Hii ni mind game tu, kwa atakaye ingi kichwa kichwa ndo inakula kwake.
USA ni bingwa sana wa kitu kinaitwa "HIGH BUDGETED PROPAGANDA".....Nina uhakika hizo ni mbinu za kijasusi tu RUSSIA asije akanasa hapo lazima kuna ishu wameitarget.
Hizo classified documents haziwezi kusambaa kiwepesi namna hiyo "NEVER"
Kiongozi wa CIA tu aliwahi kumjibu kiongozi wa FBI wakati anataka wawe wanashare info bungeni, alimwambia kuna taarifa ambazo hata raisi tu wa nchi hawezi kuzijua wala hao FBI halafu eti hizo taarifa za Pentagon zisambae kiwepesi hivyo.
Big NO.
Hao jamaa wapo smart kuliko hata tunavyo fikria ila usipokuwa makini na hizi PROPAGANDA hususani za Media, USA wanakupiga za uso mapema sana, hao jamaa ndo michezo yao.
Kuna mkubwa mwenzao wamemtarget hapo, ashoboke na hizo info aingie kwenye 18.