Marekani yamfukuza balozi wa Afrika Kusini

Marekani yamfukuza balozi wa Afrika Kusini

Trump hakupaswa chaguliwa, ni vile hatuoneshwi kilicho mbele yetu
 
Wanaukumbi.

🚨🇺🇸🇿🇦 MAREKANI YAMFUKUZA BALOZI WA AFRIKA KUSINI KATIKA MGOGORO WA KIDIPLOMASIA

Waziri wa Mambo ya Nje Rubio amemfukuza rasmi balozi wa Afrika Kusini nchini Marekani, Ebrahim Rasool, akimtaja kuwa "mwanasiasa mbabe" ambaye "anachukia Marekani na Rais Donald Trump."

Katibu Rubio:

"Balozi wa Afrika Kusini nchini Marekani hakaribishwi tena katika nchi yetu kuu.

Hatuna cha kujadili naye na kwa hivyo anachukuliwa kuwa PERSONA NON GRATA,"

Uamuzi huu unakuja huku uhusiano wa Marekani na Afrika Kusini ukizidi kuzorota, hasa baada ya Trump kukata misaada ya kifedha na kukosoa sera za ardhi za Afrika Kusini.

Serikali ya Afrika Kusini inasema itajibu kupitia njia za kidiplomasia, lakini mvutano kati ya nchi hizo mbili unazidi kuongezeka.

Chanzo: Reuters, @SecRubio
=========================
🚨🇺🇸🇿🇦 U.S. EXPELS SOUTH AFRICAN AMBASSADOR IN DIPLOMATIC CLASH

Secretary of State Rubio has officially expelled South Africa’s ambassador to the U.S., Ebrahim Rasool, calling him a "race-baiting politician" who "hates America and President Donald Trump."

Secretary Rubio:

"South Africa's Ambassador to the United States is no longer welcome in our great country.

We have nothing to discuss with him and so he is considered PERSONA NON GRATA,"

This decision comes as U.S.-South Africa relations worsen, especially after Trump cut financial aid and criticized South Africa’s land policies.

South Africa’s government says it will respond through diplomatic channels, but tensions between the two countries are clearly rising.

Source: Reuters, @SecRubio

View: https://x.com/marionawfal/status/1900802896494460982?s=46&t=mTROWpaJUT8H393JMgWOvw
 
Yote kwa sababu Afrika Kusini iliipeleka Israel ICJ.
😅
 
Soon na balozi wa marekani naye atafukuzwa South Africa,hao jamaa ndio ninapowapendea,hawapendi kuyumbishwa...
 
Balozi wa afrika kusini anafukuzwa kutoka nchini USA kwa sababu serikali yake ya kikomunisti inabagua na kutenga Christians waliojenga South Afrika kwa gharama kubwa ya jasho na damu na kuleta civilization, ni mwafrika gani asiyependa kuishi Cape Town?

pia raisi D.Trump ametoa uraia straight kwa Christians wote watakao nyang’anywa mali zao na communists wa ak, wazungu wanasepa hivyo USA wamepewa red carpet na citizenship juu, hawa watu wa know how iliyojenga AK kama tuijuavyo leo hii lkn communists dont get it …
 
Christians? Bado unaamini kila mwenye ngozi nyeupe ni mkristo. Hata akiwa mkristo, dini yake ina uhusiano gani na kinachoendelea? Tusilazimishe migogoro ya udini pasipohusika.
 
Sijaelewa mkuu

balozi wa afrika kusini anayewakilisha nchi yake ya ak nchini Marekani anafukuzwa nchini humo arudi kwao ak kutokana na serikali yake ya ak kunyanyasa Wakristu na kuwanyang’anya mali zao na mashamba, pia raisi wa Marekani Donald Trump amerahisisha upatikanaji wa uraia wa Marekani kwa Wakristo wote watakaonyanyaswa na kuporwa mali zao wa communists huko afrika kusini …
 
Christians? Bado unaamini kila mwenye ngozi nyeupe ni mkristo. Hata akiwa mkristo, dini yake ina uhusiano gani na kinachoendelea? Tusilazimishe migogoro ya udini pasipohusika.

wote waliozaliwa na kulelewa kwenye Christian Countries ni Christians by default hata kama watakwambia vinginenyo, ukizaliwa, kulelewa na kukulia somalia unakuwa ni muislamu bila hata ya kujua …
 
Balozi wa afrika kusini anafukuzwa kutoka nchini USA kwa sababu serikali yake ya kikomunisti inabagua na kutenga Christians waliojenga South Afrika kwa gharama kubwa ya jasho na damu na kuleta civilization, ni mwafrika gani asiyependa kuishi Cape Town?

pia raisi D.Trump ametoa uraia straight kwa Christians wote watakao nyang’anywa mali zao na communists wa ak, wazungu wanasepa hivyo USA wamepewa red carpet na citizenship juu, hawa watu wa know how iliyojenga AK kama tuijuavyo leo hii lkn communists dont get it …

zito kabwe kavaa kikomunisti …

View attachment 3271155
Hata hapa bongo mkijifanya kuwabagua wachina, waarabu na wahindi wakasepa wote mtakoma na mlivyo wajinga mtaliona joto
 
balozi wa afrika kusini anayewakilisha nchi yake ya ak nchini Marekani anafukuzwa nchini humo arudi kwao ak kutokana na serikali yake ya ak kunyanyasa Wakristu na kuwanyang’anya mali zao na mashamba, pia raisi wa Marekani Donald Trump amerahisisha upatikanaji wa uraia wa Marekani kwa Wakristo wote watakaonyanyaswa na kuporwa mali zao wa communists huko afrika kusini …
Hawa ni wazungu. Makaburu wa wakati ule. Yupo ndugu yao Elon Musk kule ndiyo anaongoza ile nchi; kwa hiyo hili halishangazi.

Screenshot_20250304-210554.jpg
 
Hawa ni wazungu. Makaburu wa wakati ule. Yupo ndugu yao Elon Musk kule ndiyo anaongoza ile nchi; kwa hiyo hili halishangazi.

View attachment 3271176

lkn ndiyo waliojenga ak, investor mkubwa tanzagiza na anayezalisha ajira kwa miaka mingi ilikuwa ak, sijui kwa sasa hivi, isitoshe “makuburu” imetokana na neno boers ambapo tafsiri yake ni mkulima, hivyo makaburu maana yake ni wakulima, kwa hiyo kwenye sentensi yako kwanza ondoa neno makaburu weka wakulima halafu urudie kusoma ulichoandika uone jinsi mlivyo/mnavyoendelea kudanganywa na wanaowatawala ili mbakie kuwa backward siku zote , knowledge inakomboa …
 
Back
Top Bottom