Marekani yaishambulia kwa makombora Iran kwa walichokiita ni hali ya kujilinda dhidi ya vitisho vya Iran

Marekani yaishambulia kwa makombora Iran kwa walichokiita ni hali ya kujilinda dhidi ya vitisho vya Iran

Iran wakijibu mapigo kwa nguvu kubwa marekani na shoga yake Israel wataanza tena kulilia mazungumzo.

Naiomba Iran iwadinye hawa wapuuzie hata kama watalilia mazungumzo ya amani.
hapo iran anaingizwa king adinywe wewe, misheni ya kuinyuka iran ilikuwa haijakamilika, akijibu tu ananyukwa, mbona kama hujui mbinu za kivita mjuba? Anachokozwa ili ajibu ale kichapo cha mbwa koko
 
hapo iran anaingizwa king adinywe wewe, misheni ya kuinyuka iran ilikuwa haijakamilika, akijibu tu ananyukwa, mbona kama hujui mbinu za kivita mjuba? Anachokozwa ili ajibu ale kichapo cha mbwa koko
Sasa kwa nini Iran akiwaingizia pipe qinyeoni mnaanza kuomba mazungumzo? Sometimes mtu anayewashwa anahitaji tu kukunwa na si vinginevyo.
 
Iran haiwezi kushinda mtanange huu, ni kitisho mashariki ya kati kinachotakiwa kuondolewa ili usimikwe utawala mwingine usiofadhili makundi ya kigaidi kanda hiyo
 
yale mazungumzo huwa ni zuga tu, misheni ya kumnyuka ipo palepale mpaka itimie
Si kuzuga. Ni kwamba wamedinywa wakawa wanatokwa damu katika sehemu za siri, wakaenda kupata tiba kidogo.

Sasa wameanza kupandwa na ashiki ya kuzamishiwa dushelele refu ndiyo maana wamerudi tena.
 
Kinachotakiwa ni kuondolewa kwa utawala wa maayatollah, utawala wa kidini wenye misimamo mikali unaoonekana ni kitisho kwa Israel na Marekani, usimikwe utawala mwingine usio na misimamo mikali
 
Si kuzuga. Ni kwamba wamedinywa wakawa wanatokwa damu katika sehemu za siri, wakaenda kupata tiba kidogo.

Sasa wameanza kupandwa na ashiki ya kuzamishiwa dushelele refu ndiyo maana wamerudi tena.
wanapigwa tena mpaka ule utawala wa maayatollah uanguke
 
Tuliambiwa mazungumzo yanaendelea vema na wanakaribia kuhitimisha ili wasaini mikataba.
Kinachoendelea sasa ni dalili kwamba mazungumzo yalikuwa ya Hila.
Hili litaongeza joto la mapigano na kuvuruga kabisa Diplomasia ya kumaliza vita.
😁😁 Itakuwa wachina wamemtolea mbavuni

Iran ni vichaa lazima watajibu
 
Umefika wakati sasa sa100 apeleke makomando wame wakamchakaze marekani ili aache uhuni wa kuo ea wenzake.jeshi la sa100 kwa sasa linashika namba mbili duniani kwa ubora
 
Irani akianza kujibu tusiskie wakitoa milio maana hatapaka kunasaa anamkabili mbwa japo mbwa kiumbo nimkubwa
 
Back
Top Bottom