Lucas Mwashambwa
JF-Expert Member
- Jul 28, 2022
- 40,476
- 26,173
Ndugu zangu Watanzania,
Dunia Yatikisika ,Dunia Yatetemeka ,Dunia yaripuka kwa shangwe ,nderemo na vifijo baada ya kishindo kikuu kilichosikika Duniani kote baada ya Marekani kuikosoa vikali sana na kutaka Mahakama ya ICC kufutwa haraka sana .
Marekani imepaza Sauti yake iliyoitetemesha Dunia na kuishutumu Vikali sana mahakama hiyo ambayo imekuwa ikikosolewa vibaya sana kwa kutenda kazi kwa viwango vya chini sana kuwahi kuonekana katika mahakama za Hapa Duniani.
Imekuwa mahakama ya hovyo inayoendesha kesi kwa hisia tu bila kutenda haki na imekuwa kama mahakama iliyoundwa kwa ajili ya kuwakomoa baadhi ya watu ama kutumika kuwaumiza na kuwachafua baadhi ya watu na viongozi Hususani.
Utashangaa Ma CHADEMA yananuna na kupinga maana CHADEMA wanazijua wenyewe akili zaoView attachment 3634415
Nimeagiza Marekani wana hoja wasikilizwe!
Waja hoja nzito sana ambayo inapaswa kuungwa mkono na kila mwenye akili Timamu na mwenye kujitambuaNimeagiza Marekani wana hoja wasikilizwe!
Mimi siyo Chawa bali ni mzalendoKwa hiyo uchawa wako utaendelea kama kawaida
Wewe endelea kujitekenya na kujichekesha Mwenyewe kama zuzuMasisiem naona mtafanya hadi tafrija kwenye corridors zenu.
Hukumu ya October 29 ipo palepale. Hii haitawaacha kamwe.
viongozi wenu wapo ktk orodha ya wanaotarajiwa kuburuzwa hukoNdugu zangu Watanzania,
Dunia Yatikisika ,Dunia Yatetemeka ,Dunia yaripuka kwa shangwe ,nderemo na vifijo baada ya kishindo kikuu kilichosikika Duniani kote baada ya Marekani kuikosoa vikali sana na kutaka Mahakama ya ICC kufutwa haraka sana .
Marekani imepaza Sauti yake iliyoitetemesha Dunia na kuishutumu Vikali sana mahakama hiyo ambayo imekuwa ikikosolewa vibaya sana kwa kutenda kazi kwa viwango vya chini sana kuwahi kuonekana katika mahakama za Hapa Duniani.
Imekuwa mahakama ya hovyo inayoendesha kesi kwa hisia tu bila kutenda haki na imekuwa kama mahakama iliyoundwa kwa ajili ya kuwakomoa baadhi ya watu ama kutumika kuwaumiza na kuwachafua baadhi ya watu na viongozi Hususani.
Utashangaa Ma CHADEMA yananuna na kupinga maana CHADEMA wanazijua wenyewe akili zaoView attachment 3634415
Wewe ndiye utaburuzwa huko na ujinga wakoviongozi wenu wapo ktk orodha ya wanaotarajiwa kuburuzwa huko
Bi Msumi ajiandae kabisa maana kule hakunaga kuhonga na kama hajui amuulize RutoWewe endelea kujitekenya na kujichekesha Mwenyewe kama zuzu
Ukweli unaujua sema tu unajitoa ufahamuWewe ndiye utaburuzwa huko na ujinga wako
Mwambieni ajiandae kabisaWewe ndiye utaburuzwa huko na ujinga wako
Usijizime dataWewe endelea kujitekenya na kujichekesha Mwenyewe kama zuzu