Kiboko ya Mazwazwa
JF-Expert Member
- Feb 22, 2026
- 1,802
- 3,271
Wewe ni juha na mamayenu lazima awe prosecuted mtake msitakeWewe endelea kujitekenya na kujichekesha Mwenyewe kama zuzu

Ndugu zangu Watanzania,
Dunia Yatikisika ,Dunia Yatetemeka ,Dunia yaripuka kwa shangwe ,nderemo na vifijo baada ya kishindo kikuu kilichosikika Duniani kote baada ya Marekani kuikosoa vikali sana na kutaka Mahakama ya ICC kufutwa haraka sana .
Marekani imepaza Sauti yake iliyoitetemesha Dunia na kuishutumu Vikali sana mahakama hiyo ambayo imekuwa ikikosolewa vibaya sana kwa kutenda kazi kwa viwango vya chini sana kuwahi kuonekana katika mahakama za Hapa Duniani.
Imekuwa mahakama ya hovyo inayoendesha kesi kwa hisia tu bila kutenda haki na imekuwa kama mahakama iliyoundwa kwa ajili ya kuwakomoa baadhi ya watu ama kutumika kuwaumiza na kuwachafua baadhi ya watu na viongozi.
Utashangaa Ma CHADEMA yananuna na kupinga maana CHADEMA wanazijua wenyewe akili zaoView attachment 3634415

ma sisiemu yanaombea ifutwe haraka sana maana wanajua kuwa wakati wowote wanaweza kuburuzwa huko maana pressure za jumuia za kimataifa zimekuwa nyingi sanaHiyo mahakama haifutwi na haitakuja kufutwa. Waliokaa chini kuianzisha ni akili kubwa, Na waliona mbali mno.
Hapo ndiyo ujue kuwaKwahiyo hapa umewatambua kama "wamarekani" na sio "mabeberu"
Ila walipowapa taarifa baada ya muswada wa senate kupita majambazi ya CCM, policcm, usalama wa CCM, na jeshi la wanaccm litawekewa vikwazo mlikuja humu kupanua midomo kwamba wanawaingilia na mkawaita mabeberu.View attachment 3634451
mstue bi Msumi kabisa ajiandaeUtashangaa CHADEMA wananuna maana akili zao wanazijua wao wenyewe
Kwa hiyo mnawaunga mkono mabeberu wa Marekani?..Ndugu zangu Watanzania,
Dunia Yatikisika ,Dunia Yatetemeka ,Dunia yaripuka kwa shangwe ,nderemo na vifijo baada ya kishindo kikuu kilichosikika Duniani kote baada ya Marekani kuikosoa vikali sana na kutaka Mahakama ya ICC kufutwa haraka sana .
Marekani imepaza Sauti yake iliyoitetemesha Dunia na kuishutumu Vikali sana mahakama hiyo ambayo imekuwa ikikosolewa vibaya sana kwa kutenda kazi kwa viwango vya chini sana kuwahi kuonekana katika mahakama za Hapa Duniani.
Imekuwa mahakama ya hovyo inayoendesha kesi kwa hisia tu bila kutenda haki na imekuwa kama mahakama iliyoundwa kwa ajili ya kuwakomoa baadhi ya watu ama kutumika kuwaumiza na kuwachafua baadhi ya watu na viongozi.
Utashangaa Ma CHADEMA yananuna na kupinga maana CHADEMA wanazijua wenyewe akili zaoView attachment 3634415
Ndugu zangu Watanzania,
Dunia Yatikisika ,Dunia Yatetemeka ,Dunia yaripuka kwa shangwe ,nderemo na vifijo baada ya kishindo kikuu kilichosikika Duniani kote baada ya Marekani kuikosoa vikali sana na kutaka Mahakama ya ICC kufutwa haraka sana .
Marekani imepaza Sauti yake iliyoitetemesha Dunia na kuishutumu Vikali sana mahakama hiyo ambayo imekuwa ikikosolewa vibaya sana kwa kutenda kazi kwa viwango vya chini sana kuwahi kuonekana katika mahakama za Hapa Duniani.
