4by94
JF-Expert Member
- Oct 1, 2019
- 9,214
- 8,306
kila hizo siku si wanakuwa wapalestina ndo wamelianzisha?Kila siku maghorofa ya palestina yanaporomoshwa,we ndo unaona Leo!!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
kila hizo siku si wanakuwa wapalestina ndo wamelianzisha?Kila siku maghorofa ya palestina yanaporomoshwa,we ndo unaona Leo!!
Aisee nimeona vile HAMAS walifanya kwenye hilo tamasha aah aah wamechinjaaa watu balaa.Dah Gaza pamekua km syria yaan magofu tu wanachapwa kama watoto Alie wadanganya waivamie israeli kama yupo wamnyonge afe katia hasara kubwa sana.
Netanyahu miaka anaitisha Iran yeye na Marekani kuna siku wolisogea, mmesahau kichapo alicho chezea US kutoka Iran kwenye ile camp yao pale Iraq 😂Iran mchovu sanaaaa technology Yao kwnza kama ya zambia tu hatokuja amuweze +1 Iran watabakia kupiga takbir
[emoji23][emoji23][emoji23] km Zambia?Iran mchovu sanaaaa technology Yao kwnza kama ya zambia tu hatokuja amuweze +1 Iran watabakia kupiga takbir
Nipe wapi walingia vita hao bila kusaidiwa na mataifa menginenan anawasaidia?
soma alama za nyakati , ss hv usicheze na west watakuvagaa tuNdio maana nakuambia huna exposure ya dunia,sasa ivi dunia imebalance achana na hollywood na western media ,hizo ni propaganda machine,we unadhani kwa akili yako iran ikiingilia huo mgogoro US atafanya nini[emoji1787][emoji1787],geopolitics ni muhimu mno
Kwani ni razima Iran ijiingize kila mgogoro.Mr exposure
Kwann iran isiingilie mpka sasa??
Ndo maana nakuambia acha drama dunia haijawai na haitokuja kuwahi kubalance lazma kuwe na principal na subsidiary
Myahudi wa Buza akitokwa povuWaajemi wa Ibadakuli wanakuja kutoa povu
Na huyo unayemtaja kuwa kinara wa kila kitu kishamwaga kila aina ya silaha Ukraine, maeneo yaliyotekwa na Russia mpaka leo hayajakombolewa.Mr exposure
Kwann iran isiingilie mpka sasa??
Ndo maana nakuambia acha drama dunia haijawai na haitokuja kuwahi kubalance lazma kuwe na principal na subsidiary
Mbona hawajamvagaa Russia!soma alama za nyakati , ss hv usicheze na west watakuvagaa tu
Na huyo unayemtaja kuwa kinara wa kila kitu kishamwaga kila aina ya silaha Ukraine, maeneo yaliyotekwa na Russia mpaka leo hayajakombolewa.
Kwanini yeye hapeleki askari wake wakasaidie kumswaga Russia
Wala hawajaanzisha,Kuna siku ghorofa la vyombo vya habari ikiwemo Al Jazeera liliporomoshwa,mnapewa dakika kumi kutoka kwenye ghorofa 20kila hizo siku si wanakuwa wapalestina ndo wamelianzisha?
Aingize,si ndiyo hatua inayofuata,maana ndege hazitamaliza Vita,Kuna mateka zaidi ya 200 wakiwemo wanajeshi,ni lazima aingie kwenye hiyo mitaa aliyobomoaHujui Historia. ZAIDI ya mhemko wa kidini.
Hamasi ni mashujaa sana. Hayo majengo yatajengwa tena waarabu wana pesa ndefu sana.Hamas wamezingua sana, Gaza inageuka magofu kwa upumbavu wa genge moja la wahuni walioamua kujitafuta bila kuhesabu gharama za madhara kwa jamii zao.
Watu wanaingia kimya kimya kutoka nchi nyingi tu za kiislam. Kuna kila dalili Israel itapoteza askari wwngi sana kama wataingia groundMr exposure
Kwann iran isiingilie mpka sasa??
Ndo maana nakuambia acha drama dunia haijawai na haitokuja kuwahi kubalance lazma kuwe na principal na subsidiary
Jamaa wanapigwa mpaka unawaonea huruma lakini ukifikiria tena wao ndo wameanzisha ugomvi unaona acha wachapwe ili wasije rudia teba ujinga.Aisee nimeona vile HAMAS walifanya kwenye hilo tamasha aah aah wamechinjaaa watu balaa.
Acha wavune walichopanda.Na hiyo serikali ya Palestina inaonesha wanaunga mkono HAMAS
Sisi hamas tuliyategemea hayo, na moto tutaendele kuuwasha mpaka tumepata haki yetu. Kama hamtaweza kuwauwa wapaleatina wote, basi mjue hii vita hamta shinda. Bomoeni kila kitu kilicho mbele yenu lakini mjue bila kupata haki yetu basi msahau kuwa na amaniDah Gaza pamekua km syria yaan magofu tu wanachapwa kama watoto Alie wadanganya waivamie israeli kama yupo wamnyonge afe katia hasara kubwa sana.
Unajua huu ugonvi umeanza lini? Nani kakudanganya ugonvi umeanza jumamosi iliyopita?Jamaa wanapigwa mpaka unawaonea huruma lakini ukifikiria tena wao ndo wameanzisha ugomvi unaona acha wachapwe ili wasije rudia teba ujinga.