Marekani yamuonya Kagame kuacha kuisaidia M23 huko DRC

Kwenye Operation Ikumu naona CIA wana chief of station pale Kigali. Hawa watu kazi yao hua ni ipi kwa anae fahamu
 
Kwenye Operation Ikumu naona CIA wana chief of station pale Kigali. Hawa watu kazi yao hua ni ipi kwa anae fahamu
Hao wapo kila nchi yenye ubalozi wa US,, chief of station ndo boss wa CIA kwa eneo husika, ana oversee operation zote za CIA kwa eneo husika, hivyo hata kama kuna agent wa CIA katumwa kufanya misheni, mfano Kenya, basi lazima aripoti kwanza kwa chief of station
 
Wenzako wanapigana vita kwa maslahi au ulinzi wa border zao, na hakuna kitu kinaitwa kusaidia , ungejiuliza kwanini 80% ya coltan ambayo ndio yanafanya makampuni kama Apple na samsung kuwa mabilionea inatoka Congo lakini Congo ni maskini wa kutupwa, mtaendelea kumlaumu Kagame kwa ajiri ya ukabila wenu na ideology zenu za kipumbavu na vita haitaisha
 
Uko kote ulipotaja tuliitwa. Comoros tuliitwa kurudisha hali ya usalama, DRC tuliombwa na serikali, Msumbiji tulikubaliwa na serikali. Kwahiyo unalenga kusema Tanzania itafanyaje kwa kauli yako ya ndoto za Rwanda haziishi DRC?

Kwamba Tanzania ivamie Rwanda ikiulizwa na UN iseme "ndoto za Rwanda haziishi DRC" au nini unamaanisha. Hata umtoe vichochoroni Rais aliyefeli mtihani wa chekechea akaishia hapo hajui kusoma wala kuandika, hawezi fanya huo upumbavu.

Unajua madhara ya kuvamia sovereign state inayotambuliwa mipaka yake na UN? Unajua war reparations kwa mvamizi zinavyokuwa? Unajua gharama za kuanzisha na kuendesha vita dhidi ya nchi?
Unajua hata foreign reserve tuliyonayo inatosha miezi mingapi? Unajua Rwanda inakuwa na kauli pale tukiivamia, hata ikitaka kukaribisha marafiki zake wanaoitumia kwenye hujuma zao kina Ufaransa kwenye mgogoro inaweza, na je unadhani nchi zote duniani zipo tu zinaiona Tanzania ilivyo zinaridhika?

Mbona Tanzania unaipa umuhimu wa kijinga. Nchi inasubiri COVID-19 itokee wazungu waigawie pesa ijenge vyoo watoto mashuleni wanye humo wewe unaishupalia as if ina Veto power ya UN Security Council.

Eti Tanzania ipigane na Rwanda kisa Congo, Tanzania hii inayonunua sidiria za mitumba kutoka China? Unadhani vita ni matako kila mtu anayo
 
Kenya wameitwa DRC, nasi tunatamani kuitwa huko ili lijulikane moja.
Kwa nini kuandikia mate?
 
Tatizo kubwa la Congo ni serikali dhaifu inayoshindwa kudhibiti na kutoa uongozi kwa sehemu kubwa ya nchi hiyo kikamilifu. Rwanda ni tatizo dogo sana.
Siyo simple mkuu.

As a block East Africa inaweza kumwekea vikwazo Rwanda.
 
Tayari mbwa kazeeka
 
Wamemchoka
 
Wamfungie tu bandari kama Saudi na Qatar
 
CIA wana operatives nchi nyingi duniani. Swala ni kwamba dunia imestaarabika ndo maana hatusikii uhusika wa CIA kwa sana. Vinginevyo ungesikia mapinduzi yakutosha.

Mapinduzi yamebaki nchi za Francophone
 
Umeelewa in reverse, US will never support wauaji kama FDLR na wote wanaowatumia na kuwasaidia, US sio wajinga wa kulishwa propaganda ndio maana wako upande wa Kagame siku zote
Kutoa tamko tayari washamchoka ajiandae kunywa kikombe cha savimbi,osama na Gadafi
 
CIA wana operatives nchi nyingi duniani. Swala ni kwamba dunia imestaarabika ndo maana hatusikii uhusika wa CIA kwa sana. Vinginevyo ungesikia mapinduzi yakutosha.

Mapinduzi yamebaki nchi za Francophone
Siku hizi wanachochea color revolution,, maandamano mengi yanakua funded na wao,,
 
Ile kauli ya migomba mifupi ilikuwa Ni dalili ya kuweweseka baada ya mabwana zake kuanza kumchoka..

Sasa Wazungu wanataka kula malinza Kongo DRC bila kupita mgongo wa nyuma Bali kwa uwazi kabisa..

Savimbi walimfanya hivyo hivyo.Na kuifikia wito M23 imetangaza kuondoka kwenye Miji wanayoishikilia huko DRC.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…