Desprospero
JF-Expert Member
- Feb 1, 2023
- 1,015
- 2,493
Mimi nasubiri siku Rais wa Zanzibar Dk. Hussein Mwinyi akipinga hadharani ushoga maana hata wabara hujifunzia ushoga Zanzibar. Hivi mmesahai msemo, "yakhe ushalipiwa?"
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tunakoelekea tutakuwa vipande viwili,Urusi nayo ni shetani tu. Urusi ni kati ya nchi zinazoruhusu na kutambua biashara za umalaya.
Afrika kwenye hili tusimame imara. USHOGA HAPANA. Mashoga hapa Tanzania, hata kabla ya hizi jitihada za sasa za kutaka kuhalalisha, walikuwepo na wameendelea kuwepo. Hata nyakati za kale, hata kabla ya Kristo, walikuwepo. Walikuwa wakifanya huo uchafu wao kama wanavyofanya waovu wengine katika mambo mengine. Wamekuwa wakifanya kwa kificho kwa sababu wanajua kuwa ni uovu. Ibakie hivyo hivyo.
Serikali au dini kuwatambua watu wa jinsia moja kuwa ni mume na mke ni uhayawani wa hali ya juu.
Hawa wanaokubali ndoa za jinsia moja, ina maana kuna siku tutashuhudia hata kuwepo kwa Rais shoga. Huyo shoga wake tutamwita first lady au first gentleman? Fikiria siku tutakapotangaziwa kuwa kuna ugeni mzito toka US, Rais anakuja kuitembelea Tanzania, ataongozana na first gentleman wake. Gentleman wa Rais atakutana na wanawake wa Tanzania ili kuona namna ya kuwasaidia wanawake wenzake!!!
Sasa wale wapumbavu ulishaona wanaongea lolote lenye maana?Nimesema Kila siku, Kama Bunge letu hili pamoja na kwamba Lina vilaza wengi, ila kama hawatakuja na Mpango madhubuti wa kulinda watoto dhidi ya Ushoga , tumekwishaaa !!.
Hivi Juma Lokole, anapost video za Shoga mwenziee akikata mauno, alafu TCRA IPO???? SERIKALI IPO?? BUNGE LIPO???
Ombeni sana Nchi isiongozwe na !!!!!! Mtamalizia wenyewe
Mkuu 'Missile', huwa una mada fikirishi sana unapoamua kuziibua, ukiondoa ile ya siku nyingi inayohusu dini.Tuwe macho
Nimesema Kila siku, Kama Bunge letu hili pamoja na kwamba Lina vilaza wengi, ila kama hawatakuja na Mpango madhubuti wa kulinda watoto dhidi ya Ushoga , tumekwishaaa !!.
Hivi Juma Lokole, anapost video za Shoga mwenziee akikata mauno, alafu TCRA IPO???? SERIKALI IPO?? BUNGE LIPO???
Ombeni sana Nchi isiongozwe na !!!!!! Mtamalizia wenyewe
LOOooooh!Nisaidiwe kidogo! Nini agenda iliyo nyuma ya ushoga?
Marekani na nchi za Ulaya wanafaidika nini na ushoga kiasi kwamba watumie gharama kubwa kuusambaza, kuulinda, na kuuhudumia?
Nitashukuru nikipatiwa jawabu mujarabu.
Kama Putin anapinga ushoga kwa nini 2018 hakufanya kama Qatar?
Nchi za Kiarabu ndio zinazofahamika kwa msimamo mkali dhidi ya Ushoga
Urusi ni nchi ya kizungu na ina tamaduni nyingi tu za kizungu kama vile kunywa pombe, wanawake kuvaa nusu uchi, kutoa mimba, kuzaa nje ya ndoa
Sema hivi sasa ndio inajifanya kuwa na misimamo ya nchi za kiarabu ili kuwavutia Waarabu na Waafrika kuwa ina utamaduni kama wa kwao, baada ya marafiki zake wa upande wa kizungu kumkataa kutokana na uvamizi wa Ukraine
Kombe la Dunia lililofanyika Urusi ushoga, pombr, ngono vilikuwa vikifanyika na hakukuwa na kizuizi chochote
Vita ya Ukraine ilipobamba moto, na Putin kutafuta justification na kuungwa mkono na mataifa ya kiarabu na Afrika, akajifanya nae anamsimo mkali dhidi ya ushoga ili kuwachota akili
Nchi za Kiarabu kama Egypt na Saudia, UAE, Morocco zina sheria kali kuhusu ushoga na ni marafiki dam dam na Marekani
kusambaza ushoga Afrika haijawahi kuwa agenda namba 1 ya Marekani hakuna maslahi kiuchumi itakayopata kutokana na hilo
Na Hata huo ushoga wenyewe haukubaliki na Marekani yote, chama cha Republican sio pro ushoga
Tanzania hatujaruhusu Ushoga na ni rafiki wa Marekani, vivyo hivyo Kenya, na nchi nyinginezo
Ukiwasikiliza China, utasikia na wao wakisema neno hilo "Demokrasia" kwa namna yao wenyewe.TCRA inatakiwa ifutwe kabisa, katika nchi za kidemokrasia hakutakiwi kuwe na vyombo vya ku censor free speech.
