secretarybird
JF-Expert Member
- Aug 22, 2024
- 23,984
- 51,055
Kwa sababu marekani na shoga yake Israel walishindwa kuendelea an vita kwa kudinywa haswa!Kama Iran alishinda vita ambayo alichokozwa, kwa nini alikubali kusitisha bila kulipwa fidia ya hasara alizopata? Kwa nini akakibali kuendelea na mazungumzo huku Marekani kazuia bandari zake?
Sasa miqundu yao imepoa wanaleta tena uchokozi ili wakunwe tena.