MAREKANI: Watanzania Diamond, Harmonize na DJ D-Ommy washinda tuzo za Afrimma 2016

WCB ni JUMBA LA MAFANIKIO YA MUZIKI, hao wasanii wengine wapo kwa ajili ya kutibu njaa ya leo.Hongera Harmonize na DJ D ommy kwa mwanzo mzuri,ila kwa DIAMOND imeshakuwa ni kawaida ndio maana watu wanachonga sana akikosa,ila kupata imeshazoeleka.
 

.
Hongera zake n yy kwa ushindi w tunzo y aina yake.
 
Mm nilivyo sikia ni Diamond na dj ommy tu ndio walio shinda hizo tuzo harmonize Sina uwakika
 
Nasubiri tamko toka kwa KING! Na hongera walioshinda
 
Hapo kwenye Dj D-ommy kidogo cjaelewa ila co case...Wametuwakilisha poa watz
 
Hizo tuzo za nani? Isije kuwa za wabeba boxes wakijichokea wanakumbuka bongo kwa kuwa jamii ya huko haiwatambui
 
Tuzo za waafrika zinaenda tolewa marekani kwanini? Hizi tuzo mi hata sijui wanaangalia vigezo gani.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…