Marekani yaanza kutafuta uungwaji mkono ili kuiwekea vikwazo China

We umeshawahi kwenda marekani au kuzisoma siasa na maisha kwa ujumla ya marekani?!
Sijawahi kwenda marekani na hata ilipotokea nafasi ya kusomea mfumo flan nilipakataa nikaenda Pengine,,,nayajua mambo Yao mengi na nimepata bahati ya kuwa karibu na watu wa huko kikazi hapa Tanzania.Na history Yao naijua vizuri.
 
Endelea hivyohivyo na ukalagabaho wako. Unakataa fursa za kipekee kwa matokeo chanya ya maisha yako mwenyewe binafsi kwa stori za kusikia ambazo wala hazina matokeo na wewe ila kwa hiyari yako. Utajijua mwenyewe!
 
EU, CANADA, MEXICO, CHINA ni baadhi ya nchi zilizojibu vikwazo vya kibiashara dhidi ya USA katika utawala wa D. TRUMP.
 
EU, CANADA, MEXICO, CHINA ni baadhi ya nchi zilizojibu vikwazo vya kibiashara dhidi ya USA katika utawala wa D. TRUMP.
Na kwa vikwazo vinavyoendelea kwa sasa kwa Urusi, sio nchi nyingi zinaunga mkono uonevu wa Wamarekani. Wanafanya yao bila shida!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…