Marekani Yaitetemesha Dunia Nzima. Yataka Mahakama Ya ICC Ifutwe Haraka Sana . Watu Walipuka Kwa Shangwe na Nderemo kuiunga Mkono Marekani.

Your browser is not able to play this audio.
 
Kwahiyo hapa umewatambua kama "wamarekani" na sio "mabeberu"

Ila walipowapa taarifa baada ya muswada wa senate kupita majambazi ya CCM, policcm, usalama wa CCM, na jeshi la wanaccm litawekewa vikwazo mlikuja humu kupanua midomo kwamba wanawaingilia na mkawaita mabeberu.
 
Hiyo mahakama haifutwi na haitakuja kufutwa. Waliokaa chini kuianzisha ni akili kubwa, Na waliona mbali mno.
ma sisiemu yanaombea ifutwe haraka sana maana wanajua kuwa wakati wowote wanaweza kuburuzwa huko maana pressure za jumuia za kimataifa zimekuwa nyingi sana
 
Hapo ndiyo ujue kuwa
Utashangaa CHADEMA wananuna maana akili zao wanazijua wao wenyewe
mstue bi Msumi kabisa ajiandae
 
Kwa hiyo mnawaunga mkono mabeberu wa Marekani?..
 
Hivi haiwezekani kublock mashetani machawa haya huku Jf
Hebu tuanze kuyapuuza
Haya ndio mafuasi ya zumaridi hamna akili kabisa
 


Furaha kwa marais wauwaji wote duniani
 
Huu ni upumbavu tu kama upumbavu mwingine, na bullying tendencies za USA. Ni sawa na South Africa kutaka EAC ivunjwe!

The Legal Reality: Why the U.S. Cannot Dissolve the ICC

✍️A Treaty-Based Institution: The ICC was established by the Rome Statute, a binding international treaty signed and ratified by 124 sovereign countries.

✍️No Non-Member Authority: Under international law, a country that is not a party to a treaty has absolutely no voting rights, administrative power, or legal standing within that treaty body. The U.S. can issue statements, but it cannot introduce a motion to dissolve the court.

✍️High Threshold for Amendment: Even if member states wanted to alter or dissolve the court, it would require a complex, multi-year process. Major changes to the Rome Statute require a two-thirds majority vote from the official Assembly of States Parties, followed by high ratification thresholds.
 
Mama yenu hachomoki, lazima aliwe kichwa
 
Lucas Mwashambwa njoo upate shule hapa
 
Unajidhalilisha tu hapa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…