Marekani yaacha kuiendekeza Israel. Yapeleka azimio UN kutaka vita vya Gaza visitishwe bila masharti yoyote

Marekani yaacha kuiendekeza Israel. Yapeleka azimio UN kutaka vita vya Gaza visitishwe bila masharti yoyote

Spain,Ireland,Canada,Wamarekani na nchi nyingi wanaona bora liundwe taifa la Palestina ili papatikane suluhisho la kweli.
Hiyo kupiga haikuanza leo na kuna viongozi wengi wa wapalestina wameshauliwa huko nyuma na haikuwa lolote.
hiyo ni mara ya kwanza watu wa magharibi kudai ivyo ila mmesahau mara zote nyiny ndo mmekuwa wabinafsi
 
Mimi binafsi siamini kama Kuna mateka wa Israel wanashikiliwa na Hamasi

Na pia siamini kama lile shambulizi lilikuwa la Hamasi kweli

Ni vita iliyoanzishwa Kwa mchongo kati ya Israel na Marekani Kwa malengo wanayoyajua wao
acha kuwa popoma zipo hadi video
 
Wewe ni mjinga Sana ,,kuupiga mskiti WA Aqsa ina maana wataka utueleze kuwa ni kuufuta uislam ulimwenguni .. kakae na hao mashoga wenzio WA kizayuni na kiamerika na kamwe hamtaufuta uislam ,,mskiti WA Aqsa ni nyumba ya Allah tukufu na ni eneo takatifu lililoahidiwa kurithiwa na waislam na pambizoni mwake ,, Allah alishataja hayo katika zaburi na taurati kuwa ni mirathi ya waislam na kamwe hawatoweza kuufuta uislam Bali ni mateso ya muda Tu halaf ahadi ya uislam kushinda ipo pale pale na mayahudi watafutwa na uislam utakuwa juu ,mpaka atakapohukumu mola

Sent from my ZTE T1002 using JamiiForums mobile app
piga magaid wavaa kobaz
 
Israel iliwahi piga kiguu na njia mpaka Uganda kufuata mateka,hili Leo Israel hatua kadhaa TU imeshindwa kuwapata mateka Kwa mtutu inasubiria iletewe mezani,

Hili Dunia siielewi.
una uhakika mateka waliachwa Gaza , usiishi km msukule
 
Mfadhili mkubwa wa Israel,Marekani baada ya kuona madhara kwa pande zote ya vita vya Gaza,ghafla imebadili mwelekeo na kupeleka azimio baraza la usalama la Umoja wa mataifa linalotaka vita hivyo visitishwe haraka.
Katika azimio lililopelekwa baraza hilo mwezi Februari kikwazo ilikuwa ni Marekani tu iliyopiga kura ya veto kupinga azimio hilo.

Kipengele kilichosimamiwa na Marekani wakati huo kwa kufuata misimamo ya Israel ilikuw ni kuunganishwa na kuachiwa kwa mateka wanaoshikiliwa na Hamas na kwamba muda haukuwa muwafaka kwa kuitaka Israel kusitisha vita kwani kungewapa ushindi Hamas.

Katika siku za karibuni misimamo mikali ya Benjamin Netanyahu imemuudhi sana raisi Biden wa Marekani .Ikiunganishwa na ukatili wa kuzuia chakula na kuua ovyo kunakofanywa na Israel huenda ni miongoni mwa sababu zilizopelekea nchi hiyo kubadilisha nia yake.

US pushes UN resolution calling for 'immediate and sustained cease-fire': Live updates

🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
 
Ushindi utaenda Kwa Israel, taifa lake takativu na watu wake. Nani aliwatuma Hamas wateke watu?
Hamas waliteka watu kidogo tu,hata 300 hawakufika na imekuwa nongwa.
Israel huwa inateka kwa maelfu na imewajaza kwenye magereza yake.
 
Mi nachoelewa ndani ya mossad kuna intruder thus why kila walipokuwa wakienda wanakuta mateka wameondolewa muda huo huo ,lakin pia labda hawapo Gaza, pia tunil ni nyingi kias kwamba mpaka juzi wameuwa terrorist 150 wamegundua tena tunil northern Gaza kitu ambachu kinamaanisha bado tunil zipo ambazo hazijagunduliwa
Kumbuka hospital ya Alshifa Israel walipiga na kuuwa mpaka wagonjwa na wengine wakapelekwa kusini ya Gaza kwa nguvu.Ikatangazwa wamedhibiti eneo hilo kisawasawa na wakaweza kupekuwa kila kitu.
Juzi wamekwenda tena wamekuta eneo hilo limejaa watu zaidi ya 30000.Wametokea wapi.
Ni kizunguzungu kwa IDF
 
Kumbe ujanja wote bado haujajua huu mchezo unaendaje.

Hiyo ni namna ya kuiondoa Israel vitani bila aibu na bila masimango toka kwa Waarab na Wapalestina...na wewe bila kuelewa unashangilia.

Utaelewa lini haya mambo? Hata hilo azimio ukute limeandaliwa Israel na Kneset
israel wakiondoka kwa namna yoyote ile ni vyema na ushindi kwa Hamas.Bila kujali kuwa kuna masimango au nini.
 
Haiwezekani kuunda taifa la Palestiniana, ni jambo gumu sana, Israel hawezi kurudisha maeneo aliyoyataka, labda jeshi la UN lipelekwe pale kupambana na Israel, bado Israel haiwezi kusalimu amri hapo ndo moto utawaka middle East. Unabii wa kwenye biblia inaendelea kutimia mbele ya macho yetu
Biblia ya kiyahudi inawadanganya sana.
Biblia halisi haitambui uharamia wa Mayahudi.
 
Back
Top Bottom