Mukulu wa Bakulu
JF-Expert Member
- Aug 12, 2014
- 4,050
- 12,968
Donor country tunapokeaje misaada wakati sisi ndio tunapaswa kutoa misaada. Hiyo misaada baadae wakitugeuka na hela zao tumekula? Ukipenda vya bure ukiambiwa us... ukuta usilalamike.kwahiyo wale waliosema data zinatuponza tunyimwe misaada wanasimama upande gani sasa hivi[emoji1786][emoji1786][emoji1786][emoji1786].
We jamaa bwana TZ sijui imekufanya nini wallay duu.Subiri waziri wa afya atatoa ufafanuziMasharti ya misaada lazima ifuatwe, ukiwa maskini huna usemi wowote, unapokenua meno ukipokea msaada wao, ujue siku wakikuhitaji lazima uwe tayari kuachia kila kitu hadi wenyewe wachoke.
Waulize machangu inavyokuaga wakati wamelipwa kutoa huduma.
TZ sio Kenya wewe narudia tena kukumbusha.
hatukutoa data ili tupewe mikopo,hatutatoa data sababu tumepewa msaada wala mkopo[emoji23][emoji23][emoji23].
unaweza ukaona kwanini tuna kiburi,yaani ukiwa unajiamini bana raha sana.
hamna aliyeomba msaada we mzee.Donor country tunapokeaje misaada wakati sisi ndio tunapaswa kutoa misaada. Hiyo misaada baadae wakitugeuka na hela zao tumekula? Ukip3nda vya bure ukiambiwa us... ukuta usilalamike.
Mbona nyie nyang'au mmeacha kutaja taja Tanzania kwenye takwimu zenu feki siku hizi baada ya kupigwa mkwara mzito na wakuu wa mikoa ya Arusha, Mara, Kilimanjaro na Tanga?Masharti ya misaada lazima ifuatwe, ukiwa maskini huna usemi wowote, unapokenua meno ukipokea msaada wao, ujue siku wakikuhitaji lazima uwe tayari kuachia kila kitu hadi wenyewe wachoke.
Waulize machangu inavyokuaga wakati wamelipwa kutoa huduma.
kama nyinyi middle income mmezoea kushika ukuta hizo ni starehe zenu,msisingizie kulazimishwa[emoji23][emoji23][emoji23].Hela zao mlishatia kwenye pochi, hamna kingine zaidi ya kushikishwa...
Ukilamba hela zao huna kingine, haswa kwa maskini kama nyie watu.
Hii imeniuma Sana ...nilidhani USA wataisakama serikali ya TZ lakini kumbe wako pamoja na JPM...Mimi sipendi kwa kweli...Marekani imetangaza kuwa kupitia Shirika lake la Maendeleo ya Kimataifa (USAID) itaongeza USD 2.4 M (Tsh. Bil. 5.6) ikiwa ni msaada kwa sekta ya afya kuimarisha uwezo wa maabara na upimaji wa kimaabara, jitihada za utoaji taarifa na miradi mingine mbalimbali. #MillardAyoUPDATES
•
Taarifa iliyotolewa na Ubalozi wa Marekani leo imesema fedha hizi ni nyongeza ya msaada wa USD milioni moja unaolenga kusaidia mapambano dhidi ya kirusi corona uliotolewa hivi karibuni hivyo kufanya kiasi kipya cha pesa zilizotolewa kwa Tanzania kukabiliana na corona kufikia USD milioni 3.4.
•
Taarifa hiyo imesema kiasi kingine cha dola za kimarekani milioni 1.9 zilibadilishwa matumizi na kuelekezwa kwenye mapambano dhidi ya corona na kufanya jumla ya pesa zilizotolewa na Marekani katika kukabiliana na corona Tanzania hadi sasa kufikia jumla ya USD milioni 5.3 (Bilioni 12 Tsh. )
Mkuu marekebisho kidogo ya heading ya post yako. Hapo ulipoanza na marekani weka Mabeberu!!Marekani imetangaza kuwa kupitia Shirika lake la Maendeleo ya Kimataifa (USAID) itaongeza USD 2.4 M (Tsh. Bil. 5.6) ikiwa ni msaada kwa sekta ya afya kuimarisha uwezo wa maabara na upimaji wa kimaabara, jitihada za utoaji taarifa na miradi mingine mbalimbali. #MillardAyoUPDATES
•
Taarifa iliyotolewa na Ubalozi wa Marekani leo imesema fedha hizi ni nyongeza ya msaada wa USD milioni moja unaolenga kusaidia mapambano dhidi ya kirusi corona uliotolewa hivi karibuni hivyo kufanya kiasi kipya cha pesa zilizotolewa kwa Tanzania kukabiliana na corona kufikia USD milioni 3.4.
•
Taarifa hiyo imesema kiasi kingine cha dola za kimarekani milioni 1.9 zilibadilishwa matumizi na kuelekezwa kwenye mapambano dhidi ya corona na kufanya jumla ya pesa zilizotolewa na Marekani katika kukabiliana na corona Tanzania hadi sasa kufikia jumla ya USD milioni 5.3 (Bilioni 12 Tsh. )
sisi mkopo wetu uko pending kwasababu tumekoroga hesabu.Sisi tunakula msaada..Nyang'au wanakula mikopo...
kwahiyo wale waliosema data zinatuponza tunyimwe misaada wanasimama upande gani sasa hivi[emoji1786][emoji1786][emoji1786][emoji1786].
MATAGA bwana dash! Grow up matagaaMimi Kama chadema nimechukia marekan hamueleweki mnamsupport dicteta kwnn imeniuma sn
Hapo ni wadau wa maendeleo sio mabeberu
Kwa msada huu utatowa takwimu kutaka usitake,Kama taarifa hii niya kweli basi huo msaaada upokelewe kwa umakini mkubwa. Mabeberu wa mbinu nyingi sana za kutekeleza ubeberu wao
Kwani Tanzania bado kuna Corona ?Marekani imetangaza kuwa kupitia Shirika lake la Maendeleo ya Kimataifa (USAID) itaongeza USD 2.4 M (Tsh. Bil. 5.6) ikiwa ni msaada kwa sekta ya afya kuimarisha uwezo wa maabara na upimaji wa kimaabara, jitihada za utoaji taarifa na miradi mingine mbalimbali. #MillardAyoUPDATES
•
Taarifa iliyotolewa na Ubalozi wa Marekani leo imesema fedha hizi ni nyongeza ya msaada wa USD milioni moja unaolenga kusaidia mapambano dhidi ya kirusi corona uliotolewa hivi karibuni hivyo kufanya kiasi kipya cha pesa zilizotolewa kwa Tanzania kukabiliana na corona kufikia USD milioni 3.4.
•
Taarifa hiyo imesema kiasi kingine cha dola za kimarekani milioni 1.9 zilibadilishwa matumizi na kuelekezwa kwenye mapambano dhidi ya corona na kufanya jumla ya pesa zilizotolewa na Marekani katika kukabiliana na corona Tanzania hadi sasa kufikia jumla ya USD milioni 5.3 (Bilioni 12 Tsh. )
Hata mimi nimestukaMkuu bila ya kuwepo chanzo cha habari hii. STUKA! Kwamba ni uongo wa kutunga.