secretarybird
JF-Expert Member
- Aug 22, 2024
- 23,984
- 51,055
Kwa sababu marekani na shoga yake Israel walishindwa kuendelea an vita kwa kudinywa haswa!Kama Iran alishinda vita ambayo alichokozwa, kwa nini alikubali kusitisha bila kulipwa fidia ya hasara alizopata? Kwa nini akakibali kuendelea na mazungumzo huku Marekani kazuia bandari zake?
Kumbe najadiliana na zztKwa sababu marekani na shoga yake Israel walishindwa kuendelea an vita kwa kudinywa haswa!
Sasa miqundu yao imepoa wanaleta tena uchokozi ili wakunwe tena.
Malengo bado ila tayar mujahdeen kibao wamefyekwa asa huo ushujaa wakusema mmeshinda kwakip nyie mashiaNan ameomba sana kusitishwa kwa vita , blockage ipi mbona meli za USA hazipiti ...Vip kupand bei ya mafuta , nani aliyeomba kusitishwa kama sio washrika ?
Niko hapa tuone kama atashinda , Mealengo ya vita yapi yamefanikiwa ?
kufa ni ibada ya mujahidina , mpaka watu wanajitoa muhanga hata Yesu alifyekwa tena walimvua nguo na kumsulubu. kwetu ni heshima , sio unakufa kiboya.Malengo bado ila tayar mujahdeen kibao wamefyekwa asa huo ushujaa wakusema mmeshinda kwakip nyie mashia
Kivipi?Kumbe najadiliana na zzt
Iran Mandonga mtu kazi [emoji28]Iran wameshinda vita.Wapigwe wasipigwe,wao huwa washindi tu.
Unasema Iran hata wakipigwa wanakuwa wameshinda vita! Wanakuwa wamepata ushindi wa kitu gani, kama watakuwa wamepigwa?
Iran ni Mandonga wa Uajemi.Elewa tu hivyohivyo mkuu!Unasema Iran hata wakipigwa wanakuwa wameshinda vita! Wanakuwa wamepata ushindi wa kitu gani, kama watakuwa wamepigwa?