MAREKANI: Watanzania Diamond, Harmonize na DJ D-Ommy washinda tuzo za Afrimma 2016

MAREKANI: Watanzania Diamond, Harmonize na DJ D-Ommy washinda tuzo za Afrimma 2016

Vanesa hana juhudi..
Vanessa hajui thamani yake yeye ni mkubwa kiasi gani na anaweza kubadilisha industry kiasi gani...
vanesa anaweza kuwakilisha kama chibu..
sema skuizi hayuko karibu nae..
mwanzo vanessa na chibu everywhere ndio maana vanessa alijulikana .. now sijui mwalimu wake nani..
Kila ulicho ongea uko sahihi
Princess
Halaf sasa inatakiwa uwe queen kwa point hizi unazo toa
 
Mkuu
Akothee kwan ako na shda gan!!?
[emoji23]
ni lisichana fulani hivi linapenda kujiuza kwa wazungu na asilimia kubwa ya utajiri wake ameupata kwa kuhongwa

Alikuwa maskini sana na aliwahi kufukuzwa kwao akaenda kuishi kwa basha wake kipindi anasoma sekondari

Bwana wake pia alimfukuza akapata mzungu akamzalisha alafu huyo jamaa akakataa mtoto ila akampa pesa za kutosha za kulea mtoto

Hakuishia hapo bali ikawa ndo tabia yake kutembea na wazungu wanamzalisha alafu wanamtema na kumuachia pesa za kulelea watoto

Kwa leo ngoja niishie hapa nikizidi kumchambua nitapewa ban bure
 
Diamond Platnumz, Harmonize na DJ D-Ommy, wameibuka washindi kwenye tuzo za Afrimma 2016, zilizofanyika Dallas, nchini Marekani Jumamosi hii.

Diamond ameibuka tuzo ya Msanii bora wa kiume Afrika Mashariki, Harmonize Msanii bora chipukizi na D- Ommy, DJ bora wa Afrika.

Diamond na D-Ommy hawakuwepo kwenye tuzo hizo.

Watanzania walochukua tuzo za AFRIMA-2016
*Best Male East Africa.
Diamond Platnumz.
- Best Newcomer African.
Harmonize tz.
- DJ bora barani Africa.
DJ D Ommy.

View attachment 418988
Diamond kasafiri hadi kachoka jamani, passport imejaa
 
Huwa unakuwaga na point hata ukiwa na jazba mweer! [emoji87]

Ntaongea na mod nijiite prince iceman sasa spendagi ujinga kabsa mimi
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

team winning for fking life[emoji41]
 
Hongera zao vijana,Harmonize Kaanza juz tu kaibuka na tuzo kubwa wakina barnaba,benpol kwenye game kitambo lakini hata kuzinusa tu bado Bora tu wakaombe usajili Wasafi Kama mwenzao mavoko!

-nyerere-
afrimma tuzo za mpopo diamond anaweza kununua anavyotaka
 
ni lisichana fulani hivi linapenda kujiuza kwa wazungu na asilimia kubwa ya utajiri wake ameupata kwa kuhongwa

Alikuwa maskini sana na aliwahi kufukuzwa kwao akaenda kuishi kwa basha wake kipindi anasoma sekondari

Bwana wake pia alimfukuza akapata mzungu akamzalisha alafu huyo jamaa akakataa mtoto ila akampa pesa za kutosha za kulea mtoto

Hakuishia hapo bali ikawa ndo tabia yake kutembea na wazungu wanamzalisha alafu wanamtema na kumuachia pesa za kulelea watoto

Kwa leo ngoja niishie hapa nikizidi kumchambua nitapewa ban bure
Sasa hayo yote ya nini unaongea sisi hayatuhusu mambo ya kufukuzwa kwao,kujiuza kwa wazungu,kikubwa nenda main point je ana sifa za kuchukua tuzo?sio kuandika blaa blaa tu
 
Hongereni wote. Msiridhike hapo ongezeni bidii zaidi. Kila la heri lenye mafanikio.
 
Hakuishia hapo bali ikawa ndo tabia yake kutembea na wazungu wanamzalisha alafu wanamtema na kumuachia pesa za kulelea watoto
Kwa leo ngoja niishie hapa nikizidi kumchambua nitapewa ban bure
Hahahaa
Mi nikajua ndo self made milionaire kwa maana ya mchapa kaz
Kumbe ndio alivo zpata katsha
 
Kweli mkuu wasafi wana nyota vijana wameanza juzi sasa hivi wanakwea pipa kupiga show nje ya tz na tuzo za kimataifa zinawafata wakongwe bado wanazungushwa na coastar ya ruge hapa hapa bongo kweli kutangulia sio kufika!
922cce4cd6331614aca68d51bd7028f9.jpg

-Nyerere-
mbavu zangu zimekatika[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Back
Top Bottom