Marekani yajitosa kesi ya Freeman Mbowe

Hawana akili hao sijui huwa wanafikilia kwa kutumia nini
 
Tunashida sana yaani hadi watu watoke Marekani watuambie tufanye majadiliano, yaani Rais hakuona umuhimu wa kufanya majadiliano ? Siasa zetu za hovyo sana, hadi kujadiliana tuambiwe na Marekani.
 
Kama alitukana,kesi ya ugaidi imekujaje?
au sheria zimebadirika utawala huu,ukitukana ni ugaidi?
Ccm mmechanganyikiwa sana.

Sent from my TECNO CA7 using JamiiForums mobile app
 


Kuna rafiki yangu mkulima anaitwa maridhiano yeye kazi nikurembua na kuuza sura kwa majirani nyani wanaanza kumchezea mpka washaanza kumchezea machoni.
 
Tumia akili kidogo ulobaki nayo, maana nyingi ulimkabidhi mwenda zake.
Waziri mdogo wa ulinzi wa marekani ni mtu mkubwa sana,hawezi fuatilia ugaidi kwa styre hii.
Marekani imeona uonevu,ukandamizaji na uvunjifu wa Democraticy.

Ametumwa kuja kuishauri serikali ifuate utawala wa sheria na demokrasia.
Sasa mgomee mwone.

Sent from my TECNO CA7 using JamiiForums mobile app
 
Amani ipi iliyovunjwa?

Sent from my TECNO CA7 using JamiiForums mobile app
 
Wanaichafua serikali ya CCM na sio NCHI. Anyway mmesikia ushauri wa beberu huyo kwamba alianza vizuri na wapinzani walimsupport so arudi kwenye misingi yake asitake kujifanya dikteta maana hiyo vita hatoiweza.

JPM pamoja na kufungia vyama na kujenga mabarabara na kununua mapangaboi bado hali ilikuwa hivi hapo chini.... Je itakuwaje kwa hyu mama ambaye utendaji umemshinda na udikteta nao anajifunza??

 
Tunashida sana yaani hadi watu watoke Marekani watuambie tufanye majadiliano, yaani Rais hakuona umuhimu wa kufanya majadiliano ? Siasa zetu za hovyo sana, hadi kujadiliana tuambiwe na Marekani.
Ccm isipoondolewa mamlakani tutaendelea kukwama sana kama Nchi
 
Wewe Shoga jibwa, Mbowe alimtukana nani ku**ma mbwa koko nyie?
Sasa huo Iron Lady wake umeshakufa ku**ma CCM wewe
 
Ma CCM mashenz sana majibwa haya...
 
US wanamtengenezea mazingira ya kumchukulia hatua kali Hassan
 
Kwa ujumla Hali ya kisiasa Tanzania,Haina tofauti na Afghanistan. UN waingie TU kunusuru wanasiasa. CDM wamekuwa kama dikidiki kwenye nchi Yao.
Ni kweli kabisa, na hata hao waAmerika waje kuongeza nguvu kama walivyofanya Afghanistan enzi za kumsaka gaidi Osama Bin Laden.
 
Marekani wasituingilie mambo ya ndani ya nchi kule kwao kuna watu mpaka wanakimbilia nchi nyingine mbona hatuingilii mambo yao
 
usicheze na siasa za dunia chanjo ya korona umepewa kama zawadi ndio uwe kaidi. tunataka katiba ndio mwisho wa yote.
 
Mbowe amekosea timing......

Mbowe au serikali kupitia poliCCM? Mbowe has always been consistent katika kufanya shughuli zake za kisiasa..
huu sio muda wa Siasa za matusi na zilizokosa adabu. Cdm wasingatie sheria hakuna aliye juu ya sheria.

Mmmh, haya ni yako. Sina hakika kama unaweza kuonesha hayo matusi...

By the way, usichanganye lugha ya siasa na matusi mnayotukanana huko mtaani kwenu..!
Never underestimate woman...she is iron lady in polite face...

She is absolutely nothing. She is not an "Iron lady" rather she's a dust of soil which can be dissolved into water and turn it to mud anytime..!
Siku Mia moja tu alibadili mfumo mzima wa mtawala mwenzake! She is who she is....

Are you serious? What has changed since the departure of the deceased..? Everything is almost the same if not worse. Remember she's just 4 months in the office and she already looks tired and weared and she has nothing in hand to show..!!
watahitaji huruma sana ya mataifa ya nje. Watakuja,watasema,wataongea mwisho wataondoka.
Unaonesha kila dalili ya kujifariji ktk nafsi yako kwa HAKUNA. Without the international community, Tanzania can't stand alone..

So, what should we do as Tanzanians?

Simple. Let's comply with our Constitution, laws and orders. We have also to abide with international community regulations in which Tanzania is a signatory...

NB: HAKI HUINUA TAIFA. Pasipo na HAKI hakuna AMANI. HAKI ndiyo msingi wa HAKI. Ukiziweka haki za raia pembeni, utapigiwa kelele za ndani na za nje mpaka utakoma...!

Unataka mama yako akome siyo??
 
Naye Waziri wa Mambo ya Nje wa Tanzania Balozi, Liberata Mulamula alisema Rais Samia alipanga kukutana na wapinzani lakini ratiba zikaingiliana.
Mulamula acha talalila. Sema siyo priority, muda upo mwingi tu. Mbona amepata muda wa kuongea na Siro wamtese bowe? Rubbish statement from a high-ranking gov officer! Erythrocyte
 
Mama anajiharibia mambo yake asifikiri ni ukewenza huu eti!
 
Marekani wasituingilie mambo ya ndani ya nchi kule kwao kuna watu mpaka wanakimbilia nchi nyingine mbona hatuingilii mambo yao
Wakimbizi wa marekani walikimbilia nchi gani?
 

Tatizo Ni pale kijana Mtanzania anapodhani na kufurahia kuwa Waziri wa marekani kapitaaaaaaa koteeeee. Kavukaaaa ugandaaaaa. Kavuka Cameroon kaja Tz kwa mahaba. Wajingaaaaa hawaitaishaaaaa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…