kwamataifa YAKIARABU Yote Ila tu mnashinikizwa

:-Wanaojifanya Kuitetea DEMOKRASIA ndio wanaoiharibu DEMOKRASIA yenyewe Kina US nashost zake

US atakuhubiria DEMOKRASIA akiona hanufaiki nawewe hata kama kweli una DEMOKRASIA (mfano IRAN) ila hata kama hautakua namfumo wa DEMOKRASIA ila matakwa yake namaslahi anapata basi hana shida nawewe( MFANO SAUDI ARABIA,QATAR,BAHRAIN,UAE.....)

Mpaka leo sielewi DEMOKRASIA ninini ama niipi wanayoipigania WAMAGHARIBI na US ila kwa AFRIKA DEMOKRASIA Mnajidanganya tu.....
 
Una mahesabu madogo sana hahahahah
 
Kuishi kijijini si tatizo, uwa nakuja Tanzania. Na napenda Kuishi kijijini japo katika maisha yangu nilizaliwa mjini na kukulia mjini. Ila nilipofanya kazi nilikwenda maeneo tofauti ya nchi. Nakumbuka tulijenga kituo cha afya na kuanzisha shule maeneo ya kusini. Miaka kadhaa nyuma nilipoonana na Kingunge Ngombale mwilu nikimweleza maeneo tuliyofika alishangaa sana. Nimepanda sana mashua na ngalawa toka maeneo ya Nyamisati, Mchunkwi hadi Mafia. Nimeizunguka Rufiji Delta yote na visiwa vyake vidogo vidogo. Nimefika mpaka Kilwa Kivinje kote huku. Nimefanya programme mbalimbali maeneo ya Morogoro, Pwani, Kondoa, Dodoma hasa umasaini huko Chitego, Dosidosi maeneo ya Kiteto, Handeni, Iringa vijijini, Njombe na hasa Makete, Bulonghwa, na Mikoa ya Mwanza, Geita, na Arusha,hasa maeneo ya Monduli. Nashukuru Mungu nimeizunguka Tanzania kwa kuchangia huduma za kimaendeleo.
 
Walikuwa wakipewa kipindi cha korona, vipi korona imeisha?
 
Hata marekani pia kuna watu wana maisha tajwa hapo juu. Na bado wanalalamikia kazi na healthcare ni mbovu. Kuna wamarekani wanaikimbia kwao wanaenda china kutafuta vibarua vya kufundisha kingereza. So maisha magumu na mepesi yako dunia nzima. Bongo kuna wazungu wamekimbia kwao wanatafuta kazi hapa...ukiwakuta sasa wamejazana kwenye bajaji.. [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Kwa style hii basi karibia nchi nyingi za ki Africa basi hatuna hali ngumu kuliko USA
 
We ungekuwa umewahi fika USA ungeongea ukaeleweka Tz ndo kuna umaskini wakutupwa sio USA.

We jamaa sikutegemea kuwa kichwani ni empty.
Ardhi marekani inamilikiwa na nani na Kenya na south Africa alafu tube tz kwa wale tuliosoma tukaelewa civics kidogo major means of production namba moja ni Ardhi ukiwa na Ardhi basi bidii yako ukilala basi
 
Naam dear you are ni jambo la hatar sana Ardhi kuwa Mali ya watu binafsi
 
Umaskini unaoletwa na ubaguzi kwa asilimia kubwa..
Sera zinazohakikisha weupe wana nafasi weusi hawana nafasi.
Black, blue, brown, purple wana uhuru wa kwenye makaratasi tu!

Everyday is Saturday......................... 😎
 
Siku hizi kazi zimefunguliwa mkuu na watu wanafanya kazi saivi
watu wamechoka tu ila kazi haikua official ama ulisikia kiongozi gani akiifungua nchi kama alivyo ifunga ?!

sio kwamba kazi haziendelei nop kwamba wanaendeleza bila ruhusa kama walivyo funga

Nakumbuka walianza kufungua nchi kwambwembwe kabisa social distance namengineyo yakizingatiwa

Mara kimenuka [emoji23][emoji23][emoji23][emoji2][emoji3]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…