Marekani Yaitetemesha Dunia Nzima. Yataka Mahakama Ya ICC Ifutwe Haraka Sana . Watu Walipuka Kwa Shangwe na Nderemo kuiunga Mkono Marekani.

Weka link ya hii habari
 
Hiyo mahakama haifutwi na haitakuja kufutwa. Waliokaa chini kuianzisha ni akili kubwa, Na waliona mbali mno.
 
Mimi siyo Chawa bali ni mzalendo
Uzalendo uutoe wapi wewe ni mlamba matako tu , watu wamepigwa risasi na kuuwawa kikatili halafu unashangalia upambavu na ujinga.

Haki na huduma kwenye taasisi za umma hakuna. Upigaji na ufisadi nje nje unaendelea serikalini (angalia kampuni ya Vitol hapa Tanzania mafuta yanauzwa bei juu tofauti na Uganda na Msumbiji wakati mafuta yanapitia Bandari ya Dar?

Wewe kuna akili kichwani zimeungua na kufa kabisa. Tunataka uwajibikaji na usawa haya mengine ni ngonjera tu
 
Naunga mkono hoja na ninapendekeza ibadiishwe matumizi na itumike kama law school tu, kwasababu imekosa uhalali wa kushughulikia changamoto za haki na badala yake imekua kama danguru tu
 
Tena wameagiza haraka sana hata UN wanatakiwa kuhamisha makao makuu yao
 
Mamayenu mpaka awe prosecuted ndio ifutwe hilo jiandaen kisaikolojia mtake msitake.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…