Tsh
JF-Expert Member
- Aug 26, 2021
- 17,022
- 36,936
Wapo wengi sana. Suala la Ushoga ni tabia ambayo hata watu weusi wanazo. Unadhani ni wazungu tu? VIDEO NZURI SANA.Kuna wazungu wachache bado wana akiliView attachment 2550948
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wapo wengi sana. Suala la Ushoga ni tabia ambayo hata watu weusi wanazo. Unadhani ni wazungu tu? VIDEO NZURI SANA.Kuna wazungu wachache bado wana akiliView attachment 2550948
Kwenye mambo ya doctrine papa hawezi kwenda kunyume na mafundisho ya kanisa.Inawezekanaje wakatoliki wa Tanzania wajitenge na Papa na waanzishe kanisa lao linalopinga ushoga??!
Sijaiona 'Iraq' kwenye orodha hiyo, hata Libya huwezi kusema ilisambaratika kutokana na wenyewe nchi mwao.
Kiufupi ni kwamba unajaribu tu kutetea jambo lisilo rahisi kulitetea.
Hawa wanatumia mbilioni ya pesa kuhujumu wengine, halafu leo useme nchi haiwezi kusambaratika kwa sababu zinazotokea nje ya nchi? Hujui hawa wanatumia vikundi vilivyomo ndani kuanza kuhujumu nchi nzima?
Urusi wana bahati sana kwamba waliugundua mchezo kungali mapema sana.
Vita kubwa sana hii..kusambaza ushoga Afrika haijawahi kuwa agenda namba 1 ya Marekani hakuna maslahi kiuchumi itakayopata kutokana na hilo
Na Hata huo ushoga wenyewe haukubaliki na Marekani yote, chama cha Republican sio pro ushoga
Tanzania hatujaruhusu Ushoga na ni rafiki wa Marekani, vivyo hivyo Kenya, na nchi nyinginezo.
Sasa NATO walitaka nini hapo kama kazi ilikuwa imefanyika tayari. Huoni kuwa hii ni kazi ya moja kwa moja waliyokuwa wakiifanya kupitia kwa hao unaosema waliianzisha?Libya ilisambaratika kutokea ndani, Arab springs ilianzia ndani na ilitokana na matatizo yao wenyewe waarabu huko ndani kwenye nchi zao baada ya raia wake kuchoshwa na tawala za muda mrefu sana, NATO walifika baada kumalizia tu kazi iliyoakuwa imeanza.
Urusi waligundua mchezo gani mapema? Kwani Ukraine iko ndani ya Urusi??
Hii ni "dua" tu isiyokuwa na msingi wowote.
Baada ya vita mrusi anajenga uchumi wake, tena kwenye mazingira tofauti kabisa ambayo si 'unipolar' tena, yasiyotawaliwa na hao wanaotaka kuitawala dunia milele.
Kwenye mambo ya doctrine papa hawezi kwenda kunyume na mafundisho ya kanisa.
Kwa nchi za kiarabu,ufanye ushoga,kichwa chako ni halali yao,Kabla hujafika kwa Pilato.Warabu ndiyo wanaongoza kwa Ushoga
Kama Martin Luther aliweza kujitoa kwenye Ukatoliki baada ya kutofautiana nao mambo fulani fulani ya kitheologia basi hata hapa TZ iwapo wakatoliki wataona kanisa mama linakwenda kinyume cha Injili ya kweli ya Yesu Kristo linaweza kujitenga.Inawezekanaje wakatoliki wa Tanzania wajitenge na Papa na waanzishe kanisa lao linalopinga ushoga??!
Daaah nimecheka sana yaani alivyoongea as if kama ni baba yake anashinda naye kila siku hawa viongozi mbele za watu wana sura tofauti na wakiwa nyuma ya pazia wana sura tofauti tusidanganyane tunamjua🤣🤣🤣🤣🤣🤣Wewe ndio unamjua vizuri sababu unalala nae
muarabu usimtaje kwenye hili.hana utakatifu wowote. anapinga ushoga lakini anatoa marinda wanawake, kuna tofauti gani hapo? hicho kitu sio cha ajabu sana kwa waarabu. Mungu yu karibu kuihukumu dunia.Kama Putin anapinga ushoga kwa nini 2018 hakufanya kama Qatar?
