Marekani yamtishia China: Eti Marekani itaipigania Taiwan kama China ikitaka kuichukua kwa nguvu

Kweli, pmj na chokochoko zote za Korea kaskazin,
Kwa umoja na uzalendo walio nao,
Marekani hakohoi hata kdg
 
US, kunakitu hakieleweki juu ya uwezowake wa kivita ukilinganisha na Russia, ama China.

Kwanza hawajawahi kuwa na magwaride ya kuonyesha silahazao kama China na Russia,kwahiyo taratibu watu wanashindwa kuamini kamakweli anazo silaha za kutisha kama wenzake.

US amekuwa mtu wa mikwara mbuzi pale anapo onyeshwa ubabe wa wazi na Russia.
Matukio mawili yanaonyesha US wana waogopa sana Russia.
1, Russia wameweza kumlinda asadi kutoka kwa vibaraka wa US kule Syria.

Kumbuka kuna umbali wakutosha kutoka Mosco mbaka Syria lakini Urusi wameweza kusafiri umbali huo bila vikwazo nakwenda kuzuia mipango ya US nchini Syria.

2, Urusi pia wameweza kumzuiya US asiwasumbue Venezuela.
Kutoka Venezuela kwenda USA ni karibu sana, lakini Russia wameweza kutoka Mosco, maelf ya kilometa nawamekatiza sebuleni kwa US kwenye bahari ya Pacific nakwenda kuzuiya mipango ya US nchini Venezuela.
Na sasa tunaona kinacho endelea Ukraine, US na washirika wake wana piga mdomotu,wakati Urusi anapiga kazi na haonyeshi kujali chochote kutoka US wala EU.

Mimi sio mshabiki wa vita napenda amani,na siungi mkono uvamizi wa Russia nchini Ukrain.
 
Cheki hii tikiti maji
 
Eti Vita na Venezuela,, kwa hiyo America alikuwa kwenye real war na Venezuela akashindwa[emoji2]
 
Ninawahurumia Taiwan kama watavimba kichwa na kuendelea kuchezea shurubu za mchina!! Hawatajua mchina atavumilia hadi lini kiburi hiki cha Taiwan!! Siku ya siku kitanuka na Marekani hatasogeza pua yake zaidi ya kukuuzia silaha!
Hao Wachina hawatathubutu kufanya kosa la kuivamia Taiwan, maana watalipia gharama kubwa.
T14 Armata Nyamizi
 
Wewe ni mtoto hujui chochote kuhusu vita ila ligi tu za kubishaba.
 
Kina watu hata akili hawana kabisa eti naye anajiona mjanja kuanzisha mada ya kipumbavu kiasi hiki.Akumbuke tu hapa Duniani hakuna Taifa la kuishinda USA kivita
 

Upo sahihi kabisa, na Marekani haitaisahau China kwa jinsi ilivyopondwa mwaka 1973 katika vita vya Vietnam!
 
Mkuu sio kweli USA ana akiba nyingi ya mafuta kuliko Urusi.Akiba ya Urusi ni Mara 2 ya ile ya USA.
 
Sorry unajuwa huna akili au unapenda ubishi?
 
Mkuu kutounga mkono hakuondoi ukweli kuwa Duniani tunaishi kwa kunyonyana its all about survivor for fittest-haya yote ni scramble for natural resources ili watu waendelee kuishi.Anacho kifanya USA kwenye Nchi za kiarabu ndicho hicho hicho alichokuwa anataka kukifanya Venezuela ndio hicho hicho Russia anakifanya kwa mgongo wa kukupa usaidizi.
By the way tunafanyiwa haya yote ni sisi Waafrika na Waarabu-na wanao tufanyia ni hao Wazungu & Chines.

Waarabu na Waafrika ndio tunaonewa,sema na ndio hatujitambui.
 
Ndio.!
Tunateseka sana, swali lakujiuliza hapa ni hatuna akili ama tunazo lakini hatutaki kuzitumia kwa makusudi kwa sababu ya ubinafsi na rushwa.
Sababu tunafanywa shamba la bibi kwa hiyariyetu.
 
Good analysis
 
Alafu si ndiye yule mchina aliyetaka kumpiga tafu Russia ,Marekani akamchimba mkwara mchina akarudisha mkia nyuma, bila shaka marekan anajua udhaifu wa China .alafu mbona China hapig hata mkwara marekani kuotetea Taiwan? Au kumsaidia Ukraine?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…