Hoffenheim
JF-Expert Member
- Dec 25, 2022
- 1,077
- 2,505
Tangu 1914 kwenye vita ya dunia mpk leo.Na ndo nchi pekee itakayoshika dola ya duniani kwa kipindi kirefu zaidi kuzidi zote duniani! Huenda yeye ndo akaongoza mpaka Qiyyama... anayebisha ahifadhi uzi huu. 😊
Unajiuliza kama Russia, China, Iran na korea kaskazini wanawekea vikwazo. Nani aliyebaki hapo?
Ni nchi gani iliyowahi kumuwekea vikwazo Marekani? Marekani walikiri waliivamia Libya. Je, kuna nchi yoyote iliyomuwekea vikwazo?.
Russia ameenda kuivamia Ukraine kawekewa vikwazo.
Israel kila siku anawapiga wapalestina. Juzi ameipiga Syria mpk Russia amelaani. Nani aliyemuwekea vikwazo?
Marekani na Israel ni fire