Nchi za Kiarabu ndio zinazofahamika kwa msimamo mkali dhidi ya Ushoga
Urusi ni nchi ya kizungu na ina tamaduni nyingi tu za kizungu kama vile kunywa pombe, wanawake kuvaa nusu uchi, kutoa mimba, kuzaa nje ya ndoa
Sema hivi sasa ndio inajifanya kuwa na misimamo ya nchi za kiarabu ili kuwavutia Waarabu na Waafrika kuwa ina utamaduni kama wa kwao, baada ya marafiki zake wa upande wa kizungu kumkataa kutokana na uvamizi wa Ukraine
Kombe la Dunia lililofanyika Urusi ushoga, pombr, ngono vilikuwa vikifanyika na hakukuwa na kizuizi chochote
Vita ya Ukraine ilipobamba moto, na Putin kutafuta justification na kuungwa mkono na mataifa ya kiarabu na Afrika, akajifanya nae anamsimo mkali dhidi ya ushoga ili kuwachota akili
Nchi za Kiarabu kama Egypt na Saudia, UAE, Morocco zina sheria kali kuhusu ushoga na ni marafiki dam dam na Marekani
kusambaza ushoga Afrika haijawahi kuwa agenda namba 1 ya Marekani hakuna maslahi kiuchumi itakayopata kutokana na hilo
Na Hata huo ushoga wenyewe haukubaliki na Marekani yote, chama cha Republican sio pro ushoga
Tanzania hatujaruhusu Ushoga na ni rafiki wa Marekani, vivyo hivyo Kenya, na nchi nyinginezo
Dah!Urusi itauza nini duniani katika hiyo unipolar order zaidi ya gesi, mbolea, ngano na silaha kama anavyouza sasa tena kwa soko finyu zaidi??
Aisee.... naomba link ya huo uzi wa diniMkuu 'Missile', huwa una mada fikirishi sana unapoamua kuziibua, ukiondoa ile ya siku nyingi inayohusu dini.
Na uzuri ni kwamba huwa unatumia muda kuzipangilia vizuri mada zako kwa mtiririko unaoeleweka.
Katika hili la Marekani na 'soft power' yake, kwa bahati mbaya umejikita sehemu moja tu ya ushoga', ambayo kwa kweli ni sehemu tu ya mihangaiko anayoikabiri Mmarekani wakati huu.
Swala zima ni 'geopolitical', kuliko swala la ushoga pekee. Huyu amekuwa kinara, mwendeshaji wa dunia yenye mtindo wa 'unipolar', sasa anaona umwamba huo unatishiwa; kwanza kwa Urusi kuvamia Ukraine, jambo ambalo pia ulikuwa ni juhudi za kuongeza umwamba wake ambao umeshtukiwa na kutishwa na huyo aliyekuwa amelengwa kudhoofishwa, Urusi. Matokeo ya haya yote, dunia inaenda kwenye mtindo mwingine tena, kutoka 'Unipolar, kwenda kwenye 'multipolar'.
Sitataka kuandika kirefu hapa lakini ngoja nikupe vidokezo fulani vya kuunga mkono mada yako:
1. Tanzania ni juzi juzi tu, imefanya jambo la kipekee kabisa ambalo hatujawahi kulifanya tokea nchi yetu ipate uhuru.Kwa mara ya kwanza tumejificha vichakani na kutopiga kura kwenye Azimio ndani ya Umoja wa Mataifa; kwa kuogopa kuwaudhi wakubwa; matokeo yake ndiyo hiyo zawadi ya mama Makamu wa Rais kuja kututembelea
2. Umeyasikia waliyoyasema wakubwa katika mkutano wao California, ule wa Merikebu za Australia zinazotazamiwa kuanza kuundwa kwenye nchi hiyo hivi karibuni kwa msaada wa Marekani na Uingereza?
Wanasema hivi: "China represents challenge to "World Order" (Rishi Sunak).
Akaendelea kueleza kuwa "China is a country with fundamentally Different Values to Ours".
Ujue maana ya haya maneno ni nini. Hawa wanapigana juu chini kuhakikisha dunia inakuwa na 'values' zao.
Kwa hiyo sasa wanahaha kila mahala kuhakikisha 'values' hizo zinalindwa, ikiwa ni pamoja na huku kwetu.
3. Kurusi kwenye swala hili la ushoga ulilolipa kipaumbele, na pengine ukiongezea na wazungu kuporwa ardhi yao; hivi uliwahi kujiuliza ni sababu zipi hasa Zimbabwe wanaendelea kuwekewa vikwazo vya kiuchumi hadi leo, hata baada ya Mugabe kuondoka?
Mkuu, 'Missile', haya mambo tuyape uzito unaostahili. Hata kama kuna swala la Ushoga linawasumbua, lakini ni lazima tutambue wazi kuwa ni ukoloni tu unarudi kwa njia tofauti.
Dah!
