Marekani yamuonya Kagame kuacha kuisaidia M23 huko DRC

Umeelewa in reverse, US will never support wauaji kama FDLR na wote wanaowatumia na kuwasaidia, US sio wajinga wa kulishwa propaganda ndio maana wako upande wa Kagame siku zote
Soma statement yao.
FDLR haiko Rwanda, you are imagining things.
 
Kumbe huna kitu cha maana.
Hatuwezi kuwategemea Marekani kusolve tha Rwanda incursions into DRC.
Tatizo ni sisi majirani na Congo yenyewe.
Kwa kuilaumu Rwanda at least yuko upande wa wanaompinga Kagame kwa kitendo chake.
We could make a step further kumshikisha adabu Kagame.
Yani ulikaa ukasubiri Mtanzania hapa hapa nchini akwambie mpango wa CIA ni nini. CIA gani hiyo na imeanza lini kujitolea taarifa kiholela juu ya mipango miovu ya taifa lao.
Kama ungekuwa mfuatiliaji ungepuuzia kauli ya Marekani, haina mashiko na impact yoyote ni business as usual kule Congo
20221207_003329.jpg

Washington Post ya mwaka 1988 nanukuu,
"....But Kagame and his colleagues had designs of their own. While the Green Berets (makomandoo wa Marekani) trained the Rwandan Patriotic Army (jeshi la waasi la kina Kagame lililovamia kutoka Uganda na kuiangusha serikali ya Rwanda), that army was itself secretly training Zairian rebels. Rwandan forces then crossed into Zaire and joined with the rebels to attack refugee camps where exiled Rwandan extremists were holed up. That touched off a war that eventually toppled Africa's longest-reigning dictator, Zaire's Mobutu Sese Seko.

Although the United States shared the goals of dismantling the refugee camps and replacing Mobutu (zingatia hii sentensi), the invasion took Washington by surprise, sources in both countries say. And when the Rwandan forces became involved in massacres and other human rights abuses inside Zaire, now known as Congo, the United States faced a dilemma over how to react that persists to this day...."

https://www.washingtonpost.com/wp-srv/national/longterm/overseas/overseas3a.htm

Marekani na Rwanda wanajuana wanachofanya. Rwanda anaenda mbele zaidi ila Marekani kwa kawaida huwa hana shida na mshirika wake as long as maslahi yake yako secured na huyo mshirika haharibu kivile. Cameroon pale Paul Biya ana miaka 40 akiwa Rais na anakandamiza upinzani na huwezi sikia Marekani inasema lolote, ila muda huohuo Marekani haitaki Assad awe Rais wa Syria.

Congo haiachwi leo wala kesho. Atatoka Kagame aje mwingine, itatoka Rwanda ije nchi nyingine. Mabadiliko yoyote hayana unafuu kwa Congo mpaka waamue tu sasa basi tuache waishi kwa amani
 
Yani ulikaa ukasubiri Mtanzania hapa hapa nchini akwambie mpango wa CIA ni nini. CIA gani hiyo na imeanza lini kujitolea taarifa kiholela juu ya mipango miovu ya taifa lao.
Kama ungekuwa mfuatiliaji ungepuuzia kauli ya Marekani, haina mashiko na impact yoyote ni business as usual kule CongoView attachment 2438178

Mboa hiyo ni common knowledge.
Unafikiri nchi kama Tanzania hatujui designs za Kagame?
You are underestimating us.
Ni oale kibri ilipompanda PK na akamtusi JK, ndo akaonjeshwa kidogo.
Kuwa trsined na Green Berets si an end in itself.
Vita ya DRC ikihatarisha usalama wa TZ,basi itakuwa wacha mbwai iwe mbwai.
 
Kagame hana and never had any problem with Tanzania na sijawahi hata siku moja kumsikia akiongea mbaya kuhusu Tanzania, lakini watu kama wewe na wenzako mnaandika as if kuna vita inataka kutokea kati ya Rwanda na Tanzania, wewe ni mtanzania kweli au ni mkimbizi uliyekimbia Rwanda, acheni kuishi kwenye mawazo ya kufikirika
 
..Mzee Uhuru Kenyatta ameshaziambia nchi majirani na makundi ya kigeni yenye silaha yaondoke ktk ardhi ya Drc.

