Marekani yaitaka Afrika kuonesha upande wanaosimama katika vita ya Urusi na Ukriane

Marekani yaitaka Afrika kuonesha upande wanaosimama katika vita ya Urusi na Ukriane

Waambieni bado tuko busy na kumbukizi ya kifo cha shujaa wa Afrika.
Yule aliyesema atahakikisha matajjri wanaishi kama mashetani au mwingine mkuu? Nasikia alikufa kwa corona
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Upande wa Afrika..., Wote hao wapuuzi; Ulaya, Russia na America kwanza waanze kutulipa kwa kuhatarisha maisha ya Human Kind kwa kuwa na Weapons of Mass Destruction

The are all Bullies....
 
Wamarekani wamechanganyikiwa, wakati wanavamia libya, irak na kwingineko hawakuuliza afrika wako upande gani. Ugomvi wa urusi na ukraine hauwahusu waafrika
Ameongea vyema lazima tufike mahali tuguswe na kile nachoendelea Ukraine 🇺🇦 huwezi kuvamia na kuua watu ambao walilala asubuhi wanaamkia mabomu kila kona., haikubaliki lazima nchi za africa waonyeshe kuguswa au kutokuguswa., lakini si kwa russia tu kwa kuzivania nchi za ukrain lakini marekani na mataifa mengine wakivamia nchi za kiislamu kuuwa watu wasio na hatia pia tunatakiwa kulaani
 
vita ya irak, libya na syria waliokuwa wanakufa ni wanyama.
Afrika kuna matatizo kibao, vita ethiopia, congo, mali na somalia ila huku wanaokufa ni nyani.
Nani ni muuzaji mkubwa wa silaha.
 
Nafikiri tuwape jibu kama like The late Mwalimu aliwa jibu iliyokuwa ujeruman magharibi
 
Wakati wanaipiga libya afrika tulionesha upande wetu wakatupuuza now yamewashinda wanataka kujua tuko upande gani!
 
Back
Top Bottom