Marekani yaanza kutafuta uungwaji mkono ili kuiwekea vikwazo China

Marekani yaanza kutafuta uungwaji mkono ili kuiwekea vikwazo China

Raia wa nchi zote dunia wanaishi Marekani. Ukimtafuta raia wa urusi, china, india, Tanzania, kenya n.k wote utawakuta Marekani. Hakuna nchi yoyote isipokuwa Marekani inayoishi na raia wa kila nchi.
Acha iitwe Marekani. Kwenye hii migogoro anapiga hela sana kwa kuuza silaha. Tayari keshamuuzia silaha Taiwan. Capitalist achana naye, ana akili nyingi sana za kutengeneza hela

Vladmir Lenin alipata kuandika juu ya capitalist na akaandika; Capitalist ni mtu wa ajabu hashindwi kukuzia kamba itakayotumika kumnyongea yeye mwenyewe.

Hizo silaha anazouza hatimaye zitatumika dhidi yake mwenyewe.
 
Na ndo nchi pekee itakayoshika dola ya duniani kwa kipindi kirefu zaidi kuzidi zote duniani! Huenda yeye ndo akaongoza mpaka Qiyyama... anayebisha ahifadhi uzi huu. 😊

Shetani ashike dola ya dunia hadi kiyama??, huyo Mungu yuko wapi??!!.

Amerika imejaa ubaguzi, imejaa mateja, imejaa homeless , imejaa mauaji ya kutumia bunduki, masikini kibao wanaongezeka kila mwaka, kwa hali hiyo lazima America itaporomoka tu na nafasi yake kuchukuliwa na China + Russia.
 
Inaweza kujengwa
Ila kama taifa tulipaswa kuwa na sehemu ya kuwekea mafuta hata ya mwaka mzima.
Maana siku Pakiwaka kati ya Taiwan na China dunia nzima itaipata kwani Taiwan atamine eneo lote la bahari yake wakati 80% ya meli hupita hapo
 
Hata ya miaka mitano
Proposal zipo kwenye makabati
 
Ila kama taifa tulipaswa kuwa na sehemu ya kuwekea mafuta hata ya mwaka mzima.
Maana siku Pakiwaka kati ya Taiwan na China dunia nzima itaipata kwani Taiwan atamine eneo lote la bahari yake wakati 80% ya meli hupita hapo

Hapo ndipo akili itatukaa vyema.
 
Unaonekana hujasoma historia bro. Soma kuhusu Dola ya Kirumi (Roman Empire), soma kuhusu dola ya Ottoman (Waturuki) na British Empire (makoloni ya Waingereza). Then uje tujadili. Marekani haina miaka 20 hapo mbele, ita cease kuwa muonevu na muanzisha vita wa dunia! Mark this thread tukiwa hai.
Achana na historia za flame zilizoanguka kutokana na sababu ambazo nyingi ni irrelevant kwa sasa. Marekani bado yupo sana, hata miaka zaidi ya 100 ijayo. Jambo ambalo litaisumbua US kwenye nafasi yake ni aingie kwenye vita ya moja kwa moja kati yake na either Urusi au Mchina, na hili sioni likitokea.

Sent from my SM-A6050 using JamiiForums mobile app
 
Endelea kujidanganya bro. Mpaka USa wanakuja na Marshall plan baada ya vita za dunia, nani walikuwa wababe enzi hizo? Hilp nalo hulijui?
Uzuri wa JF tunatumia majina feki, hatujuani. Ache twende hivyo hivyo
 
Shetani ashike dola ya dunia hadi kiyama??, huyo Mungu yuko wapi??!!.

Amerika imejaa ubaguzi, imejaa mateja, imejaa homeless , imejaa mauaji ya kutumia bunduki, masikini kibao wanaongezeka kila mwaka, kwa hali hiyo lazima America itaporomoka tu na nafasi yake kuchukuliwa na China + Russia.
HEHEHE!...
Iporomoshe wewe basi...
 
Mmarekani na NATO wameshindwa na afghanistan talabani wamepigwa mpaka imebidi wawakabidhi nchi waondoke, nendeni marekani mkaone makaburi ya wanajeshi waliozikwa kwenye uwanja utasikitika ukubwa wa singida yoote, nendeni uk mkaone makaburi na nendeni ulaya na bado talabani anawaita warudi kupigana, na talabani kamuomba mrusi aende ukraine akapambane na mmarekani huko
🤣🤣🤣🤣🤣 Mrusi akimruhusu Taleban itapendeza sana akawafyeke mashoga wa Ukraine na NATO kwa uhuru. Najua Marekani lazma atapiga biti tu... Warabu hawanaga hofu ya kufa.
 
Back
Top Bottom