Marekani Yaitetemesha Dunia Nzima. Yataka Mahakama Ya ICC Ifutwe Haraka Sana . Watu Walipuka Kwa Shangwe na Nderemo kuiunga Mkono Marekani.

Marekani Yaitetemesha Dunia Nzima. Yataka Mahakama Ya ICC Ifutwe Haraka Sana . Watu Walipuka Kwa Shangwe na Nderemo kuiunga Mkono Marekani.

Lucas Mwashambwa

JF-Expert Member
Joined
Jul 28, 2022
Posts
40,476
Reaction score
26,173
Ndugu zangu Watanzania,

Dunia Yatikisika ,Dunia Yatetemeka ,Dunia yaripuka kwa shangwe ,nderemo na vifijo baada ya kishindo kikuu kilichosikika Duniani kote baada ya Marekani kuikosoa vikali sana na kutaka Mahakama ya ICC kufutwa haraka sana .

Marekani imepaza Sauti yake iliyoitetemesha Dunia na kuishutumu Vikali sana mahakama hiyo ambayo imekuwa ikikosolewa vibaya sana kwa kutenda kazi kwa viwango vya chini sana kuwahi kuonekana katika mahakama za Hapa Duniani.

Imekuwa mahakama ya hovyo inayoendesha kesi kwa hisia tu bila kutenda haki na imekuwa kama mahakama iliyoundwa kwa ajili ya kuwakomoa baadhi ya watu ama kutumika kuwaumiza na kuwachafua baadhi ya watu na viongozi.

Utashangaa Ma CHADEMA yananuna na kupinga maana CHADEMA wanazijua wenyewe akili zao
Screenshot_20260721-212152_1.jpg
 
Ndugu zangu Watanzania,

Dunia Yatikisika ,Dunia Yatetemeka ,Dunia yaripuka kwa shangwe ,nderemo na vifijo baada ya kishindo kikuu kilichosikika Duniani kote baada ya Marekani kuikosoa vikali sana na kutaka Mahakama ya ICC kufutwa haraka sana .

Marekani imepaza Sauti yake iliyoitetemesha Dunia na kuishutumu Vikali sana mahakama hiyo ambayo imekuwa ikikosolewa vibaya sana kwa kutenda kazi kwa viwango vya chini sana kuwahi kuonekana katika mahakama za Hapa Duniani.

Imekuwa mahakama ya hovyo inayoendesha kesi kwa hisia tu bila kutenda haki na imekuwa kama mahakama iliyoundwa kwa ajili ya kuwakomoa baadhi ya watu ama kutumika kuwaumiza na kuwachafua baadhi ya watu na viongozi Hususani.

Utashangaa Ma CHADEMA yananuna na kupinga maana CHADEMA wanazijua wenyewe akili zaoView attachment 3634415
Screenshot_20251217-065939~2.png
 
Masisiem naona mtafanya hadi tafrija kwenye corridors zenu.

Hukumu ya October 29 ipo palepale. Hii haitawaacha kamwe.
 
Ndugu zangu Watanzania,

Dunia Yatikisika ,Dunia Yatetemeka ,Dunia yaripuka kwa shangwe ,nderemo na vifijo baada ya kishindo kikuu kilichosikika Duniani kote baada ya Marekani kuikosoa vikali sana na kutaka Mahakama ya ICC kufutwa haraka sana .

Marekani imepaza Sauti yake iliyoitetemesha Dunia na kuishutumu Vikali sana mahakama hiyo ambayo imekuwa ikikosolewa vibaya sana kwa kutenda kazi kwa viwango vya chini sana kuwahi kuonekana katika mahakama za Hapa Duniani.

Imekuwa mahakama ya hovyo inayoendesha kesi kwa hisia tu bila kutenda haki na imekuwa kama mahakama iliyoundwa kwa ajili ya kuwakomoa baadhi ya watu ama kutumika kuwaumiza na kuwachafua baadhi ya watu na viongozi Hususani.

Utashangaa Ma CHADEMA yananuna na kupinga maana CHADEMA wanazijua wenyewe akili zaoView attachment 3634415
viongozi wenu wapo ktk orodha ya wanaotarajiwa kuburuzwa huko
 
Lazima Bi Kizimkazi aende huko kujibu mashitaka yake...

Mahakama ya ICC haifutwi wala haifungwi. Kila nchi hujiunga na kuwa mwanachama kwa hiari kwa kuzingatia Ts & Cs...

Kuujitoa vivyo hivyo ni hiari...

Lakini kumbuka pia kuwa USA a.k.a Marekani si mwanachama wa mahakama ya ICC👇

".......The United States of America is not a member of the International Criminal Court (ICC).

The U.S. never ratified the treaty that created it and explicitly rejects the court's jurisdiction over American citizens.

Why the U.S. is not a memberThe ICC?

Because it is a permanent court that prosecutes individuals for severe crimes like war crimes, genocide, and crimes against humanity.
It is governed by a treaty called the Rome Statute.

USA never Joined:


Although the U.S.A initially signed the treaty in 2000 under President Bill Clinton, it was never submitted to the Senate for approval. In 2002, the U.S. formally withdrew its signature.

Sovereignty & Protection:

The U.S. chose not to join in order to protect its military personnel and government officials from what it views as politically motivated prosecutions.

What this means?

Though U.S.A is not a member, it's therefore the ICC generally does not have the power to prosecute Americans for crimes committed on U.S.A soil. However, the ICC can prosecute nationals of non-member countries if they commit crimes on the territory of a nation that is a member of the court...."


Sisi Tanganyika tunaweza kujitoa ICC?

Thubutu!!...Na sbb ni moja tu, bado wachanga, mnalelewa. Na watoto ambao bado hulelewa, huwa ni watukutu sana na wanaweza kuchomana visu na kuuana wenyewe kwa wenyewe. Wanahitaji kudhibitiwa, wanahitaji kuwa controlled...

Samia Suluhu Hassan yu salama? Ataepuka adhabu ya makosa yake ya mauaji?

NO WAY ATAEPUKA KIKOMBE HIKI. LAZIMA AKINYWEE TU. LAZIMA ALIWE KICHWA.... Tafuta namna nyingine ya kujitekenya na kucheka mwenyewe, hii umechemka big time...

Salama ya huyu mwanamke muuaji, mama yenu nyie kina Lucas Mwashambwa na genge lake ni kujitoa kutoka katika mahakama hiyo, something very impossible right now...!!

Otherwise, she has nowhere to hide....
 
Back
Top Bottom