Marekani yaishutumu Urusi kutumia Chakula Kama silaha ya kivita Ukraine

Yaani hawa Mbwa wameanza kutoa mlio wa njaa [emoji23][emoji23] Putin hakuna kutoa hata punje ya chakula
 
Zele siku hizi simsikii kwa media nahisi anakesha analewa tu Mara ya mwisho nilimuona macho mekundu Kama alikuwa analia [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Macho mekundu halali usiku mda wote anahisi Wachechen wata mkwiba waka m bake kwa zamu bila mafuta ya alizeti
 
US war-Secretary Antony blinken alisema "Russia WAMEAMUA kutumia Chakula Kama silaha ya kivita kwa kushikilia na kuzuia mamilioni ya Tani za ngano na mafuta ya alizeti zisisafirishwe kwa nchi zinazoitegemea Ukraine moja kwa moja kwa Chakula"

Blinken mpuuzi sana[emoji1782][emoji1782]


SWALI: Je, TOTAL SANCTIONS walizo impose(US-NATO) kwa Rusia ambazo zinaumiza karibu watu wote ulimwenguni wanajifanya hawajui kuwa ni aina mbaya kabisa ya SiLAHA ZA KIVITA!!
 
They (US) are the absolute last people who should dare speak about morals or tell Rusia how to act after they totally embargo them.

Shame on them.
 
The late JPM asingepepesa macho hata kidogo kuona uchumi wa nchi yetu unaporomoka kisa kuwasujudia mabeberu.
Huyu chifu mafii wetu hizi habari hazioni ....kwanini tusinunue mafuta urusi ..
Ila huyo "chui jike"keshaamua kuwalamba miguu mabeberu hivyo hawezi kununua mafuta Urusi hata kama bei ya mafuta lita itafika elfu kumi.
 
The late JPM asingepepesa macho hata kidogo kuona uchumi wa nchi yetu unaporomoka kisa kuwasujudia mabeberu.Ila huyo "chui jike"keshaamua kuwalamba miguu mabeberu hivyo hawezi kununua mafuta Urusi hata kama bei ya mafuta lita itafika elfu kumi.
Chifu uchwara ni hasara ya taifa unaacha kutumia fulsa kisa mabeberu wanakushika makario [emoji10][emoji10] kweli tz tumepata hasara kubwa.
 
... very interesting! Hadi mahindi Ukraine ambayo kieneo ni ndogo inaipiku Tanzania? Sijui tunakosea wapi!
Weee ukraine ni kubwa kuliko TZ bhana
 
Mabeberu wanatutesa sana
 
Marekani ni waajabu!! Wao wanapotumia vikwazo vya kibiashara kama silaha ni sawa!! Lakini mwingine akiweka vikwazo anavyoviweza inakuwa noma!! Asubiri tu sindani iingie vizuri!!
 
Huyu chifu mafii wetu hizi habari hazioni ....kwanini tusinunue mafuta urusi ..
Utayapitisha wapi mkuu?

Utalipa kwa cash ama? Mana huko swift jamaa kabigwa block

Halafu usisahau kuwa india, china na yule mapanki ni mataifa makubwa na yana uwezo kijeshi na kiuchumi. So yana ubavu wa kutunishiana misuli na marekani.

Sasa akina sisi huku loh
 
Hawa wazungu washenzi wanaona kuwa wao ndiyo wana haki ya kuburuza watu wanavyotaka
Putin aendelee kukaza mpaka kieleweke
Wale warusi waliofilisiwa mali zao na kuwekewa vikwazo wana hatia gani kama kweli wanajali zaidi raia wasio na hatia

Wangejali zaidi maisha wasingeendelea kupeleka matani ya silaha ukraine


Sent from my TECNO KC8 using JamiiForums mobile app
 
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji28]

Daah nacheka kama mazuri
So walitegemea kuwa Russia hawato yazuia hiyo biashara!!? .. wonders shall never ends [emoji119][emoji16]
 
... inaonesha Ukraine ni nchi muhimu sana kwa maisha ya binadamu duniani; hadi Tanzania tumeathirika na upungufu mkubwa ngano kutoka Ukraine. Dikteta siku zake zinahesabika; hawezi kuichezea dunia kwa kiwango hiki!
Kwisha habari yenu mmeshikwa pabaya manina zenu [emoji28][emoji28][emoji28]
 
Nadhani kama sikosei Ukraine ndiyo inayoongoza duniani kwa uzalishaji wa ngano ikifuatiwa na Russia! Yaani hapo Russia kashika kwenye mpini.
Vibaya sana [emoji16][emoji16]
 
Kmmk [emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji16]
 
Safi sana [emoji28][emoji28][emoji119]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…