Iceman 3D
JF-Expert Member
- Sep 3, 2016
- 20,611
- 67,094
Kila ulicho ongea uko sahihiVanesa hana juhudi..
Vanessa hajui thamani yake yeye ni mkubwa kiasi gani na anaweza kubadilisha industry kiasi gani...
vanesa anaweza kuwakilisha kama chibu..
sema skuizi hayuko karibu nae..
mwanzo vanessa na chibu everywhere ndio maana vanessa alijulikana .. now sijui mwalimu wake nani..
Princess
Halaf sasa inatakiwa uwe queen kwa point hizi unazo toa