Kennedy
Platinum Member
- Dec 28, 2011
- 62,832
- 77,037
Nipo Hapa Kibeberu Kitunda Nasema Wazi Tutajibu Kwa Haraka, WepesiTutajibu mashmbulizi kwa nguvu.
Nipo Hapa Kibeberu Kitunda Nasema Wazi Tutajibu Kwa Haraka, WepesiTutajibu mashmbulizi kwa nguvu.
Tutajibu naona unawasha/😅😃😎🤪🤪😁😁😂🤣😄😀Niko Hapa Bumbuli
Nasema Tutajibu
Hatuna MchezoTutajibu naona unawasha/
Msije kuomba mazungumzoHatuna Mchezo
Marekani akishambulia watu , hata kuua watoto wakristo hao wanamuunga mkono ...Ila huku kwingine unasikia ni watetea hakiKwa wakristo, kuna wakati..
★Marekani anakuwa Mpinga kristo
★Mafrimason na Illuminati
★Waeneza ushoga
★Mkombozi wa Wakristo.
Inategemea ni wakati gani
.watu wanapigania malengo Yao watachoka na hayajatimia?Hawa jamaa hawachoki kupigana
Hivi kwanini kuna uhusiano mwema sana kati ya wafuasi wa Allah na matusi?. Mtaiona pepo kweli kwa matusi haya?.Sasa kwa nini Iran akiwaingizia pipe qinyeoni mnaanza kuomba mazungumzo? Sometimes mtu anayewashwa anahitaji tu kukunwa na si vinginevyo.
Sahau mazima.wanapigwa tena mpaka ule utawala wa maayatollah uanguke
Napigia mstari 😎.Nipo Hapa Kibeberu Kitunda Nasema Wazi Tutajibu Kwa Haraka, Wepesi
Si kuona Pepo tu, bali tutakuwa tunawagonga mabikra 72 kwa raha zetu.Hivi kwanini kuna uhusiano mwema sana kati ya wafuasi wa Allah na matusi?. Mtaiona pepo kweli kwa matusi haya?.
Duuuh! sawa.Si kuona Pepo tu, bali tutakuwa tunawagonga mabikra 72 kwa raha zetu.
Karibu 😎.Duuuh! sawa.
Marekani ana mabaya yake ila ni lesser evil kuliko hao ma caliphate na communistsKwa wakristo, kuna wakati..
★Marekani anakuwa Mpinga kristo
★Mafrimason na Illuminati
★Waeneza ushoga
★Mkombozi wa Wakristo.
Inategemea ni wakati gani
Kama Iran alishinda vita ambayo alichokozwa, kwa nini alikubali kusitisha bila kulipwa fidia ya hasara alizopata? Kwa nini akakibali kuendelea na mazungumzo huku Marekani kazuia bandari zake?Iran wakijibu mapigo kwa nguvu kubwa marekani na shoga yake Israel wataanza tena kulilia mazungumzo.
Naiomba Iran iwadinye hawa wapuuzie hata kama watalilia mazungumzo ya amani.
Nan ameomba sana kusitishwa kwa vita , blockage ipi mbona meli za USA hazipiti ...Vip kupand bei ya mafuta , nani aliyeomba kusitishwa kama sio washrika ?Kama Iran alishinda vita ambayo alichokozwa, kwa nini alikubali kusitisha bila kulipwa fidia ya hasara alizopata? Kwa nini akakibali kuendelea na mazungumzo huku Marekani kazuia bandari zake?
Kwa mantiki ya kawaida tu, "unaombwa" kusitisha vita na wewe unasitisha, bandari zako zimepigwa pini bado unasitisha unaishia kulalamika...una akili timamu?Nan ameomba sana kusitishwa kwa vita , blockage ipi mbona meli za USA hazipiti ...Vip kupand bei ya mafuta , nani aliyeomba kusitishwa kama sio washrika ?
Niko hapa tuone kama atashinda , Mealengo ya vita yapi yamefanikiwa ?
Labda Iran wamekua mandonga, mtu kazi.Unasema Iran hata wakipigwa wanakuwa wameshinda vita! Wanakuwa wamepata ushindi wa kitu gani, kama watakuwa wamepigwa?