Ni ujinga kufikiri Marekani hawahitaji kufanya biashara nyingine wamekalia kufikiria mashoga tu. Kwanza hata Marekani mashoga majimbo mengi wanakataliwa tofauti tu ni kwamba kisheria wanalindwa na katiba. Pili Marekani anashindana na China tusipoteze muda badala ya kuliona hilo kuanza kufikiria mashoga badala yake tuangalie miradi yetu.
Huu ni wakati magari yanaenda kuwa ya umeme na madini yapo Africa sisi tunafikiria mashoga.
We jamaa mpumbavu sana,humjui Putin wewe acha kudandia mambo hovyo,ona aibu yako hii sasa
Nashukuru Mkuu #Kalamu, kwa ufafanuzi mujarabu.LOOooooh!
Umeuliza swali la msingi sana, na ninajuwa hakuna mwenye jibu atakayekujibu.
Hilo swala la ushoga ni sehemu ndogo tu inayotumiwa na hao jamaa, kwa mgongo wa kulinda maslahi yao mapana zaidi.
Wao wanasema kupigania 'values' zao, ikiwa ni pamoja na 'shoga' (haki za binaadam za makundi mbalimbali); lakini jambo muhimu zaidi wanalolipigania ni kuendelea kuitawala dunia kwa misingi ya tamaduni zao.
Sasa hivi tishio kubwa linalowakabili ni Mchina, na sasa likaingia na swala na Ukraine. Kwa pamoja, haya yanavuruga mipango yao ya kuendelea kuiendesha dunia katika sura wanayoishikilia wao. Mchina, Mrusi, India, Iran na nchi nyingi nyingine zinatishia hali hiyo wanayoitaka wao.
Hebu nipe maoni yako juu ya jibu hili.
Maoni yako haya yamenipa wazo, na kuzua swali:Tunakoelekea tutakuwa vipande viwili,
Wacha Mungu dhidi ya waabudu shetani wazi wazi.
Mifumo kujitahidi kuinua na Kuhalalisha USHETANI, Nia ni kuondoa watu wenye kuamini juu ya uwepo wa Mungu.
Hawatofanikiwa kama Bado tunaishi tunaomuhofu Mungu.
Nisaidiwe kidogo! Nini agenda iliyo nyuma ya ushoga?
Marekani na nchi za Ulaya wanafaidika nini na ushoga kiasi kwamba watumie gharama kubwa kuusambaza, kuulinda, na kuuhudumia?
Nitashukuru nikipatiwa jawabu mujarabu.
Nabii Rolinga aliyetabiri kifo Cha Magu miezi kadhaa kabla ya Kutokea,
Ametoka na kutabiri kuwa kiongozi yeyote wa ukanda huu ya Africa mashariki atakayepitisha USHOGA ktk SHERIA za Nchi,
HATOMALIZA TERM YAKE YA UONGOZI.
Tusubiri.
Ujio wa Popee congo lazima umepitisha ujumbe Kwa viongozi wa makanisa hayo Africa kuwalainisha wakubali USHETANI huo.
Popee huyo ndo mtawala underground wa westerners akimtumia merekano,
Nchi hii wamekwama. Putino aungwe mkono.
Ukifanikiwa kumfanya Mwanaume kuwa shoga, umeitawala Dunia,
Shoga hawezi fanya uamuzi wowote wa kijasiri kiume kupambania chochote, shoga ni kama mwanamke tu.
Africa na watu waamini Mungu tukatae Kwa nguvu zote mambo haya.
Serikali ikiamua yaeza kuwapunguza na kuwaondoa mashoga mitaani na waume wanaofanya vitendo hivyo ,inawezekana.