Marekani yaacha kuiendekeza Israel. Yapeleka azimio UN kutaka vita vya Gaza visitishwe bila masharti yoyote

Spain,Ireland,Canada,Wamarekani na nchi nyingi wanaona bora liundwe taifa la Palestina ili papatikane suluhisho la kweli.
Hiyo kupiga haikuanza leo na kuna viongozi wengi wa wapalestina wameshauliwa huko nyuma na haikuwa lolote.
hiyo ni mara ya kwanza watu wa magharibi kudai ivyo ila mmesahau mara zote nyiny ndo mmekuwa wabinafsi
 
Mimi binafsi siamini kama Kuna mateka wa Israel wanashikiliwa na Hamasi

Na pia siamini kama lile shambulizi lilikuwa la Hamasi kweli

Ni vita iliyoanzishwa Kwa mchongo kati ya Israel na Marekani Kwa malengo wanayoyajua wao
acha kuwa popoma zipo hadi video
 
piga magaid wavaa kobaz
 
Israel iliwahi piga kiguu na njia mpaka Uganda kufuata mateka,hili Leo Israel hatua kadhaa TU imeshindwa kuwapata mateka Kwa mtutu inasubiria iletewe mezani,

Hili Dunia siielewi.
una uhakika mateka waliachwa Gaza , usiishi km msukule
 
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
 
Ushindi utaenda Kwa Israel, taifa lake takativu na watu wake. Nani aliwatuma Hamas wateke watu?
Hamas waliteka watu kidogo tu,hata 300 hawakufika na imekuwa nongwa.
Israel huwa inateka kwa maelfu na imewajaza kwenye magereza yake.
 
Kumbuka hospital ya Alshifa Israel walipiga na kuuwa mpaka wagonjwa na wengine wakapelekwa kusini ya Gaza kwa nguvu.Ikatangazwa wamedhibiti eneo hilo kisawasawa na wakaweza kupekuwa kila kitu.
Juzi wamekwenda tena wamekuta eneo hilo limejaa watu zaidi ya 30000.Wametokea wapi.
Ni kizunguzungu kwa IDF
 
israel wakiondoka kwa namna yoyote ile ni vyema na ushindi kwa Hamas.Bila kujali kuwa kuna masimango au nini.
 
Biblia ya kiyahudi inawadanganya sana.
Biblia halisi haitambui uharamia wa Mayahudi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…