Marekani yabamizwa mapigo mawili matakatifu, onyo tu hilo

Na lile tetemeko la Uturuki na ile Boxing Day Tsunami na ile Tsunami ya Japani na lile tetemeko la Iran na ille Typhoon iliyopiga Phillipines hayo yote ni maeneo wanayoishi Wazayuni?!

We Bibie umechanganyikiwa.
Bibi dishi limeyumba aiseee! Anahitaji msaada
 
Kwahiyo huyo muumba unayemsema kashindwa kuwapiga mazayuninpale walipovamia ila kakimbilia huko ardhi ya watu wengine🤣🤣🤣🤣🤣. Huyo atakua muumba bakuli na sahani.
 
Kwahiyo huyo muumba unayemsema kashindwa kuwapiga mazayuninpale walipovamia ila kakimbilia huko ardhi ya watu wengine🤣🤣🤣🤣🤣. Huyo atakua muumba bakuli na sahani.
Huko si ndiko kwenye shina. Hilo ni onyo, nini ambacho huelewi?
 
Ni vipigo viwili tofauti kutoka kwa Muumba wetu. Damu za watu hazimwagwi bure.
Hii kitaalam imekaaje? Yaani muumba anasubiri watu wamwage damu za wenzao ndo aje kulipiza kwa majanga ambayo yanapitia wahusika wahusika na wasiohusika na umwagaji damu badala awalinde wanaomwagwa damu from the beggining dhidi ya wamwaga damu.

Wakuu hizi stori za dini zinanichanganya kila ninapowaza nje ya box
 
Huu uzi umajaa post za mazayuni wa Tandale kwa Tumbo….
 
Vimbunga ni vitu vya siku zote ukanda huo hakuna cha mapigo wala nini.
 
Uturuki mwaka jana ilipigwa na tetemeko. Hata irani baada ya shambulio kwenda israel mwez unaofata likatokea tetemeko irani pia. Russia kulitokea mafuriko na afghanistani mafuriko...
 
Uturuki mwaka jana ilipigwa na tetemeko. Hata irani baada ya shambulio kwenda israel mwez unaofata likatokea tetemeko irani pia. Russia kulitokea mafuriko na afghanistani mafuriko...
Hayo utajuwa wewe, mimi naongolea ya sasa hivi.
 
Na yale mafuriko ya Dubai yalikuwa onyo la nini!? Huko si ndo mji wenu mtakatifu ulipo kwahiyo mlikuwa mnapewa onyo nyinyi mahujaji au!? Na mauaji ya kukanyagana mahujaji pia huwa ni onyo la nini vile!?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…