Marekani yamfukuza balozi wa Afrika Kusini

Safi sana. Huyu Balozi analeta uanaharakati USA. Acha ile kwake..
 

kabla ya Wakristo kuja ak mwaka 1650 kulikuwa na “mashamba” afrika yetu hadi useme waliwanyang’anya mashamba? ebu niambie hata hapa tanzagiza kabla ya Ukristo kuingia miaka 1890 kulikuwa na mashamba? na tulilima nini?
 
Huu utawala wa Trump sasa noma!!
Angemrudisha Pompeo kama Secretary of state ingekuwa poa sana.
Tungemuambia (maana yeye ni msikivu) kuwa yule jamaa anayehujumu uhai wa watu amerudi sasa futa lile zuio la kuingia US maana hatakuja bali mtangaze kuwa ni gaidi na awezaye kumkamata na kumpeleka pale ubalozini tuu zawadi $20,000 hakika hata wale Wadudu wa Arachuga wanaweza mteka na kumtia kwenye gunia (wakisaidiwa na MP anayesakamwa)nakumpeleka pale ubalozini.
 
Tena wawabebe Wazungu wao Africa aitaji tena Wazungu!!!!

kujaaa kwaaa apo Afrika kusini akuna faida yoyote kwa mtu mweusi zaid iyo nchi imekuwa kama Wakala wa Ushoga Afrika !!!!

kama mtakumbuka kwenye Eka Eka za mashoga na mkuu wa Mkoa mh Paul Makonda apo Dar.... !

Walikuja Mawakili kutoka Afrika kusini kuja Kuwatetea Mashoga wa Bongo!!!! Walikamatwa wote na kutakiwa wawai Air port kurudi kwao!!!

. Afrika kusini imekuwa kitomvu cha Ushoga Afrika !!!! Inashangaza sana popote walipo Wazungu wengi na Ushoga utatamalaki!!!

Hiii imenifanya niwachukie Wazungu sana tena sana!!

Wawabebe Wazungu wao Wawape na mijumba uko Marekani Afrika itapumua na uwovu wao!!! !!!!

Lkn Tumaini jipya litakuja talatibu Afrika itajilekebisha yenyewe kitabia Mashoga Weusi Watakufa na kuzaliwa kizazi kipya kisicho na Upumbavu kama ichi chasasa,,,
 
CCM pia ni Wakomunisti.
Wengi hawatakuelewa, lakini huo ndio ukweli. Ona matendo yao yana tofauti gani na China au Korea Kaskazini kisiasa? Hawataki demokrasia na wanawatendea mabaya wenye mawazo positive.
Tofauti ya wakomunisti hawa uchwara na wale ni kwenye mambo ya ubunifu na maendeleo.
Hawa wa hapa hata kunya maporini kwa kukosa vyoo miaka 60 baada ya uhuru hawashtuki maana wataomba misaada ya kuchimbiwa vyoo toka kwa mabepari wa magharibi.
Kwao kutumikia mabwana wawili ni poa tuu!
 
Hahaaaa!
 
kabla ya Wakristo kuja ak mwaka 1650 kulikuwa na “mashamba” afrika yetu hadi useme waliwanyang’anya mashamba? ebu niambie hata hapa tanzagiza kabla ya Ukristo kuingia miaka 1890 kulikuwa na mashamba? na tulilima nini?
kwaiyo unataka kusema ukristo ndio ulikuja na watu Tanzania!!??

ikiwa jibu lako ukristo uliwakuta watu jua walikuwa wanapata kuishi kupitia iyo Ardhi ikiwa walilima ikiwa waliokota matunda !!

lkn iyo Ardhi ndio ilidhamini maitaji yao iliwakinga na njaaa na kupata maji..
 
Afrika Kusini ilikuwa ni ile ya akina PW Bother na John Voster na ni wakati ule hata wazungu kutoka Ulaya wakifika hapo walikuwa wanabaki kuachama lakini kama kawaida alipopewa tu mswahili kutawala ikafuata njia ileile iliyofuata akina Tanzania na wengine.

Waafrika jinamizi letu kamwe halituachi hata twende wapi tunalo tu na mwisho kama kawaida tunatafuta mchawi.
 

kwa hiyo mashamba ya chai, kahawa, pamba, katani, miwa (sukari), mizabibu, karanga, asali, yaliyopo tanzagiza na yanayoingizia tanzagiza fedha za kigeni wazungu waliyapora ktk kwetu na kwamba kabla tulikuwa nayo?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…