Marekani yajitosa kesi ya Freeman Mbowe

Siku zao zimekwisha
MEDIA NOTE
OFFICE OF THE SPOKESPERSON
U.S. DEPARTMENT OF STATE
AUGUST 1, 2021

Under Secretary for Political Affairs Victoria Nuland will travel to South Africa, Botswana, Tanzania, and Niger from July 31 to August 6.

In South Africa, the Under Secretary will meet with senior South African officials and co-chair the Working Group on African and Global Issues to advance shared priorities. She will welcome the United States’ donation of 5.66 million COVID-19 vaccine doses to South Africa, and meet with civil society and business leaders.

In Botswana, the Under Secretary will meet with President Mokgweetsi Masisi to advance our partnership on democracy, the climate crisis, economic prosperity, and security in southern Africa.

In Tanzania, the Under Secretary will meet with President Samia Suluhu Hassan and hold a roundtable with opposition leaders. Her discussions will focus on strengthening democracy, combatting COVID-19, and enhancing security and prosperity.

In Niger, the Under Secretary will meet with President Mohamed Bazoum to discuss ways to improve security in the Sahel, strengthen governance, and advance inclusive economic growth.

[Media note ends]
 
Naibu Waziri wa Mambo ya Nje wa Marekani, Victoria Nuland na timu yake wamemwomba Rais Samia Suluhu afanye mazungumzo na vyama vya upinzani nchini kikiwemo CHADEMA. Moja ya ajenda za timu hiyo ni kutaka kufahamu chanzo cha kukamatwa kwa Mwenyekiti wa Chadema, Freeman Mbowe.

 
Chanzo ni ugaidi ili nao waanze kujihami kwa mbinu zao.
Wazungu wanaasili moja ya kukusifia kiongozi wakiwa pamoja,wakitoka hukaa wazungu wenyewe wanaanza kukuteta kwa kukuchambua kama mtoto.Ukikutana nao kesho wanakualika wewe nafamilia yote kwa dinner.
 
Kwa ujumla Hali ya kisiasa Tanzania,Haina tofauti na Afghanistan. UN waingie TU kunusuru wanasiasa. CDM wamekuwa kama dikidiki kwenye nchi Yao.

Ww unaijua Afghanistan? Hivi ukiwa unaandika unajitoa akili unakuwa Div 0 kama Mbowe?
 
uliwaona wapi?
 
Over the years, Guantánamo has held nearly 800 people, but now just 40 men are imprisoned there, and almost three-quarters of them have never been criminally charged. They're known as "forever prisoners" and they're being detained indefinitely. Some have been there for almost two decades.10 Jul 2021

Mytake:
Huyo Waziri kafunika kombe tu ili mwanaharamu apite. Hakuna watu wanaogopa Ugaidi kama wao. Angalia hapo juu wana wafungwa 40 kwa miaka 20 hawajawahi hata kuwafikisha Mahakamani
 
Natamani Pro-ccm waendelee kufa kwa covid-19. I don't care hasa polisi
 
Makamu wetu wa rais atakapo kwenda marekani akawashauri na pia kuwapa maelekezo kina Joe biden ya namna bora ya kuwaongoza wamarekani!
Dr. JPM (may your precious soul rest in eternal peace and power, amen 🙏) how we miss you!
 
Marekani wasituingilie mambo ya ndani ya nchi kule kwao kuna watu mpaka wanakimbilia nchi nyingine mbona hatuingilii mambo yao
Mambo ya ndani yapi hayo kama mpaka mipira ya kiume mnapewa bure,mkipata Ukimwi mnaomba ARV,mkiishiwa Chakula mnaenda kutembeza bakuli?
 
Good observation, their days are numbered!Justice delayed is Justice denied. CCM need to learn hard way,slow learners.
 
Kwa uelewa wangu mdogo, Tanzania ni sehemu ya jumuia ya kimataifa, siyo kisiwa. Hata Rais wetu Samia amesisitiza hilo.

Unapodhamiria kurejesha uhusiano mzuri na mataifa ya Magharibi ikiwemo Marekani hutaweza kukwepa kuzungumzia masuala ya demokrasia ya vyama vingi, haki na utawala wa sheria, kukusanyika na uhuru wa kutoa mawazo vikiwemo vyombo vya habari vinginevyo hawatakuelewa. Ndiyo sababu Rais karuhusu Naibu Waziri wa Marekani kukutana na vyama vya upinzani na pengine hata ngos. Ubabe hausaidii sana. Turejee yanayoendelea huko Korea Kaskazini - kiuchumi na hali za maisha ya mwananchi wake kwa ujumla. Rais wetu anadhamira nzuri na hataki kuelekee huko.
 
Yamefanyika mambo makubwa Sana nchi hii ya kutisha hao wazungu mnaowategemea hawajafanya lolote, haya ya sasa ni madogo Sana.
 
Mmarekani ukimkaribisha sebuleni, atatamani kuona unapolala pia na kukukosoa utandikaji wa kitanda na aina ya mapazia yaliyowekwa madirishani.

Tuna Uhuru wa kitambaa cha bendera, hatuna uhuru wa kiuchumi, usalama na afya. Upinzani wa ndani na nje ya serikali ndio hutumika zaidi kufanikisha kuingilia nchi zenye uhuru wa bendera kama Tanzania.

Siku Joe Biden akitua Tanzania, atahodhi ikulu nzima kuanzia hewani, majini na ardhini mamlaka ya nchi itatii nguvu yake. Kuna safari ndefu sana kujikomboa kifikra na kivitendo kwa ajili ya watanzania wenyewe.
 
Wanashangaa nchi gani hii inatawaliwa na wahuni tu anafariki muhuni moja na kurithiwa na muhuni mwingine inatufanya watanzania tudharaulike sana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…