..Kwamba Drc isigeuzwe kuwa uwanja wa vita ya migogoro ya nchi nyingine.

..Ukarimu wa Wacongo usitumiwe vibaya na nchi majirani pamoja na waasi toka nchi hizo.

NB.

..kama Fdlr bado wapo Drc basi waondoke wakamalize matatizo yao nyumbani kwao Rwanda.
 
..Kagame had a problem with Tanzania and Mzee Kikwete.

..Kagame alitaka Tanzania iunge mkono m-23 na isichangie askari ktk SADC-FIB.
 
Mnafiki USA mbona yeye ana support vikundi vingi vya mapigano.kunya anye kuku bata akinya kaharisha nonsense
 
..Mzee Uhuru Kenyatta ameshaziambia nchi majirani na makundi ya kigeni yenye silaha yaondoke ktk ardhi ya Drc.

..Kwamba Drc isigeuzwe kuwa uwanja wa vita ya migogoro ya nchi nyingine.

..Ukarimu wa Wacongo usitumiwe vibaya na nchi majirani pamoja na waasi toka nchi hizo.

NB.

..kama Fdlr bado wapo Drc basi waondoke wakamalize matatizo yao nyumbani kwao Rwanda.

..Mzee Uhuru Kenyatta ameshaziambia nchi majirani na makundi ya kigeni yenye silaha yaondoke ktk ardhi ya Drc.

..Kwamba Drc isigeuzwe kuwa uwanja wa vita ya migogoro ya nchi nyingine.

..Ukarimu wa Wacongo usitumiwe vibaya na nchi majirani pamoja na waasi toka nchi hizo.

NB.

..kama Fdlr bado wapo Drc basi waondoke wakamalize matatizo yao nyumbani kwao Rwanda.
Totally 100% agree, Congo inahitaji kuwa na amani na makundi ya kigeni lazima yaondoke, what is your take wasi wasi wa Rwanda kuvamiwa na FDLR kutokea Congo with support from Congolese, vipi na Banyamurenge kuwa wiped out na Congolese na vikundi vya wahutu wenye siasa kali vinavyo operate ndani ya Congo, huoni kama M23 wana sababu ya kupigana kuzuia genocide ambayo inaweza kutokea anytime?
 
..Majeshi ya Rwanda yalikuwa ndani ya Congo tangu Mobutu apinduliwe mpaka nadhani mwaka 2001.

..Katika kipindi hicho Rwanda waliua Wahutu na Wacongomani wengi sana.

..Mauaji yaliyofanywa na Rwanda nchini Congo unaweza kusema ni genocide, or war crimes. Pick what you want to call them.

..Kwa hiyo mpaka hapo utaona kwamba madai kwamba kuna tishio la Fdlr yanakosa nguvu.

..Banyamulenge wachukuliwe kuwa ni raia kamili wa Congo na wawe na haki na utambulisho sawa na Wacongo wengine. Na wawe sensitized kujiona wao ni Wacongo kamili, na sio Wacongo wenye asili ya Rwanda.

..Burundi, Rwanda, na Uganda, wanatakiwa kuwa na mifumo ya demokrasia ya kweli. Naamini makundi ya waasi toka nchi hizo kwa kiasi fulani yanachagizwa na kubinywa kwa demokrasia na haki za binadamu.

..Kwasababu Rwanda na Drc kila upande unalalamika kuvamiwa na mwenzake, basi eneo la mpaka wao liwe demilitarized zone ambayo itachungwa na majeshi ambayo Neutral to both countries mpaka pale watakapoaminiana.

..Matamanio yote ya kuigawa Drc mapande na kuanzisha mataifa mengine yapingwe na yazuiliwe na jumuiya ya kimataifa.
 
Una point nzuri sana, nafikiri demilitarized zone na Banyamulenge kupewa haki ya raia kamili wa Congo will solve 90% ya hii crisis, bado naamini tatizo kubwa zaidi la Congo ni utajiri wake + corrupt & unstable government na kuna powerful forces behind the scene hawataki hili tatizo liishe
 
..they are undermining themselves kwa kujiita Wacongo wenye asili ya Rwanda.

..wenzao hawajiiti Wacongo wenye asili ya Tanzania, Angola, etc wanajiita WACONGO.

