MAREKANI: Watanzania Diamond, Harmonize na DJ D-Ommy washinda tuzo za Afrimma 2016

Licha ya ukweli kwamba hawa vijana wa "wasafi" wanajituma na kujitangaza sana na pia nawakubali sana, lakini hiyo hainizuii kuona na kutambua kwamba hao uliowataja hapo kwenye kuimba bado sijaona wa kuwafananisha nao hapa Tanzania
Me hata sitaki kusema juu ya hivyo vichwa viwili
Hakuna kama Ben Pol na Barnaba Boy Afrika Mashariki...
*sitaki shari
 
Wee jamaa bana
 
nimeshangaa sana huyo changudoa kushinda hamfikii hata theluthi V money
vanessa ana kila sababu ,ila hana juhudi

nasema kila siku mziki ni juhudi..
mziki ni sauti+ tungo+ juhudi..
ukitunga vizuri ukawa na juhudi hata kama huna sauti watakupenda..


Vanesa hana juhudi..
Vanessa hajui thamani yake yeye ni mkubwa kiasi gani na anaweza kubadilisha industry kiasi gani...
vanesa anaweza kuwakilisha kama chibu..
sema skuizi hayuko karibu nae..
mwanzo vanessa na chibu everywhere ndio maana vanessa alijulikana .. now sijui mwalimu wake nani..
 
upo vizuri sana, nimependa maelezo yako
 
Vitu vingine ukivisikia sio vya kuanza kujiuliza maswali mengi maana hata ukijiuliza huyu kapataje na frani kakoswa je?huwez kujua nyuma ya pazia kuna nini,cha mhimu Fanya yako yanayo kukabili,hizo tuzo hatoi mungu zinatolewa na watu so uchakachuzi upo tu
 
hata Mungu naye ana upendeleo ndio maana kuna matajiri ,maskini wapo wanaozaliwa vilema pia wapo waliokamilika

Na kashasema humpa amtakaye
 
upo vizuri sana, nimependa maelezo yako
ndio.

akothee ana juhudi naweza kusema wadada wa east africa hakuna anaemfikia kwa sasa..
akothee ana plan kama za WCB..
na ana nia ya dhati mno kuwa na mafanikio makubwa...
kashamshirikisha platinumz
flavour,
kashafanya mavideo makali
ana juhudi mno

na kwasasa wasanii wasijidanganye tunataka juhudi, na mziki full stop..

sasa wao waache wakalie majungu..
kesho na keshokutwa watamkuta akothee BET..
wazidi kupiga majungu!!

big up akothee[emoji7]
 
Unapozungumizia mziki wa East Africa lazma uzungumzie na lebal Hii..(WCB)..//
 
Haaaaaaa jaaah...
Uchakachuzi upo(nasema kwa pua)
 
hata Mungu naye ana upendeleo ndio maana kuna matajiri ,maskini wapo wanaozaliwa vilema pia wapo waliokamilika

Na kashasema humpa amtakaye
Inaonekana wewe husomi biblia, sababu swala la vilema ni upungufu wa madini mwilini pia mungu hana upendeleo biblia inasema aombae hupewa so ukimuomba kwa imani na roho ya kweli utapata uombacho
 
Kweli mkuu wasafi wana nyota vijana wameanza juzi sasa hivi wanakwea pipa kupiga show nje ya tz na tuzo za kimataifa zinawafata wakongwe bado wanazungushwa na coastar ya ruge hapa hapa bongo kweli kutangulia sio kufika!

-Nyerere-
πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
 
Inaonekana wewe husomi biblia, sababu swala la vilema ni upungufu wa madini mwilini pia mungu hana upendeleo biblia inasema aombae hupewa so ukimuomba kwa imani na roho ya kweli utapata uombacho
sawa mkuu hapa si mahali pake tukutane jukwaa la dini nina mengi ya kukufunza pia usipende kuandika Mungu kwa herufi ndogo
 
Jina langu Ali ..sasa lazima nile..


Kula tu broo maana hamna namna ivi vitu vingine waachie wenye saizi zao!!
Ww kula tu..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…