Marekani yaitaka Afrika kuonesha upande wanaosimama katika vita ya Urusi na Ukriane

Marekani yaitaka Afrika kuonesha upande wanaosimama katika vita ya Urusi na Ukriane

We Africans, we are on Non allingment movement,, wasitufosi ku support upande wowote mbona hawakutuuliza ku support upande wowote kipindi Us anavamia iraq, Afghanistan na libya?
 
wale watu wanaokufa Congo ni mawe sio? walimuua sadam, gadaffi...nk, mbona hatukuulizwa tunasimama upande gani walikuja kuwaua ndani ya nchi zao, kule congo wapo busy na madini lakini wale raia wanao kufa hata hawazungumzii wapambane kivyao.
 
Kuna msemo unasema ndugu wakigombana shika jembe ukalime...Mimi nasema wacha Afrika iendelee na mipango yao.
 
 
Mwambie waliobaki nyutro wako upande wa Mrusi sema tunaogopa kusema ukweli sisi watu weusi huwa tuna unafki mwingi sana
 
akriban watu milioni tatu wamekimbia makazi yao kutokana na vita hivyo, kulingana na Umoja wa Mataifa Takriban watu milioni tatu wamekimbia makazi yao kutokana na vita hivyo, kulingana na Umoja wa Mataifa. Takriban watu milioni tatu wamekimbia makazi yao kutokana na vita hivyo, kulingana na Umoja wa Mataifa
Kabla sijacomment mleta mada fafanua hilo shairi hapo
 
Mie siwaelewi USA!! inataka nini??.......... Kwenye Decoder wamezima matangazo ya Russia kabisaaaa!! ila wanatangaza wao tukuhusu !! maendeleo ya vita!!! labda ukitaka uangalie hizo channel zingine km za India na China ndo utaona!! uwazi wa vita ile lkn kingine

mbona Ukraine hawajibu mapigo wao ni kupigwa tuuuu!! wkt kuna magari ya kivita 30 yameharibiwa vibaya sasa Russia anampiga mtu ambaye hajibu chochote kweli??...tena anamchapa vibaya sana!! au wanaonyesha upande mmoja na humo nimesikia kuna Mamaluki mbona hawaonyeshwi??

ile midege ya NATO iliyoonyeshwa kwa mbwembwe yakienda Ukraine mbona hatuyaoni tena????...wanajeshi wa USA walio kwenda huko na hayo madege wako wapi?/
 
wanatushnikiza yakiwachachia, mwanzoni kabla ya tatizo ukiwashauri wanapuuza.

Mzee Mkapa kabla ya kufariki miaka mitatu au minne iliyopita, aliwahi kutoa ushauri wa kumaliza au kupunguza migogoro iliyokuwepo wakati huo Duniani. Alitoa mapendekezo kadhaa moja nalokumbuka ni kubadili mfumo wa baraza la usalama la UN, kwani kwasasa nchi nyingi zimeadvance technolojia na zina nguvu za kinyuklia kama India na Pakistan.
 
Back
Top Bottom