Naona wewe unayo picha ya dunia ya kipekee sana, kama unaona dunia yote ni nchi hizo za Magharibi tu.
Waliweka vikwazo wakitegemea kwamba mrusi atakwisha katika muda mfupi kwa uchumi kuanguka. Hadi leo uchumi unakwenda.
Sijui unaijua urusi kiasi gani hadi uone kwamba haiwezi kujenga tena uchumi wake, hata kama ungekuwa ni wa kutegemea raslimali hizo za gesi, mafuta; pamoja na mazao ya nafaka, kwani haya hayaingizi fedha nchini?
Urusi unajua hakuna viwanda vya kutengeneza chochote?
Na unao uhakika kwamba hawataweza kamwe kujifunza na wao kama wanavyofanya mataifa mengine?
Mbona India wanaibuka, Brazil wanainuka na nchi chungu nzima zinainukia, lakini kwa urusi haiwezekani?
Itakua umeanza kuifwatilia urusi juzi.... Si tu putin tangu Enzi za Rais yetsen wa wakali alikuwa akipinga ushoga wazi kabisa... Na urusi haijawai kuwa na Sheria inayoruhusu ushoga pamoja na kwamba urusi ni nchi ya kizungu ila ina itikadi ya ki socialist... Utamaduni wa falsafa ya kisocialist ni pamoja nakusimamia maadili Katika jamii..Kama Putin anapinga ushoga kwa nini 2018 hakufanya kama Qatar?
Nchi za Kiarabu ndio zinazofahamika kwa msimamo mkali dhidi ya Ushoga
Urusi ni nchi ya kizungu na ina tamaduni nyingi tu za kizungu kama vile kunywa pombe, wanawake kuvaa nusu uchi, kutoa mimba, kuzaa nje ya ndoa
Sema hivi sasa ndio inajifanya kuwa na misimamo ya nchi za kiarabu ili kuwavutia Waarabu na Waafrika kuwa ina utamaduni kama wa kwao, baada ya marafiki zake wa upande wa kizungu kumkataa kutokana na uvamizi wa Ukraine
Kombe la Dunia lililofanyika Urusi ushoga, pombr, ngono vilikuwa vikifanyika na hakukuwa na kizuizi chochote
Vita ya Ukraine ilipobamba moto, na Putin kutafuta justification na kuungwa mkono na mataifa ya kiarabu na Afrika, akajifanya nae anamsimo mkali dhidi ya ushoga ili kuwachota akili
Nchi za Kiarabu kama Egypt na Saudia, UAE, Morocco zina sheria kali kuhusu ushoga na ni marafiki dam dam na Marekani
kusambaza ushoga Afrika haijawahi kuwa agenda namba 1 ya Marekani hakuna maslahi kiuchumi itakayopata kutokana na hilo
Na Hata huo ushoga wenyewe haukubaliki na Marekani yote, chama cha Republican sio pro ushoga
Tanzania hatujaruhusu Ushoga na ni rafiki wa Marekani, vivyo hivyo Kenya, na nchi nyinginezo
Nioneshe ni wapi Papa katetea ushoga.Papa kutetea ushoga sio kinyume na mafundisho ya kanisa??
Kwa hiyo hapa unasema kwamba China, India, Brazil, na nchi yoyote itakayotaka kuendelea ni lazima ikubali 'values' za Magharibi? Bila hivyo hapatakuwepo na maendeleo? Chumi zao hazitakuwa nzuri?Urusi haitaweza kuibuka kwa utawala wa aina ya Putin. India na Brazil zimekuwa zikibadilisha tawala, zikifanya reforms na kujikita katika kukuza chumi zao na kufanya maendeleo badala ya kupambana na West, ni hivyo pia kwa China, hali ni tofauti sana kwa Urusi.
MAREKANI INASABABISHA VIPI MWANAO AWE SHOGA?????
TUMIENI AKILI....
WALEENI WATOTO WENU KATIKA NJIA IPASAYO HATA WAJAPOKUWA WAZEE WASIJE WAKAICHA.
MITHALI. 22:6
Hili ndio jibu
Kwa hii comment walah Bora wangetumia kondomu sio kuleta ng'ombe dunuaniMAREKANI INASABABISHA VIPI MWANAO AWE SHOGA?????
TUMIENI AKILI....
WALEENI WATOTO WENU KATIKA NJIA IPASAYO HATA WAJAPOKUWA WAZEE WASIJE WAKAICHA.
MITHALI. 22:6
Hili ndio jibu
Katika makosa Marekani na binamu zake watajutia miaka mingi ijayo, ni pamoja na kuzifanya Russia na China kuwa na urafiki wa karibu sana.Dah!