..pia wanatumiwa vibaya ya Rwanda na Uganda.

..Pia the ruling class ya Rwanda na Uganda wametajirika sana kwa uporaji wa mali za Drc.

..Na utajiri huo ndio unawafanya wang'ang'anie madaraka, na kukandamiza demokrasia ktk nchi zao.

..Vilevile Wacongo need to govern their country better. Kuna matatizo mengi zaidi yanasababishwa na uongozi mbaya walionao.
 
Mboa hiyo ni common knowledge.
Unafikiri nchi kama Tanzania hatujui designs za Kagame?
You are underestimating us.
Ni oale kibri ilipompanda PK na akamtusi JK, ndo akaonjeshwa kidogo.
Kuwa trsined na Green Berets si an end in itself.
Vita ya DRC ikihatarisha usalama wa TZ,basi itakuwa wacha mbwai iwe mbwai.
Sasa Tanzania itamfanya nini Kagame mbona unaipa umuhimu usio wa msingi. Kwanza uzi unazungumzia wahusika wanne, Marekani, Rwanda, DRC na M23 au na waasi wengine. Wewe unalazimika uhusika wa Tanzania ambao ni kiherehere tu. Na sijaitaja Green Berets kukutisha (maana unajipa umuhimu bure, Rwanda doesn't give a fck about Tz), nimetaja kukuonyesha jinsi Marekani inavyohusika na matendo ya Rwanda nchini Congo.

Tanzania gani hiyo ya kuivamia Rwanda? Unahisi vita wanakaa wanajiamulia tu. Unadhani maofisa wa Tanzania hawajui nani anampa kiburi Rwanda, kuna madhara gani Tanzania inapata kwa Rwanda kuwa DRC. Tuivamie Rwanda ili tugundue nini.

JK hajawahi kumfanya lolote PK, hakuna kikosi cha JW kiliwahi kanyaga ardhi ya Rwanda au kuua wanajeshi wa Rwanda nchini Congo. JW ilienda pambana na M23 the same na inachoenda kufanya Kenya. M23 ni kundi la miaka ya karibuni linaweza vunjwa likaundwa lingine au likapewa nguvu kundi jingine. Kabla ya hilo kundi Rwanda ilishasaidia makundi mengine kabla na ikifika hatua fulani inayapotezea inasaidia mengine.

Kama kuna mtu Kagame alimchukia zaidi ni Robert Mugabe aliyepeleka 30% ya wanajeshi wa Zimbabwe kupigana misitu ya Congo, ndio huyo huyo aliifanya Operation Kitona ifeli. Anayeweza fuatia kwa Kagame kumchukia ni Dos Santos wa Angola aliyeshiriki kumsaidia Laurent Kabila kwenye vita ile iliyoongozwa na Rwandese kwa uwazi. Sio aliyepigana na hawa vijana wa ovyo M23 hawana mbele wala nyuma.
 
Sasa Tanzania itamfanya nini Kagame mbona unaipa umuhimu usio wa msingi. Kwanza uzi unazungumzia wahusika wanne, Marekani, Rwanda, DRC na M23 au na waasi wengine. Wewe unalazimika uhusika wa Tanzania ambao ni kiherehere tu. Na sijaitaja Green Berets kukutisha (maana inajipa umuhimu bure, Rwanda doesn't give a fck about Tz), nimetaja kukuonyesha jinsi Marekani inavyohusika na matendo ya Rwanda nchini Congo.

Tanzania gani hiyo ya kuivamia Rwanda? Unahisi vita wanakaa wanajiamulia tu. Unadhani maofisa wa Tanzania hawajui nani anampa kiburi Rwanda, kuna madhara gani Tanzania inapata kwa Rwanda kuwa DRC. Tuivamie Rwanda ili tugundue nini.

JK hajawahi kumfanya lolote PK, hakuna kikosi cha JW kiliwahi kanyaga ardhi ya Rwanda au kuua wanajeshi wa Rwanda nchini Congo. JW ilienda pambana na M23 the same na inachoenda kufanya Kenya. M23 ni kundi la miaka ya karibuni linaweza vunjwa likaundwa lingine au likapewa nguvu kundi jingine. Kabla ya hilo kundi Rwanda ilishasaidia makundi mengine kabla na ikifika hatua fulani inayapotezea inasaidia mengine.

