Marekani yamkamata alievujisha taarifa za siri za kijasusi

Hizi no fikra zako, lakini hata hapa nchini wqpo vijana qenye umri huo na wapo ktk nafasi nyeti. Kama haujui haujui tu.
Tutajia waziri yoyote under 25yrs hapa Tz au katibu wa wizara wa umri huo au mkrugenzi wa tasisi yote ya serikali ambao iko umri huo.......watanzani tunachelwa ku-mature inachjkua miaka kati ya 30 hadi 40 kijana watanzani kua serious na maisha.
 
Akikujibu, nitag pls...
 
Hizi no fikra zako, lakini hata hapa nchini wqpo vijana qenye umri huo na wapo ktk nafasi nyeti. Kama haujui haujui tu.
Miaka 21 .. mfumo wetu unakuchomoa moja kwa moja kwenye sehemu nyingi nyeti.. kama anasoma kwenye mfumo ndio kwanza anamalizia chuo au yupo chuo na kama kaonekana wa maana anakuwa chini ya uangalizi macho ya eagle yanamtazama
 
Duuh huko Marekani kijana wa miaka 21 tayari anauwezo wa Kuvujisha siri za nchi tena zinazogusa Dunia....lakini huku kwetu kijana wa miaka 21..... Duuuh.......
Huku kwetu vijana wasomi wamepanga kuandamana kumpongeza Rais kwa kutangazwa ajira za walimu kama kwamba ajira ni hisani ya Rais kwao na siyo haki yao.
 
Huku kwetu vijana wasomi wamepanga kuandamana kumpongeza Rais kwa kutangazwa ajira za walimu kama kwamba ajira ni hisani ya Rais kwao na siyo haki yao.
Akili za magraduate wa Tanzania hazina tofauti sana na wasio graduate hata kiingereza wote hawajui wanatwaga kiswahili na kuenda mbele, graduate unapongeza raisi kwa kutoa ajira za umma hata hujui haki zako kama raia.
 
Duuh huko Marekani kijana wa miaka 21 tayari anauwezo wa Kuvujisha siri za nchi tena zinazogusa Dunia....lakini huku kwetu kijana wa miaka 21..... Duuuh.......
Huku angeishia kuwa “afisa mbashiri” alafu hiyo kazi yake ingefanywa na Wassira.
 
Na nyinyi mna amini maigizo haya ya vyombo vya usalama vya Merikani - hakuna cha uvujaji wa siri zo zozote hizo ni mbinu za kutafuta sababu za kusitisha msaada wa vita kwa Zelensky wamekwisha ona jeshi la Ukraine likisaidiwa na vikozi kutoka Merikani na Uingereza hawawezi kushinda vita hii ndio maana wakabuni mbinu za kutokea kwa kuwasingizia vijana wadogo wanao cheza games za computer - vijana hao wana uwezo gani wa kun hack top Govt military secretes - how?
 
Wanatafuta pakutokea ili wasipate aibu
 
Halafu huyo dogo eti kaajiriwa 2019,awe ana access na Classified docs kirahisi hivyo bado napata maswali
 
Halafu huyo dogo eti kaajiriwa 2019,awe ana access na Classified docs kirahisi hivyo bado napata maswali
Manaake kajiriwa akiwa na umri wa miaka 17 itawezekana kweli au hi nikamba.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…