NAMBA MOJA AJAYE NCHINI
JF-Expert Member
- Oct 29, 2019
- 9,863
- 20,806
Yule aliyesema atahakikisha matajjri wanaishi kama mashetani au mwingine mkuu? Nasikia alikufa kwa coronaWaambieni bado tuko busy na kumbukizi ya kifo cha shujaa wa Afrika.
Amini kwamba.Waambieni bado tuko busy na kumbukizi ya kifo cha shujaa wa Afrika.
Ameongea vyema lazima tufike mahali tuguswe na kile nachoendelea Ukraine 🇺🇦 huwezi kuvamia na kuua watu ambao walilala asubuhi wanaamkia mabomu kila kona., haikubaliki lazima nchi za africa waonyeshe kuguswa au kutokuguswa., lakini si kwa russia tu kwa kuzivania nchi za ukrain lakini marekani na mataifa mengine wakivamia nchi za kiislamu kuuwa watu wasio na hatia pia tunatakiwa kulaaniWamarekani wamechanganyikiwa, wakati wanavamia libya, irak na kwingineko hawakuuliza afrika wako upande gani. Ugomvi wa urusi na ukraine hauwahusu waafrika
vita ya irak, libya na syria waliokuwa wanakufa ni wanyama.Ameongea vyema lazima tufike mahali tuguswe na kile nachoendelea Ukraine 🇺🇦 huwezi kuvamia na kuua watu ambao walilala asubuhi wanaamkia mabomu kila kona., haikubaliki lazima nchi za africa waonyeshe kuguswa au kutokuguswa., lakini si kwa russia tu kwa kuzivania nchi za ukrain lakini marekani na mataifa mengine wakivamia nchi za kiislamu kuuwa watu wasio na hatia pia tunatakiwa kulaani
kwa hio wanataka tufe nao ?[emoji3][emoji3][emoji3]
msaidieni basha wenu ukraine amebanwa na Putini
Tulikuwa upande gani mkuuWakati wanaipiga libya afrika tulionesha upande wetu wakatupuuza now yamewashinda wanataka kujua tuko upande gani!