Imekuwa mahakama ya hovyo inayoendesha kesi kwa hisia tu bila kutenda haki na imekuwa kama mahakama iliyoundwa kwa ajili ya kuwakomoa baadhi ya watu ama kutumika kuwaumiza na kuwachafua baadhi ya watu na viongozi.
Utashangaa Ma CHADEMA yananuna na kupinga maana CHADEMA wanazijua wenyewe akili zaoView attachment 3634415
Huu ni upumbavu tu kama upumbavu mwingine, na bullying tendencies za USA. Ni sawa na South Africa kutaka EAC ivunjwe!Ndugu zangu Watanzania,
Dunia Yatikisika ,Dunia Yatetemeka ,Dunia yaripuka kwa shangwe ,nderemo na vifijo baada ya kishindo kikuu kilichosikika Duniani kote baada ya Marekani kuikosoa vikali sana na kutaka Mahakama ya ICC kufutwa haraka sana .
Marekani imepaza Sauti yake iliyoitetemesha Dunia na kuishutumu Vikali sana mahakama hiyo ambayo imekuwa ikikosolewa vibaya sana kwa kutenda kazi kwa viwango vya chini sana kuwahi kuonekana katika mahakama za Hapa Duniani.
Imekuwa mahakama ya hovyo inayoendesha kesi kwa hisia tu bila kutenda haki na imekuwa kama mahakama iliyoundwa kwa ajili ya kuwakomoa baadhi ya watu ama kutumika kuwaumiza na kuwachafua baadhi ya watu na viongozi.
Utashangaa Ma CHADEMA yananuna na kupinga maana CHADEMA wanazijua wenyewe akili zaoView attachment 3634415
Anzisha jukwaa lako na MkeoHivi haiwezekani kublock mashetani machawa haya huku Jf
Hebu tuanze kuyapuuza
Haya ndio mafuasi ya zumaridi hamna akili kabisa
Mama yenu hachomoki, lazima aliwe kichwaNdugu zangu Watanzania,
Dunia Yatikisika ,Dunia Yatetemeka ,Dunia yaripuka kwa shangwe ,nderemo na vifijo baada ya kishindo kikuu kilichosikika Duniani kote baada ya Marekani kuikosoa vikali sana na kutaka Mahakama ya ICC kufutwa haraka sana .
Marekani imepaza Sauti yake iliyoitetemesha Dunia na kuishutumu Vikali sana mahakama hiyo ambayo imekuwa ikikosolewa vibaya sana kwa kutenda kazi kwa viwango vya chini sana kuwahi kuonekana katika mahakama za Hapa Duniani.
Imekuwa mahakama ya hovyo inayoendesha kesi kwa hisia tu bila kutenda haki na imekuwa kama mahakama iliyoundwa kwa ajili ya kuwakomoa baadhi ya watu ama kutumika kuwaumiza na kuwachafua baadhi ya watu na viongozi.
Utashangaa Ma CHADEMA yananuna na kupinga maana CHADEMA wanazijua wenyewe akili zaoView attachment 3634415
Lucas Mwashambwa njoo upate shule hapaHuu ni upumbavu tu kama upumbavu mwingine, na bullying tendencies za USA. Ni sawa na South Africa kutaka EAC ivunjwe!
The Legal Reality: Why the U.S. Cannot Dissolve the ICC
✍️A Treaty-Based Institution: The ICC was established by the Rome Statute, a binding international treaty signed and ratified by 124 sovereign countries.
✍️No Non-Member Authority: Under international law, a country that is not a party to a treaty has absolutely no voting rights, administrative power, or legal standing within that treaty body. The U.S. can issue statements, but it cannot introduce a motion to dissolve the court.
✍️High Threshold for Amendment: Even if member states wanted to alter or dissolve the court, it would require a complex, multi-year process. Major changes to the Rome Statute require a two-thirds majority vote from the official Assembly of States Parties, followed by high ratification thresholds.
Utaliwa kichwa weweMama yenu hachomoki, lazima aliwe kichwa
Nukasi mshambaWewe ndiye utaburuzwa huko na ujinga wako
Unajidhalilisha tu hapa.Ndugu zangu Watanzania,