Marekani hawezi kupigana na Taifa atalohisi litamjibu kwa kias kikubwa au karibia na kile alichofanya.
Utakumbuka mara baada ya kumuua Qasim Suleiman kamanda wa Iran, Iran ilisema italipa kisasi, siku wanamaliza mazishi usiku Iran ikapeleka makombora kwenye Base ya jeshi la Marekani pale Iraq.
Nakupa siri kuwa pale mashariki ya kati base kubwa ya jeshi iko Iraq, ile base ina technology zote za kijeshi pamoja ulinzi wa anga wa kutisha lakini makombora ya Iran yaliweza kupita na kupiga target na mwisho wa siku ulisikia matokeo japo taarifa za vifo walificha ila wale waliothirika kwenye bongo zao atleast walionekana ila vifo vya wanajeshi wasiopungua 100 walikufa palepale.
Baada ya ili tukio Donald Trump alitishia ataennda kuitandika Iran, ila unajua ule mpango ulifia wapi? Basi nakuambia mpaka leo hii Marekan anajiuliza Iran aliwezaje kupitisha mabomu yake tusiyaone mpk yaje kufika tulipo?
Sasa Marekan hawez kwenda vitan kwa taifa analoona limeendelea kitekinolojia ya jeshi.
Sent using
Jamii Forums mobile app