Kila ulicho ongea uko sahihiVanesa hana juhudi..
Vanessa hajui thamani yake yeye ni mkubwa kiasi gani na anaweza kubadilisha industry kiasi gani...
vanesa anaweza kuwakilisha kama chibu..
sema skuizi hayuko karibu nae..
mwanzo vanessa na chibu everywhere ndio maana vanessa alijulikana .. now sijui mwalimu wake nani..
Mkuuyaah mimi nipo sahihi kumuita changudoa ukitaka ushahidi zaidi mfaatilie kiundani Akothee alafu utajua kama namsingizia au laah
[emoji23][emoji23][emoji41][emoji41][emoji41] queen arianaKila ulicho ongea uko sahihi
Princess
Halaf sasa inatakiwa uwe queen kwa point hizi unazo toa
ni lisichana fulani hivi linapenda kujiuza kwa wazungu na asilimia kubwa ya utajiri wake ameupata kwa kuhongwaMkuu
Akothee kwan ako na shda gan!!?
[emoji23]
Huwa unakuwaga na point hata ukiwa na jazba mweer! [emoji87][emoji23][emoji23][emoji41][emoji41][emoji41] queen ariana
Diamond kasafiri hadi kachoka jamani, passport imejaaDiamond Platnumz, Harmonize na DJ D-Ommy, wameibuka washindi kwenye tuzo za Afrimma 2016, zilizofanyika Dallas, nchini Marekani Jumamosi hii.
Diamond ameibuka tuzo ya Msanii bora wa kiume Afrika Mashariki, Harmonize Msanii bora chipukizi na D- Ommy, DJ bora wa Afrika.
Diamond na D-Ommy hawakuwepo kwenye tuzo hizo.
Watanzania walochukua tuzo za AFRIMA-2016
*Best Male East Africa.
Diamond Platnumz.
- Best Newcomer African.
Harmonize tz.
- DJ bora barani Africa.
DJ D Ommy.
View attachment 418988
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Huwa unakuwaga na point hata ukiwa na jazba mweer! [emoji87]
Ntaongea na mod nijiite prince iceman sasa spendagi ujinga kabsa mimi
Heheeeeheeeeee......ali kiba hongera pia kwakushiriki
AsanteHongereni
afrimma tuzo za mpopo diamond anaweza kununua anavyotakaHongera zao vijana,Harmonize Kaanza juz tu kaibuka na tuzo kubwa wakina barnaba,benpol kwenye game kitambo lakini hata kuzinusa tu bado Bora tu wakaombe usajili Wasafi Kama mwenzao mavoko!
-nyerere-
Sasa hayo yote ya nini unaongea sisi hayatuhusu mambo ya kufukuzwa kwao,kujiuza kwa wazungu,kikubwa nenda main point je ana sifa za kuchukua tuzo?sio kuandika blaa blaa tuni lisichana fulani hivi linapenda kujiuza kwa wazungu na asilimia kubwa ya utajiri wake ameupata kwa kuhongwa
Alikuwa maskini sana na aliwahi kufukuzwa kwao akaenda kuishi kwa basha wake kipindi anasoma sekondari
Bwana wake pia alimfukuza akapata mzungu akamzalisha alafu huyo jamaa akakataa mtoto ila akampa pesa za kutosha za kulea mtoto
Hakuishia hapo bali ikawa ndo tabia yake kutembea na wazungu wanamzalisha alafu wanamtema na kumuachia pesa za kulelea watoto
Kwa leo ngoja niishie hapa nikizidi kumchambua nitapewa ban bure
HahahaaHakuishia hapo bali ikawa ndo tabia yake kutembea na wazungu wanamzalisha alafu wanamtema na kumuachia pesa za kulelea watoto
Kwa leo ngoja niishie hapa nikizidi kumchambua nitapewa ban bure
[emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]Kweli mkuu...
Nae anastahili pongezi...
Kuwekwa category moja na SIMBA ni mafanikio makubwa sana kwake..!
*sitaki shari
Yaah kapata utajiri kwa njia hiyoHahahaa
Mo nikajua ndo self made milionaire kwa maana ya mchapa kaz
Kumbe ndio alivo zpata katsha
mbavu zangu zimekatika[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Kweli mkuu wasafi wana nyota vijana wameanza juzi sasa hivi wanakwea pipa kupiga show nje ya tz na tuzo za kimataifa zinawafata wakongwe bado wanazungushwa na coastar ya ruge hapa hapa bongo kweli kutangulia sio kufika!
-Nyerere-