Marekani yamuonya Kagame kuacha kuisaidia M23 huko DRC

Marekani yamuonya Kagame kuacha kuisaidia M23 huko DRC

Jidu La Mabambasi

JF-Expert Member
Joined
Oct 20, 2014
Posts
16,419
Reaction score
26,594
Hatimaye sasa its official kuwa Kagame analisaidia kundi la waasi wa M23 wanaopigana na serikali Mashariki mwa Congo DRC.

Waziri wa Mambo ya Nje wa Marekani, Blinken, amekutana na P. Kagame na kumpasulia wazi kuwa aache kuisaidia M23 , kikundi kinachoua na kutesa wananchi wa kawaida huko Mashariki ya Congo.

Kama mwizi aliyeshikwa na kiroba cha mbuzi wa kuibwa, bado Kagame amesikika akikaidi onyo hilo.

Asiyesikia la mkuu.

=======

Secretary Blinken’s Call with Rwandan President Kagame - United States Department of State

The below is attributable to Spokesperson Ned Price:

Secretary of State Antony J. Blinken spoke yesterday with Rwandan President Paul Kagame to discuss the importance of peace and stability in eastern Democratic Republic of the Congo (DRC). Secretary Blinken expressed strong support for regional mediation and dialogue led by Angola and the East African Community.

He underscored the need for concrete progress on and implementation of commitments made during these discussions, including the November 23 Luanda Mini-Summit on Peace and Security communiqué. Secretary Blinken made clear that any external support to non-state armed groups in the DRC must end, including Rwanda’s assistance to M23, an armed group that has been designated by the United States and the United Nations.

Secretary Blinken also shared deep concern about the impact of the fighting on Congolese civilians who have been killed, injured and displaced from their homes. Secretary Blinken condemned the resurgence of hate speech and public incitement against Rwandaphone communities, recalling the real and horrible consequences of such rhetoric in the past.

Stategov
 
Mbona simple tu hapo. Marekani anashutumu na Rwanda inakana baada ya hapo hakuna hatua inachukuliwa.

Au Marekani inamchoka Rwanda anamkataa Kagame anatumia kibaraka mwingine nchi kama Angola, Kenya au Uganda
 
Tatizo la viongozi wa Africa ni wanafiki na waoga kwa kuambiana ukweli kwa sababu wengi wao wana madhaifu na wataumbuka

Sasa utakuta wamemchongea kwa [emoji631] ili atoe kauli ambapo wao hawawezi kusema

Huu udhaifu Africa tunao sana hata kama ni vita ya uchokozi ya nchi yoyote kwa jirani huwa hawafanyi lolote mpaka Muzungu aingilie na wakiuana wanaanza kuomba maturubali, madawa, na chakula
 
Siyo simple mkuu.
As a block East Africa inaweza kumwekea vikwazo Rwanda.
Nazungumzia mahusiano ya Marekani, Rwanda na DRC.

Nani anacheza kwa nafasi gani, sikuzungumzia matokeo ya kile kinachofanywa na hizo pande.

Hata hivyo Rwanda haogopi lolote kwa EAC, haina meno. Ingekuwa ECOWAS wale wana meno angalau
 
Sasa utakuta wamemchongea kwa
emoji631.png
ili atoe kauli ambapo wao hawawezi kusema
Hapa kusema wamemchongea nadhani siyo sahihi.

US anaelewa kila kitu kinachoendela kwenye eneo hilo na wala hahitaji mtu wa kumshikia sikio amwambie nini Kagame.

Hata hivyo, hii statement kutolewa sasa hivi yahitaji uchambuzi wa ziada huenda somewhere wamepishana tayari.
 
Nazungumzia mahusiano ya Marekani, Rwanda na DRC. Nani anacheza kwa nafasi gani, sikuzungumzia matokeo ya kile kinachofanywa na hizo pande. Hata hivyo Rwanda haogopi lolote kwa EAC, haina meno. Ingekuwa ECOWAS wale wana meno angalau
Mkuu kama Maso alivyogusia hapo juu, vikwazo vinaweza kumhusu Kagame.

Mbaya zaidi, Kenya imepeleka majeshi Goma, wanaweza kuomba Tanzania na wengine wasaidie kuidhibiti " M23" ambayo ni Rwanda.
 
Hapa kusema wamemchongea kama siyo kweli. US anaelewa kila kitu kinachoendela...
Yaani ni kweli hawa watu satellite [emoji930] zao zinaona kila kitu na hata wanapopoelekwa wanaonekana na hata kusikilizwa
Na mengine kama uwepo wao wa Balozi zao wanapata mengi ila mbona mda wote wamekuwa kimya [emoji631] mpaka sasa baada ya Ruto kuwa na msimamo wake na majibu ya PaKa?

Wakubwa wanajua ila wakati mwingine kwa diplomasia zao wanawasiliana tu nchi na nchi ni kawaida sana.
 
Nazungumzia mahusiano ya Marekani, Rwanda na DRC. Nani anacheza kwa nafasi gani...

..Tanzania na Kenya wanapaswa kuungana kuweka shinikizo la kidiplomasia na kiuchumi ili Rwanda waache kufadhili waasi wa Congo.

..Kupitia EAC wanaweza kuiwekea Rwanda vikwazo vya kiuchumi, kuonyesha kukerwa na mwenendo wa nchi hiyo kuchochoea maasi nchini Congo.
 
Mwaga nondo mkuu!
Unategemea nondo za CIA uzipate kwa mbongo? Utasubiri sana miaka nenda rudi.

CIA hawawezi panga mission kisha mbongo yeyote ajue, wala hawapangi kitu kinakuja waziwazi hivi lazima watumie deception.

Kauli ya Marekani inaweza isimaanishe lolote, mfano Kagame amekana then what happens. Baada ya yeye kukana kuhusika na M23 Marekani imechukua hatua gani.

Congo wameanza fujo kabla hawajapata uhuru mpaka leo hii, kipindi fulani cha Mobutu ndio angalau walikuwa watulivu. Miaka yote hiyo Marekani yupo anaswitch sides na hachukui hatua
 
Secretary Blinken also shared deep concern about the impact of the fighting on Congolese civilians who have been killed, injured and displaced from their homes...
Umeelewa in reverse, US will never support wauaji kama FDLR na wote wanaowatumia na kuwasaidia, US sio wajinga wa kulishwa propaganda ndio maana wako upande wa Kagame siku zote
 
Back
Top Bottom