Kama kuna mtu Kagame alimchukia zaidi ni Robert Mugabe aliyepeleka 30% ya wanajeshi wa Zimbabwe kupigana misitu ya Congo, ndio huyo huyo aliifanya Operation Kitona ifeli. Anayeweza fuatia kwa Kagame kumchukia ni Dos Santos wa Angola aliyeshiriki kumsaidia Laurent Kabila kwenye vita ile iliyoongozwa na Rwandese kwa uwazi. Sio aliyepigana na hawa vijana wa ovyo M23 hawana mbele wala nyuma.
Mkuu unajaribu kumwaga mchanga kwenye basic issue.
Issue hapa ni Kagame kupeleka majeshi yske DRC ikiwaita eti M23.
Huo kimsingi ni uchokozi.
Tanzania ina msimamo wa kuishi kwa amani na majirani zake, lakini mtu amnaye kwa miaka nenda rudi ana ndoto za kuingilia nchi nyingine basi ndoto hizo haziishii DRC.
Tanzania tuzisaidia nchi za Comoro, DRC yenyewe, Msumbiji n.k.
Mchokozi lazima apigwe ili aelewe kuwa havumiliki.
 
Ulimsikia mtoto wa Museven akimshangilia Putin? Je unajuwa sasa sio siri CIA wamesha just janya ya Kagame na sasa ako kwenye list? Keep cool ref Muhamar Ghadafi. End nisitoe yajayo
Museveni na Tshiked walikosea baada ya kumualika lile jambazi waziri wa ulinzi wa Russia wa mchongo bwana Lavrov.
 
Yani ulikaa ukasubiri Mtanzania hapa hapa nchini akwambie mpango wa CIA ni nini. CIA gani hiyo na imeanza lini kujitolea taarifa kiholela juu ya mipango miovu ya taifa lao.
Kama ungekuwa mfuatiliaji ungepuuzia kauli ya Marekani, haina mashiko na impact yoyote ni business as usual kule CongoView attachment 2438178

Washington Post ya mwaka 1988 nanukuu,
"....But Kagame and his colleagues had designs of their own. While the Green Berets (makomandoo wa Marekani) trained the Rwandan Patriotic Army (jeshi la waasi la kina Kagame lililovamia kutoka Uganda na kuiangusha serikali ya Rwanda), that army was itself secretly training Zairian rebels. Rwandan forces then crossed into Zaire and joined with the rebels to attack refugee camps where exiled Rwandan extremists were holed up. That touched off a war that eventually toppled Africa's longest-reigning dictator, Zaire's Mobutu Sese Seko.

Although the United States shared the goals of dismantling the refugee camps and replacing Mobutu (zingatia hii sentensi), the invasion took Washington by surprise, sources in both countries say. And when the Rwandan forces became involved in massacres and other human rights abuses inside Zaire, now known as Congo, the United States faced a dilemma over how to react that persists to this day...."

https://www.washingtonpost.com/wp-srv/national/longterm/overseas/overseas3a.htm

Marekani na Rwanda wanajuana wanachofanya. Rwanda anaenda mbele zaidi ila Marekani kwa kawaida huwa hana shida na mshirika wake as long as maslahi yake yako secured na huyo mshirika haharibu kivile. Cameroon pale Paul Biya ana miaka 40 akiwa Rais na anakandamiza upinzani na huwezi sikia Marekani inasema lolote, ila muda huohuo Marekani haitaki Assad awe Rais wa Syria.

Congo haiachwi leo wala kesho. Atatoka Kagame aje mwingine, itatoka Rwanda ije nchi nyingine. Mabadiliko yoyote hayana unafuu kwa Congo mpaka waamue tu sasa basi tuache waishi kwa amani
Congo mpaka madini yaishe na Vita ndio itaisha pale
 
Ila kuna watu wamepeleka Kongo troops zikapigane na kutoa masaa 12 kwa M23 kujisalimisha! Sasa mbona hizo troops zimegeuka walinda amani wakati hao walinda amani wapo siku zote?

Hizi initiatives za amani zingefanywa kabla ya gharama kutumika kupeleka troops ambapo tulifikiri ndio last resort! Kenya lianzisheni bana tunamaliza popcorn huku [emoji1787]
 
Back
Top Bottom